Mh Mnyika amesema Nepi anasoma bdgt kama vitabu vya A E I O U, haelewi bdgt ya upinzani inavyotengeneza pre conditions za kupunguza gharama za uzalishaji!
Kupandisha fine kwa madereva...
Jana mbunge wa viti maalum kupitia UVCCM Zainab Kawawa alikosa busara baada ya kujibishana kwenye mic na baadhi ya wabunge wa CDM baada ya Spika kuhairisha shughuli za bunge.Kwa kweli ni utovu...
Ombi Langu kwa wabunge wa chama changu, si kila jambo kulipinga swala la Posho (sitting allowance) hakuna sababu ya kulivalia njuga na kulazimisha kulipata,wabunge wanapata Mshahara,posho ya kuwa...
Vigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaotakiwa wajiuzulu kwa tuhuma za ufisadi wamekutana na uongozi wa juu wa chama chao, na taarifa zinasema bado mvutano haujaisha kati ya pande mbili hizo...
Pamoja na kupigia debe ziara yake alipokuwa hapa mama huyu, na kuwa ameamua kufuta umasikini, Bi Clinton aweka wazi kutokuridhika na hatua za kimaendeleo zilizofikiwa na Tanzania.
Akitoa...
Mh: Mussa Azzan Zungu katika uchangiaji wa bajeti ya serikali aishauri kambi ya upinzani kukubaliana na kuunga mkono serikali katika masuala yenye manufaa kwa nchi jambo litakalowafanya kupata...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI WIZARA YA FEDHA MHE.KABWE ZUBERI ZITTO (MB) KUHUSU MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2011/2012...
Weekend hii nilikuwa nafanya mzunguko nilitembea kwa gari hadi Oysterbay maeneo ya cocobeach, wakati narudi nikapita njia ambayo kisheria hairuhusiwi namimi sikujua kama hairuhusiwi kupita njia...
Akifungua semina ya wajumbe wa kamati inayojishughulisha na ukaguzi wa mashirika na taasisi mbalimbali za serikali, Speaker Makinda amewaonya wasipokee posho mara mbili mbili japokuwa anatambua...
hivi wafanyakazi wa sekta binafsi sio watanzania? hawapigi kura au? mana wenyewe walipie kodi allowance zao.wafanyakazi wa serikali no!!!!! how come!!!!
nauli za likizo zakatwa kodi
bonus pia...
Elmer G. "Geronimo" Pratt, the former Minister of Defense for the Black Panther Party, died in Tanzania, Africa Thursday (June 3, 2011). In 1972, the revered leader was unjustly prosecuted and...
Mtu akizifanyia tathmini hoja ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya wabunge na viongozi wa serikali, zinazotetea uhalali wa ulipaji posho za vikao kwa wabunge, inaonekana wazi ama watu hao ni...
Nimeangalia kwa makini sana gazeti la Mwanahalisi kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo bila kukosa na leo nasema kwamba Mwanahalisi ni gazeti maalumu lililoundwa kwa ajili ya kumshughulikia Edward...
Wana jamvi, kuna hii kauli ambayo sasa imezoeleka na wanasiasa hasa wa chama tawala kuwasema wenzao hasa wa CDM kwamba wanatafuta umaarufu.
Nabaki najiuliza kwa mfano, hivi kati ya Januari makamba...
indicators za magamba zimeshaanza kujitokeza kwa baadhi ya wagombea wa nafasi ya m/kiti chadema mbeya!!
Mmoja wa wagombea anayejiita ''mzee wa upako''(john mwambigija)alikimbia kwenye mdahalo...
Nimemsikia Zitto Kabwe akiongea na BBC. Anasema msimamo wake upo palepale hatasaini karatasi ya mahudhurio, hatapokea posho na yupo tayari kurudi kijijini kwake kuvua dagaa baada ya kufukuzwa...
Wednesday, June 15, 2011, 10:48
Mtanzania
SERIKALI imesema Sh trilioni 2.250 zitatumika kujenga reli ya Mchuchuma, Liganga hadi Mtawara.
Akijibu swali bungeni jana, Naibu Waziri wa Uchukuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.