-Huyu ndio raisi bora aliepata kutokea duniani
-ndio chaguo langu na la watanzania woote
-Dunia inampenda kama kungekuwa na cheo cha rais wa dunia basi na hakika angepata 99% vote za ndio
-Ndio...
JK- watoto wa shule wanaopata mimba ni vihele hele vyaoMama salma- wanaowapa mimba watoto wa shule wakamatwe na washitakiweSijapata ona watu vilaza kama hawa
Spika wa bunge Anne Makinda na waziri wa nchi sera na uratibu wa bunge Lukuvi, wametoe sababu mbali mbali kuhalalisha ulipwaji wa posho za vikao kwa wabunge. Pamoja na maelezo yao yote, suala...
Ninasubiri kwa hamu bajeti ya serikali yangu saa tano.magamba yamezima umeme,au hayataki tujue mikakati ya chadema kutukomboa.nimekata tamaa.nilikuwa nimecancel ratiba zangu.
TBC1 jana ucku ilitangaza kuwa mgomo umeisha uku waziri wa elimu akitoa habari izo izo za uwongo ila kiukweli mpaka sasa leo ni siku ya tatu wanafunzi bado wamegoma kwenda madarasani wakishinikiza...
IMEKUWA NI KAWAIDA SASA KWA WANAFUNZI KUFUKUZWA WANAPODAI HAKI ZAO ZA MSINGI WAWAPO VYUONI.NASIKITISHWA KWAMBA WAHUSIKA HAWAJIFUNZI ,HAWAELEWI,WANAPUUZA,HAWAWAJIBIKI,HAWAWAJISHWI,HUKUNA...
Katika bajeti ya mwaka huu serikali ina mpango wa kupunguza hela kwa ajili ya ziara. Cha kushangaza kila wiki JK ana talii nchi za nje.Wiki iliyopita alikuwa Africa kusini kuhudhuria mazishi ya...
Kuna tetesi kuwa J.K ameweka watu wawili ambao kati ya hao, mmoja wao aje kuwa mrithi wake. Watu inasemekana kuwa ni Dr. Asha Rose Migiro na Dr Hussein Mwinyi. Wana JF mmeisikia hiyo??
Ndugu zangu inasikitisha sana pale ambapo unakuta viongozi wa serikali wanabaki kubwabwaja kuwa hoja hii hatuaitaki maana imeanzishwa na wapinzani.. Au unakuta mwingine anasema hoja hii ilikua...
Huwezi kujivungua gamba kama sio mbinafsi na hii inadhihirika kwenye wabunge wa magamba kukatalia posho wakati watoto wa maskini wanakaa chini baada ya miaka 50 ya uhuru.
This is where we are. Where do we go from here? First, we must massively assert our dignity and worth. We must stand up amidst a system that still oppresses us and develop an unassailable and...
Natumai sifa za watu hawa zinajulikana hapa jamvini.1. E.Lowasa-waziri mkuu mstaafu.. mbunge wa monduli.2. F.Sumaye-waziri mkuu awamu ya 33. H.Mwinyi(PhD)-waziri wa mambo ya ndani, ulinzi na...
Jamani wana JF, naomba kuuliza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi ile FIMBO inayokuwa pale mbele BUNGENI inamaanisha nini. Hutangulia kabla ya SPIKA kuingia na hutangulia SPIKA aktaka...
Wana Jamii, kwa jinsi nijuavyo mimi ni kwamba Rais wa nchi fulani anapotembelea nchi nyingine,protocaly mwenyeji wake anataakiwa awe ni yule Rais mwenzake wa ile nchi anayoitembelea,hivyo hivyo...
Kumekuwa na migomo ya vyuo vikuu kila uchao ktkt nchi yatu na huko ndiko wanapotegemewa wasomi watoke ili waje waliongoze taifal etu. Lakini wengi wamekuwa wakipoteza wakati mwingi ktkt kugoma...
Najua huyu mh. Mbunge na bado anaendelea kuwa mkoa wa Manyara, ilo linakera , lakini kero zaidi ni namna anayotoa hoja bungeni ni kama kwanza ndo bado yuko kule kwa wananchi alikozoa kutoa amri...
Nimemsikiliza dogo JM Wakati akichangia majadala wa mpango wa maendeleo wa miaka 5 nimemkubali sana pamoja ya kuwa yupo kwenye chama chenye mitazamo na utashi wake lakini nimependezwa sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.