Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
I'm trying to work out by then hawa akina LOWASSA , MWAKYEMBE etc ambao vijana wa kileo wa JF wanawapigia debe watakuwa na umri gani by 2015? Seriously are we going to be in danger of being led...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huyu Kibonde vp?Ni mzima kweli?Hapa anatumia nguvu nyiiingi kukosoa approach ya Zitto kwenye hili sakata la 'allowances". Is he paid to attack off?
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Kiukweli mimi nimekwisha choshwa kabisa na hawa CCM yaani sina hamu nao hata kidogo.Nimekuwa nikiwaona CDM kama mkombozi wa hili jahazi ambalo linakaribia kuzama.Lakini nimeanza kupata wasiwasi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Gazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni.
4 Reactions
94 Replies
13K Views
polisi wafanya mabadiliko kwa kumhamisha masawe toka kanda maalum ya kipolisi ya Tarime -Rorya kwenda Tanga je amejbu kwanini waliiba miili ya maeheemu na kui dump barabarani na mauji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shirika la Nyumba la Taifa kupitia bodi yake limeweka historia kwa kukataa kuwauzia nyumba wafanyabiashara na vigogo wa serikali badala yake wanatakiwa kulipa kodi za pango. Big National Housing...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
na Martin Malera, Dodoma CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimelipua Rais Jakaya Kikwete kwa kusaini na kuidhinisha Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano kabla ya kupitishwa...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Spika Ana Makinda yupo katika kiti chake tayari kuendesha mjadala wa maswali na majibu kabla ya kuendelea na hoja iliyoahirishwa jana ya kuchangia Mpango wa maendeleo 2011/12 - 2015/16
0 Reactions
80 Replies
6K Views
Nimeona hii kwenye Website hii nikaona labda niiweke hapa watu mtafanya kuichapisha na kuibandika Video ikiwezekana zipo nyingi tu. TANGANYIKA INDEPENDENT - British Pathe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu Makamu Pekee wa Waziri Mkuu ana jini gani maana NCCR Mageuzi na TLP viko hoi. Pia kwenye kinyang'anyiro cha uraisi mwaka jana alikuwa akimpigia kampeni Kikwete ilhali TLP walikuwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tusubiri tuone,tuache papara!!Mda ukifika tu!!
0 Reactions
25 Replies
3K Views
na Martin Malera, Dodoma CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimelipua Rais Jakaya Kikwete kwa kusaini na kuidhinisha Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano kabla ya kupitishwa na Bunge...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Naanglia Channel ten Maalim Seif anafanya mazungumzo n makwaiya wa kuhenga. Maalim ameulizwa kwamba ukiwa kiongozi wa upinzani mnaendeshaje serikali. maalim akamkatisha na ksema alikuwa... Kwa...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
BAJETI IMELENGA KUTATUA KERO ZA ELIMU YA JUU:NAPE Katibu wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM Itikadi na uenezi Nape Nnauye amesema bajeti ya mwaka 2011/2012 imelenga kutatua kero zilizojitokeza...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Ccm na serikali yake wananufaika na matatizo yaliyopo nchini na kuondolewa kwa matatizo hayo hasa ambayo ni kero za msingi ndio utakuwa mwisho wa utawala wa ccm.Kama hamuamini maneno yangu...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Daniel Msangya 13 June 2011 A total of 1,200 students out of 1,602 from higher learning institutions will be paid Sh389 million as field allowances, it was reported here...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Monday, 13 June 2011 23:35 By Rosemary Mirondo The Citizen Correspondent Dar es Salaam. The opposition Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) has initiated talks with the UK government...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
We are not alone in the struggle. The world is watching warily. Here parallels are being made between Tanzania and Tunisia. Do our present leaders really want to be remembered as architectures...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Za jioni wa JF, naona kijana David kafulila anachangia vyema bungeni dodoma, live muda huu. msiwe mbali atafuata mbowe. Hebu tuwaangalie wawakilishi wetu bungeni jamani
0 Reactions
311 Replies
20K Views
Frank Kimboy 13 June 2011 Dar es Salaam - The United States has pledged to help Tanzania in the war against piracy. The US secretary of State, Mrs Hilary Clinton, made the pledge during a...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Back
Top Bottom