Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa vile harakati za kutaka kuondowa malipano yasiyokuwa na Mantiki zimeanza basi tuziendeleze. Wabunge wa CHADEMA kwa nia yoyote ile iwayo inabidi tuwashukuru kwa kutuletea mwanya wa kuweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa CCM ameibuka na kuwajibu wapinzani wakati akichangia mjadala wa bajeti leo. Alimjibu Mbunge wa Mbozi kwa tiketi ya Chadema David silinde aliyesema kuwa ni miaka 50 sasa tangu uhuru na Tz...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika ukurasa wa Facebook wa gazeti la Raia Mwema kuna taarifa ifuatayo: Tunawaomba radhi wasomaji wetu kwa kutotoka leo na badala yake tutatoa kesho Alhamisi. Tumeona tutende haki kwa wapinzani...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika siku za karibuni tumesikia walimu sehemu mbalimbali za Tanzania wakilalamikia kutolipwa posho zao kama malipo ya awali kwa mtumishi yeyote anayeanza kazi katika kituo kipya kwa mara ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hali ya kisiasa nchini Tanganyika (Tanzania Bara) ni tete sana, ikichagizwa na malumbano vulugu-vulugu baina ya wenye magamba na wanaovaa magwanda. Haya malumbano yote nayo mwisho wake ni nini...
1 Reactions
0 Replies
995 Views
Ni mbunge wa Ilala anchangia sasa. Anasema wanafunzi wa Vyuo Vikuu wasidanganywe na watu ambao wamesoma na wana shahada. Wakubali kukaa chini na kutafuta suluhu ya matatizo yao badala ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ndoanaendelea kuchangia hoja sasa hv bungeni,pia ndonimefahamu kuwa sala la posho kwa wafanyakazi kumbe zito kaliiba kwenye mpango wa serikali wa miaka 5,pia anashauri halmashauri zipange fedha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Katika bajeti ya serikali inayojadiliwa bungeni, serikali imejipanga kukopa fedha ili kulipa deni lililoiva. Hivi hii ndiyo busara ya dawa ya deni kulipa? Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mshahara wa mbunge ni sh 2,300,000/=,posho ya kila mwezi ni mil 5,pesa ya kujikimu (per-diem) 80,000/=wakiwa kwenye vikao vya kamati zao,na pia sitting allowance nis shilingi elfu 70. Kwa kawaida...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nachukizwa sana na tabia ya wabunge wa ccm kuanza kujibu hoja za wabunge wa Chadema wakati wakujadili hoja mbalimbali za serikali,hivi hawaoni kuwa wanapoteza nafasi adhimu ya kuwatetea wananchi...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
  • Closed
Jamani, hivi sasa hapo bungeni Mbunge Richard ndasa anamshambulia Zito kabwe na Chadema kwa hoja yake kuhusu alichowakilisha bungeni leo! Vipi maoni yenu katika hoja zake?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
By Nova Kambota After the so called “operation vua gamba” has proved to be both toothless and fruitless, it is wise now we take a little time to think critically on the leadership of the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo naona wameamua kuna wabunge wamehoji uhalali wa waziri wa fedha kudanganya bunge faini atakayolipishwwa mtu akitenda kosa sh 50,000 wakati kwenye kitabu cha bajeti tena anasoma kwa kudesa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukiona Kiongozi wa Nchi za kiafrica anasifiwa na wazungu basi tambua sana mambo mengi sana anayo fanya ni ya kuwa furahisha wazungu hao. Nitaoa mfano. NA NDO ILIVYO KWA TZ NA VIONGOZI WETU WA...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda, amewatolea uvivu wabunge na kuwaeleza kuwa wanajidharaulisha na kukigeuza chombo hicho cha kutunga sheria kuwa kama eneo la sokoni Kariakoo, Dar es...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
uchaguzi wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa m/kiti wa chadema mkoa wa mbeya sambwee shitambalala(gamba jipya) unafanyika tarehe 20/06/2011.hivyo wawakilishi wetu kwenye uchaguzi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Source :Gazeti la mwanachi Tuesday, 14 June 2011 21:43 Neville Meena, Dodoma HOJA ya kutaka kufutwa kwa posho za vikao za wabunge na watumishi wengine wa umma wa imechukua sura mpya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo jumatano tarehe 15.06.2011 kuna kongamano la mwaka la kitaifa la kupambana na rushwa hapa ubungo plaza, tayari limeanza na kati ya watu naowaona meza kuu ni pamoja na chikawe(waziri), hoseah...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Asubuhi hii nilikuwa nasoma gazeti la Tanzania Daima toleo la leo tarehe 15 Juni, 2011, ambalo limeripoti kwamba Lowassa anarejea leo kutoka Nigeria ambako gazeti hili limeripoti kwamba alikwenda...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
By Daily Onigiri on May 11, 2011 Japan's Prime Minister Naoto Kan is briefed about the state of Ishanomaki High School by Japanese Ground Self Defense Forces on April 10, 2011. Photo: Flickr...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom