Wana jamii nimefuatilia kikao cha bunge jioni hii na nilichogundua kikubwa ni kuwa mwenyekiti wa bunge ambaye pia ni mbunge wa kibakwe ambayo ni moja ya majimbo wilayani mpwapwa mkoa wa dodoma...
Jamani,
Naangalia TBC1 hapa kipindi cha usiku wa habari, mtangazaji anawahoji wananchi mbali mbali kuhusu bajeti kama wanajua maana yake au kama wamesikia kama bajeti imeshatangazwa, 98% ya...
This is how dictatorship begins! It starts by rigging [kuchakchua] elections, when they have lost the confidence of the voters, then clobbering protesters and shooting them dead, then random...
NCCR-Mageuzi MPs to direct on allowances
By Lydia Shekighenda
13th June 2011
NCCR-Mageuzi Members of Parliament today plan to submit letters to finance Minister Mustafa...
Wana JF;
Nimekaa na kulifikiria sana baraza la Mawaziri wa serikali ya CCM inyoongozwa na JK!
Nimekwenda mbali zaidi kwanza kukukmbuka hotuba zake ndeeefu wakati wa kampeni akisoma Ilani ya...
WAZIRI Kivuli wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), na Mbunge wa Viti Maalumu Chadema, Leticia Nyerere amejiuzulu wadhifa huo.Hatua ya kujiuzulu kwa mbunge huyo imekuja kipindi kisichozidi miezi...
1. Waachane na maandamano
2. Watafute wanachama kila pembe ya TZ na uongozi wote wa juu wa CHADEMA uwe na sura ya KITAIFA SIO KIKANDA
3. WAMSHAWISHI MTU KAMA SITTA au KAMA dr SLAA ATAGOMBEA...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tabora kimemvua uanachama wa chama hicho Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Gongani, Bi. Rajia Mrisho huku kikimwondoa
Bw. Emmanuel Kasoga katika nafasi ya Katibu...
Bunge linaloendelea sasa linakera Sana maana ni sehemu ya mipasho,majungu,fitna,chuki na mipasho yaani hakuna anaeomba muongozo kwa kifungu maana inaonekana hawajui wanasimama tu na kupashan SITTA...
iMEKUWA KAWAIDA SIKU HIZI KWA WANAJAMII KUPOST VICHWA VYA HABARI TU HUMU NDANI...
HAPO TUNAKUWA HATUSHEI TENA HABARI MAANA UNAKUWA UNAIJUA WEWE MWENYEWE HALAFU SIE WENGINE TUNASHINDWA KUELEWA NA...
Hali ni tete katika maeneo ya Ukumbi wa bunge Dodoma, Polisi wa kikosi cha kutuliza fujo wametanda kila kona kuzunguka Ukumbi wa bunge kwa hofu ya wanachuo wa UDOM kuzuia shughuli za Bunge, tangu...
UJUMBE WA WAZI KWA MHE. EDWARD LOWASSA: Uchaguzi ni wako
Na. M. M. Mwanakijiji
Endapo aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Edward Lowassa (CCM-Monduli)...
Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo akimkaribisha ofisini kwake Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama jana mjini Dar es Salaam ambapo pamoja na...
THE Controller and Auditor General (CAG), Ludovick Utuoh, has urged the government to rethink plans to privatise key state-run companies, warning that the loss of state ownership and control over...
Kutokana na maelezo aliyoyatoa Nape kuhusiana na issue ya posho nadhani kuna kitu hakuelewa vema kutokana na posho zinazidaiwa zifutwe, kwa jinsi nilivyomuelewa zito anataka pesa wanazolipwa...
Ally Mkoreha, Dodoma
WAKATI mjadala kuhusu bajeti ya serikali katika mwaka wa fedha wa 2011/12, ukitarajiwa kuwa mkali ndani ya Bunge, kufuatia hatua ya awali ya Kambi Rasmi ya Upinzani, kupinga...
Migogoro ya madini kati ya wawekezaji na wachimbaji wadogo wadogo yaendelea kushika kasi..vijiji vya Mang'onyi, Taru na Londoni ni baadhi ya vijiji vyenye utajiri mkubwa wa madini aina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.