Mh. BUNGE WA JIMBO LA MAKETE KATIKA KUCHANGIA HOJA JUU YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA AMENZA KUCHANGIA KWA KUONYESHA KUWA MPANGO HUU NI UFUMBUZI WA MATATIZO YA TANZANIA, LAKINI CHA KUSHANGAZA...
WanaJF
Sina namna ya kumshauri Rais JK, lakini kama anaipenda Tanzania na chama chake, basi afanyishe Rapid Political Appraisal kabla ya kuwateua Ma-DC na Ma-RC:-
Ma-DC na Ma-RC: Awateue vijana...
Ndugu wanajamvi, awali ya yote nawashauri kila mtu ajitahidi kusoma nini kilichomo katika THE TANZANIA FIVE YEAR DEVELOPMENT PLAN 2011/12-2015/16".
Ninaona kwamba kuna discrepancy kadhaa kati...
WAZIRI Kivuli wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), na Mbunge wa Viti Maalumu Chadema, Leticia Nyerere amejiuzulu wadhifa huo.Hatua ya kujiuzulu kwa mbunge huyo imekuja kipindi kisichozidi...
Wakuu, pendekezo la Zitto Kabwe la kutumia asilimia 4 ya "Skills Development Levy " iliyokuwa inaingia serikali kuu kusomesha vijana wetu limetekelezwa kwenye bajeti ya mwaka 2011/2012.
Nanukuu...
Wizara sita zanzibar zimekumbwa na kashfa ya kutumia fedha za umma kinyume na sheria ya fedha ya mwaka 2005 ikiwemo kufanya malipo ya mamilioni ya fedha yasiokuwa na mikataba
Kashfa...
Nikinuu kauli ya baadhi ya watawala na wachambuzi wa siasa za kimataifa, "..marekan haina rafiki bali wanajari interest zao" ziara hiz za viongoz wa wa juu wa U.S, kuja Tz inatia wasiwasi, some...
Wana JF Prof. Ibrahimu Lipumba ametangaza kuwa kesho hakutakuwa na maandamo ya chama kama ilivyotangazwa na Julius Mtatiro baada ya kuombwa na waziri mkuu Mizengo Pinda. Hivyo amewataka wanachama...
By In2EastAfrica - Sun Jun 12, 8:31 pm
Kikwete agrees to new 26-nation economic block
President Jakaya Kikwete on Sunday signed an agreement on talks leading to the establishment of a...
Ndugu wana jamvi kuna tetesi kwamba serikali inashinikiza umeme ukatwe maeneo mengi wakati huu wa kuwasilisha na kuijadili bujeti ya wanamagamba. Sina uhakika, je ni kweli?
Mh Mpendazoe leo ndo anazindua kitabu chake cha PAMOJA TUTASHINDA mgeni rasmi ni Mh Tundu lissu. Tayari kimeshazinduliwa na sasa anaongea Mpendazoe amezungumzia jinsi alivyokanwa na Mh Sitta...
RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, amewataka viongozi wa serikali kuacha kuwadanganya wananchi kuwa wao ndio wenye uwezo wa kuwaletea maendeleo.
Mkapa alisema hakuna kiongozi mwenye uwezo wa...
TAMKO LA NCCR MAGEUZI KUHUSU BAJETI YA MWAKA 2011/12
2011-06-12
BUNGENI DODOMA
1.0 UTANGULIZI
Tunawashukuru wanahabari kwa kuja kupokea maoni yetu na kuwafikishia watanzania kuhusu maoni yetu...
Friday, June 10, 2011
*Mgogoro wa Arusha ni urais wa 2015
*Wenyeviti UVCCM 11 kumfuata Millya
*Wenyeviti wilaya wamwandikia Mukama
Na Waandishi Wetu
MBIO za urais wa mwaka 2015 ndani ya Chama...
Nilipokua najaribu kupitia historia ya bara letu la Africa nilipata maswali mengi ambayo binafsi naomba msaada kwa wenye uwezo wa juu kuliko mimi. Natumai mtachangia kwa wingi ili niwe sawa...
Ndugu wanajf nimeshtushwa na taarifa za kipuuzi zilizoandikwa hapa kusiana na michuzi na mtu mwenye jin l kipanga mlakuku kwanza natoa shukrani zangu kwa moderator kifuta post hiyo na jibu langu...
.......................Wiki iliyopita chama cha CUF chini ya M/Kiti wake Prof.Ibrahimu Lipumba kilitangaza maandamano kuanzia pale Ubungo Mataa,na ujumbe wa maandamano haya ilikuwa ni kupinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.