Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
MKAKATI wa makusudi umesukwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kudhoofisha jitihada za kisiasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), MwanaHALISI limeelezwa. Mkakati unalenga kuzuia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana JF nawasalim Katika pita pita yangu asubuhi nimeona hii tittle Chadema yadaiwa kumnunua Prof. Lipumba hili gazeti ni pro-CUF+CCM sasa hii inaashiria Lipumba anaanza kuandamwa ndani ya CUF...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
Jamani, nasikia unasifiwa, unauzwa kuwa ni bora kuliko mipango mingine ya huko nyuma n.k Na kwamba ni mpango ambao tukiutekeleza utatupeleka kuwa taifa la kipato cha kati ndani ya muda mfupi tu...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Nimesoma makala moja ya Mzee Mwanakijiji (MMK) kwenye gazeti la Mwanahalisi la leo (uk wa 9). Anaongelea juu ya recent arrest ya Mbowe na suala zima la "utawala wa sheria" hapa nchini...
11 Reactions
60 Replies
5K Views
Nashindwa kujua lengo la Big Brother hasa ni nini....embu tizama hii clip then tujuzane mantiki yake
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana waziri wa fedha Mkullo alisikika akikanusha madai yaliyotolewa na mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe, aliyeelezea ya kwamba waziri alitoa bajeti hewa. Pamoja na kauli yake hiyo, bado naungana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wote nccr wa cdm wengine wamebaniwa angalia sahv itv anataja majina ya wachangiajai badala ya watu kuonyesha mikono,jamaa ananiambia wapo nyuma "tumeandika ya kwetu watu 9 hakuna atamoja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau mjadala kuchambua bajeti unaendelea itv live msemaji mkuu akiwa James Mbatia, pia namuona pro Lipumba
0 Reactions
33 Replies
3K Views
kuondolewa kwa posho za wabunge kuna impact gani kwa taifa letu?
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Habari wana jf ninaye mjomba wangu mjeda kikosi cha navy nilikuwa sijaonana naye tangu uchaguzi uishe. Basi nilianza kumuuoiza kuhusu siasa wao kama wajeda wanamsimamo gani na hali ilivyo sasa...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Kwa kazi kubwa waliyomfanyia kuiba kura na kuchakachua matokeo ya uchaguzi 2010. Ama kweli kuna kazi kuitoa CCM madarakani kama mambo ndo haya. soc: ITV news bullet
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya chadema kuwa chama kikuu cha upinzani, nilitegemea kuwa ingeanzsiha mara moja utoaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa wananchi ikiwa na lengo la kuwafanya wananchi kutambua na kuelewa kwa...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Kutoshabikia kabisa falsafa ya kuvua Gamba. Mshabiki mzuri wa siasa hasa wa sera za CHADEMA na viongozi wake.:kev: Msomaji wa Gazeti la MwanaHalisi, Raia mwema, Mwanachi,Nipashe na TZ daima...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
naomba wadau mnisaidie hili, hivi tume ya taifa ya uchaguzi inateuliwa na nani na inawajibika kwa nani? jana kwenye taarifa ya habari niliona tume ya uchaguzi ikikabidhi ripoti ya uchaguzi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana atoa tamko kuusu maandamano asema kuwa wao wanadamana kwa nama yoyote kwakua polisi wametoa sababu mbazo azina msingi. kova asema '''tumekataa maadamano kwakuwa tuna ugeni wa kitaifa kwaiyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Gumzo la Wiki Na Saed Kubenea - Imechapwa 08 June 2011 CHAMA cha Wananchi (CUF) chaweza sasa kuwa kinatoka usingizini? Lakini wapo wanaosema, “Kinatafuta shuka wakati tayari kumekucha.”...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
By In2EastAfrica - Fri Jun 10, 4:45 pm The rising tide of gold prices has lifted the market value of Tanzanian Royalty Exploration (TRE) to ridiculous levels. The stock has gained over 350%...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, hivi karibuni kinara wa utabiri wa nyota nchini Sheikh Yahya Hussein alitoboa siri kuwa kuanguka jukwaani kwa Kikwete wakati wa uzinduzi wa KAmpeni za Urais ni kwa sababu ya kutumiwa Majini...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Katika pitapita yangu kwenye ukurasa wa Nape Nnauye kwenye Facebook nikutana na post hii hapa chini! Swali moja najiuliza je ni kweli Nape ni mtoto wa kuli?? Nape Nnauye ‎"WATANZANIA HAWA...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakati Watanzania wengi wanasubiri kwa hamu bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 20111/2012, hali ya maisha inazidi kupanda. Hapa Dodoma wananchi wa kawaida wanaendelea kutafuta riziki zao, huku...
1 Reactions
489 Replies
44K Views
Back
Top Bottom