Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwanza kabisa Viongozi wa kijadi na kieneo walioongoza mapambano dhidi ya Wakoloni; Kinjeketile Ngwale, Watemi Chabruma, Songea, Mirambo,Isike ,Mkwawa, Kimweri Mbega, Sina Meli Mandara...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Written by amini // 29/06/2011 // Habari // No comments Tanganyika kabla ya Muungano, nembo ya Taifa. Tanganyika ya sasa simbuli(nembo) ni ile ile jee Wazanzibar si tuko ktk tumbo la Tanganyika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAZIRI wa Fedha, Mustafa Mkulo, amelishambulia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kwa kuendelea kuchukua fedha za Serikali zitokanazo na kodi ya wananchi kwa ajili ya ununuzi wa mafuta ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mh. Ana, Umshukuru Mungu kwa hizo vurugu na usizichukie ndizo 'zinakupaisha' mama. Kama bunge la sasa lisingekua na 'vurugu' hizi tunazoziona, basi mama bunge lako hili lisingekwa na mvuto kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
HUU NI MTAZAMO Ndugu, Watanzania wenzangu, Nimefuatilia mijadala ya Bunge la Jamhuri kwa muda mrefu, natamani kuwe na namna ya kuwahoji wabunge kwa namna wanavyopoteza muda mwingi kutoa misemo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimefuatilia magazeti ya leo nimeona wabunge wawili wa bunge letu wakisema muungano uvunjwe! Ingawa spika amewaambia mawazo yao wayapeleke kwenye kamati ya katiba, ukweli unabaki kuwa wabunge na...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
BBC Swahili - Habari - Senegal waandamana kupinga mgao wa umeme My take: Kuna nchi yenye mgao unaozidi wetu? Maana tukiwa tunakula wa about twelve hours, tanesiko watangaza rasmi wa masaa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo nimemsikia Nape Radio Safari MTWARA akiombwa kutoa maoni yake juu ya kauli ya LOWASSA KUWA serikali na CHAMA ...CCM... Wamekuwa waoga kuchukua maamuzi magumu. Nape akaanza kwa kumshangaa...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
This is what the minister said today; STAMICO to run Kiwira coal mine KIWIRA coal mine in Mbeya Region, which has won a 400m US dollars (about 600bn/-) Chinese soft loan will be run by the State...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, maarufu kama "Mtoto wa Mkulima," Ijumaa wiki hii (Juni 30, 2011) atahitimisha mjadala wa bajeti ya ofisi yake ya 2011/12 Bungeni. Hii itakuwa ni fursa nzuri kwa Pinda...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimekuwa mstari wa mbele kutetea haki na maslahi ya mtanzania, hii ni kupitia hoja za wabunge wake bungeni, maandamano halali ambayo nguvu ya serikali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimekuwa kwenye semina bagamoyo kwa takribani siku sita na sijawahi kushuhudia mgao,na siku kadhaa nyuma nilikuja kwa shughuli zangu binafsi na sikuona mgao hata siku moja ili kupata uhakika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tuesday, June 28, 2011, 6:44 Biashara, Mtanzania *Imevumbua trekta ndogo inayofanya kazi nyingi kwa wakati mmoja Na Arodia Peter, Dar es Salaam KUPITIA Azimio la Zanzibar la mwaka 1992 Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
How bulk oil will be imported Tuesday, 28 June 2011 22:41 By Frank Kimboy The Citizen Reporter Dar es Salaam The government will establish three bodies and revive a bulk fuel storage...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakiandamana Tanzania tunaambiwa Chadema wana vurugu....Fuatilia link hiyo chini. BBC Swahili - Habari - Senegal waandamana kupinga mgao wa umeme
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani hawa watu wanaitendea haki kweli hii gari lisilo na makosa? Hawa wapo bungeni wanafanya kazi waliyotumwa na wananchi baada ya kilio kila upande. Kipato na ajira vinaleta amani popote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shirikisho lisilo la serikali la kufanya utetezi wa huduma bora za Afya SIKIKA limeponda mkutano wa Bunge la Bajeti liksema lifupishwe badala ya kumalizika August 30. Vikao kwa miezi 3 havina...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu JF....... Nimeona ni vyema kuuliza kama Facebook Account yenye jina "Jakaya Kikwete" ndio ya Rais wetu? na anaimiliki yeye mwenyewe? Maana nataka nimwandikie ujumbe mzito. Asanten.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Moto wawaka bungeni MDEE, MACHALI WATIKISA KITI CHA SPIKA, WENJE ADAI NCHI IMEJAA WEZI Kizitto Noya, Dodoma na Fidelis Butahe,Dar KITI cha Spika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom