Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
By In2EastAfrica - Thu Jun 30, 10:30 pm Former minister for Health, Prof David Mwakyusa Some CCM legislators yesterday said it was not proper to blame the Opposition for conducting...
0 Reactions
4 Replies
977 Views
Juu ya uuzwaji wa hisa za serikali zilizopo katika benki ya NBC kwa wananchi,kisha DSE.Nakumbuka waziri wa fedha aliingiza kama chanzo kimojawapo cha mapato ya serikali ktk bajeti 2010-11.pili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtazamo WANGU binafsi Arusha madiwani ambao kwakweli NI wawakilishi WA wananchi na bahati mzuri hakuna aliyepinga kuchaguliwa Kwai udiwani, wamekaa na kuamua KUMALIZA tofauti zao, Leo viongozi wao...
1 Reactions
105 Replies
7K Views
Kitendo cha wawekezaji kupewa miaka 10 ya kuchimba mafuta na gesi ndani ya nchi yetu bila kulipa kodi kwa miaka kumi na serikali hii ya ccm ni kuuza nchi tena kwa bei rahisi, jamani vijana imefika...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Zitto alipua ufisadi wa bil. 20/- za madini Na Grace Michael, Dodoma Majira MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe, jana aliibua kashfa nyingine dhidi ya serikali ya upotevu wa sh. bilioni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zitto ameliponda baraza la mawaziri kwa kutaka CHC yaani consolidated holdings kwa kutaka kuongezewa muda wa miaka mitatu badala ya mapendekezo ya kamati yake iliyotaka lipewe unspecified time ili...
1 Reactions
93 Replies
10K Views
Wabunge CCM wataja tiba ya maandamano *Wasema ni serikali kutekeleza mahitaji ya wananchi *Mnyika atishia mengine ya kupinga mgawo wa umeme Na Grace Michael, Dodoma Majira IKIWA ni takriban...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MADIWANI wa Chadema katika Manispaa ya Arusha, wamesema chama hicho ‘hakina ubavu’ wa kuwafukuza kwa kuwa kufanya hivyo, kitakuwa kinacheza mchezo wa pata potea. Wakizungumza na gazeti hili...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
WAKATI NI SASA HAKUNA KUNGOJA!!!! Mimi nasema hawa WATOKE ni WAONGO na wametusaliti wananchi na wamekalia maneno tu,nasema Watupishe watokee,nimechoka ,Dunia nzima imechoka na SISI TANZANIA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
By Jerry Okungu THIS week there were reports that the Ugandan opposition leaders have taken their campaign against president Yoweri Museveni to London and Washington. The aim here is to...
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Kumbe shule za kata nao wamo?,tunawapongeza.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mara kwa mara tumesikia watu wakikwapura viwanja vya wazi na kuvifanya chini ya himaya yao. Leo, 01.07.2011 Katika kikao cha Bunge, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Mhe. John Mnyika amehoji juu ya nini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Patty Magubira 29 June 2011 Dar es Salaam - The Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ideology and Publicity secretary, Mr Nape Nnauye, yesterday allayed Tanzanians' fear of pledges made by President Jakaya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa kweli serikali inatakiwa kuchukua hatua za uhakika katika kukabiliana na tatizo la umeme hapa Dsm mambo yanazidi kuwa magumu sana sijui wenzangu mnaonaje kuhusu suala hili
0 Reactions
0 Replies
913 Views
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, alimwongezea Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, muda wa kuwasilisha utetezi wake dhidi ya Baraza la Mawaziri, lakini mbunge huyo aliwasilisha utetezi wake jana...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Lukuvi sera na uratibu anatoa majibu..Ametaja kiongozi wa dini mmojawapo anayejihusisha na madawa ya kulevya na amesema watawapa na video zaidi!..kanisa lipo dar na lina branch mwanza,arusha. pia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nimesikia mara kwa mara kwamba Wazanzibari wakilalamika kwamba mgao wa 4.5% ya misaada ipatayo Tanzania haijawahi kufikishwa Zanzibar, lakini kumbe mgao huo umeanza kuwasilishwa tangu mwaka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
..hivi kwanini Kenya na Rwanda hawaishi kutuzingua? ..hebu angalieni jinsi wafanya biashara wetu wanavyonyanyasika. ..halafu JK na Pinda hawaishi kutusimanga kwamba fursa za biashara zimejaa...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
The numerical advantage that the ruling part posess in parliament has undermined the ability of parliament and citizen to bring their government to account , hence perptuating the existence of an...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hata hivyo sio ule udictator kama wa akina musolin na hitler na id amin hapana. ni kama ule wa akina fidel castro na wa akina mao tsetang. boniviolent dictatroship. huu huzingatia masllah ya nchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom