Mh Freeman Aikaeli Mbowe Kamanda Wa Anga hata Jwtz wanalitambua jina hilo ndio maana walimpakia kwenye ndege ya Jeshi kutoka Dar hadi KIA. Nieleze umuhimu wa Mh Mbowe kwa Tanzania pia CHADEMA, leo...
Hawa wazee wameiasa serikali ya JK kuwa wAache siasa kwenye suala la kutatua mgao wa umeme nchini.Kuna mzee kanichosha kasema kila siku wanasema tuko mbioni kulitatua tatizo la umeme mbio gani izo...
Inawezekana kabisa kulikuwa na mawasiliano kati ya madiwani wa CHADEMA na uongozi wa juu. Inavyoonekana uongozi wa CHADEMA umeona jinsi hili suala lilivyopokelewa na watu ndio wakaamua kutumia...
Written by amini // 08/07/2011 // Habari // No comments
Uhuru wa Tanganyika leo umekuwa wa Tanzania 9/Dec/1961,Bado smz muna tongo za macho?
Wzanzibar hakuna isie juwa kuwa Muungano fake na...
Waziri wa Muungano, Mhe. Samia Hassan Suluhu, leo jioni wakati akifanya majumuisho ya matumizi ofisi ya makamu wa Rais, mazingira na Muungano, amesema kuwa tuache kufukua mambo ya Muungano na...
uchagauzi wa 2010 uligubikwa na wizi wa kura na uchakachuaji. Je nini kifanyike ili haki itendeke 2015? Usalama wa taifa ndo walisimamia uchakachuaji wa CCM. hawa usalama wa taifa na watu wao wa...
Na Paschally Mayega - Imechapwa 06 July 2011
RANGI ya njano imetumika mahali pengi kama alama ya tahadhari. Wanaoendesha vyombo vya moto kama vile magari na pikipiki wanajua kwamba taa ya njano...
By DAILY NEWS Reporter, 7th July 2011
FOR the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) to tighten its grip on power and dominate national politics, unity and accountability are key elements amongst party...
Mimi ni mwajiriwa wa Rostam Aziz katika kampuni yake ya New Habari.
Huyu jamaa ni tajiri sana, ana kampuni nyingi, lakini nafikiri anapata utajiri wake pamoja na kudhulumu. Hivi ninavyoandika...
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. The Confederation of Tanzania Industries (CTI) yesterday differed with a statement made by President Jakaya Kikwete on Wednesday that the Mother Nature was to...
Ndugu wanaCDM huyu mbunge wenu mmemuokota wapi? Kwani akiwa kama Waziri Kivuli Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, amesoma hotuba kichovu sana. SHULE yake inatia shaka ama amepewa ubunge wa viti...
Sasa hivi tunaona vijana wengi wakiungana kufanya vitu kwa pamoja kwa nia ya kujiendeleza na kuendeleza taifa kiujumla? Tumeona Maxcence Mello na mwenzie wakianzisha JamiiForums, tunaona jinsi...
Bandari ya Mbambabay- Mkoani Ruvuma kando ya ziwa Nyasa
NI nchi chache duniani zinazoweza kuwa na jiografia nzuri kama Tanzania, halafu ziwe dhaifu katika matumizi ya jiografia hiyo katika...
Britain's biggest selling Newspaper and has more than 160 years on the business.Kutokana na scandal ya phone hacking News corporation ambayo inamilikiwa na Murdoch wamehamua kulifunga
Kuna...
As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?.
zitto
Mbowe
Regia
Lema
Msigwa,peter
kwa leo tuanze na hawa...
Wandugu napenda kuulizia ilie swala la madiwani wa CDM Arusha kuingia muafaka na wenzao wa CCM, tuliambiwa Viongozi wakuu wa CDM waliunda tume kuchunguza kama kulikuwa na harufu ya rushwa.
Nina...
Toka tupate Uhuru nchi yetu imekuwa ikitumia fedha nyingi sana kwa ajili ya ujenzi wa barabara za lami hapa nchini. Bahati mbaya mpaka sasa idadi ya kilomita za barabara za lami hazifiki km 10,000...
Kwa miaka takribani 10 iliyopita nilikua sijawahi kusikia sauti ya mbunge wa jimbo langu ikisikika bungeni. Sijutii uamuzi wangu na gharama nilizozitumia kusafiri kutoka Kigoma hadi Iringa kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.