Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu naomba nitoe ushauri najua kuna viongozi wakubwa hapa mnaweza kuchukua au kuacha 1.TUFUTE DHANA YA KILIMO KWANZA hii dhana ya kilimo kwanza ni miradi...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Maofisa Usalama wawatimua waandishi Katika hali isiyokuwa ya kawaida Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha, jana amekutana na wawakilishi wa Kampuni ya Barrick na wazee wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nijiavyo mimi, mkewa kiongozi anayetambuliwa kitaifa ni mke wa rais, japokuwa utambulisho wake ni wa kikatiba. Huyu ndiye ambaye angalau akisafiri na mumuwe anatakiwa kulipwa posho ya safari kama...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
copy link hii na paste kwenye brouser yako....CIA wameeleza kila kitu juu ya muungano na mapinduzi ya zanzibar hasa ukianzai page ya 117 hapo ndipo wameeleza vizuri juu ya muungano ulivyoanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
​Kumekuwa na upotoshaji mwingi tangu kutokea na mgomo wa chuo kikuu cha dodoma. Ikumbukwe kuwa mgomo uliopelekea kufungwa kwa Chuo Cha Sanaa Na Lugha Cha Chuo Kikuu Cha DODOMA mnamo tarehe...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Katiba ya sasa ya Tanzania (ILIYOTUNGWA NA CCM) ya 1977 na sheria za uchaguzi mTanzania anaruhusiwa kugombea ama udiwani, au ubunge, au udiwani na ubunge kwa pamoja au urais...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JUBA (Reuters) - Tens of thousands of South Sudanese danced and cheered as their new nation declared independence on Saturday, a hard-won separation from the north that still leaves simmering...
0 Reactions
5 Replies
964 Views
Fredrick Mwakalebela aliyewahi kuwa katibu mkuu wa TFF na Mgombea ubunge wa Iringa mjini (CCM) kabla hajawekewa mizengwe ya rushwa, amepata kazi shirika la makumbusho ya Taifa (National museum of...
0 Reactions
46 Replies
9K Views
Salaam wana JF, nimekua nikifuatilia bunge letu la JMT kwa muda mrefu sasa mwaka huu na kuja kugundua kwamba Bunge letu kumbe si bunge kwa tafsiri halisi kama chombo cha kuwakilisha wananchi na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Written by zamko // 08/07/2011 // Pinda to launch $800m oil exploration vessel By Correspondent 8th July 2011EmailPrintComments Says govt won`t incur any costs when it begins work in September...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Makamu Rais wa Zanzibar na Katibu mkuu wa CUF Bw. Seif Sharrif Hamad amekiri kufuatwa na watu wakimuomba ajiunge na CCM ili kudumisha muafaka uliofikiwa huko Zanzibar.Kwa mujibu wa yeye mwenyewe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hayo ni kwa mujibu bungeni leo,Lissu akasema iyo barua inayomtaja chenge na idrisa ilikuwa addressed kwa attorney general je mnaitaji ushaidi gani kuwaburuza mahakamani hawa jamaa.Nami nongezea...
0 Reactions
423 Replies
34K Views
A youth is any matured person between the ages of 18-35 years old. In any organization community or society where there is no youth, then it's succeeding without the pillars of youths. Youth are...
0 Reactions
4 Replies
879 Views
Uamuzi wa kumchukulia hatua Chenge ulichukuliwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa. Uamuzi ulichukuliwa na kikao halali cha chama kuwawajibisha watuhumiwa wa masuala ya ufisadi, wakiwamo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
kama wajumbe wa nyumba kumi kikwete amewakalisha chini kwenye ukumbi wa kifahali ni dalili kwamba watoto wa shule wasahau madwati, ccm haioni kama ili ni tatizo , wajumbe hao na heshima zao na...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda, amesema wakati umefika kwa wawekezaji wa kimataifa, kuangalia uwezekano wa kuwekeza rasilimali zao katika miundombinu ya kusafirishia gesi asilia kama njia ya kusaidia...
0 Reactions
3 Replies
913 Views
Zitto afichua ufisadi madini Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, ameshauri Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kukagua mapato katika sekta ya madini ya miaka 10...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kama mtakumbuka Uchaguzi Mkuu wa cdm uliopita ulikuwa na mazengwe na kupelekea Chama kupoteza wanachama na viongozi mashuhuri. Binafsi sikupendezwa na hilo na hizi tetesi za manung'uniko miongoni...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
WABUNGE: WASALITI WA WATANZANIA. Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana mjadala wa bajeti ya serikali unaoendelea huko bungeni mjini Dodoma. Miongoni mwa hoja zinazochukua sehemu kubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi nyie jeshi la polisi mmetumwa nn? Wabunge wa cdm wamewakosea nn?hv leo dr. Slaa angekuwa rais mngethubutu kuwatesa na kuwadharirisha wabunge wetu wa kipekee kiasi hiki? Jana mmemkamata mh...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom