Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hatimaye mh. Samweli sitta amemjibu lowassa kuhusu uamuzi mgumu...''uamuzi mgumu wenye 10% siyo uamuzi mgumu.!
0 Reactions
141 Replies
14K Views
Naona mtangazaji kamfuata mzee shinyanga, endeleeni kuona rais mtarajiwa akimwaga sera
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Kwa jinsi nchi yetu ilivyo na kuleana leana kwa mambo ya kipuuzi Republic of South Sudan watatupita kimaendeleo sasa hivi..... Na je ikiwa hivyo nani wa kumlaumu? Tunajifunza nini kutokana na...
0 Reactions
3 Replies
954 Views
Ndugu zangu wanaJF... Leo nimeondoka Bukoba Kuja Karagwe, na barabara hiyo iko kwa matengenezo na kama sikosei ni wachina ama wajapani...Sasa kilicho nishangaza ni kuwa wachina/Wajapani hawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"Tanzania Daima Leo habari yao kuu ni 'Kikwete amjenga Zitto'. Nisingeshangaa Kama habari hii ya kizushi ingetoka Jamboleo. Nashangaa habari hii kuandikwa na gazeti linalomilikiwa na Kiongozi Mkuu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Vijana wakiwa wameweka net za asante bush katika goli ikiwa ni muendelezo wa kukuza vipaji katika fani ya mpira. changamoto inayojitokeza hapo Je kulikuwa na uhitaji wa net hizi???????? Je jamii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Does democracy the way it is defined really suit every nation and culture? Please don't get me wrong, I'm not against democracy. I just see it not working in it's present form when introduced in...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati Dr Slaa anaibua hoja za Richmond na EPA bungeni Dodoma aliitwa mwongo na mara kadhaa Spika wa Bunge alimwambia afute kauli yake. Sisi wote ni mashahidi. Lakini baada ya ukweli kugundulika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ezekiel Kamwaga. Ni yule mwandishi mahiri wa gazeti la Mwanahalisi ambaye hapa majuzi imeripotiwa kwamba ameajiriwa kama Afisa Habari wa Klabu ya Simba. Mwandishi huyu amesitisha ajira yake...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Ndugu wanajf, jana kulikuwa na uchaguzi wa mwenyekiti wa soko la nguzo nane lililopo shy mjini. Uchaguzi huo uliwakutanisha uso kwa uso makada wa vyama viwili asimu nchini namaanisha CHADEMA na...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Kama mfanyabiashara nimekuwa nikisafiri mara kwa mara na kushuhudia magari yakikamatwa na trafiki polisi ambao mimi ninawaita polisi rushwa kwa tuhuma mbalimbali kama vile speeding, gari kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nipo hapa Ubungo na mashine moja imelipuka ghafla umeme ukakata kote. Nahisi tutaambiwa nchi itaingia gizani rasmi
0 Reactions
129 Replies
10K Views
Vibaka wametake over vyombo vya usalama viko kimya, it just danger! Watu wanatekwa tekwa 2.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Taifa lafungwa kitanzi Na Restuta James 11th July 2011B-pepeChapa Maoni Ni mkataba wa kutoa ardhi ya ubwete Yatolewa kwa wawekezaji wa kigeni Hekta moja kulipiwa kodi Sh. 700 tu Wakati Taifa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SIKU alipotangazwa kufariki dunia baada ya kuwapo taarifa za kutosha za kuugua kwake na namna matibabu yanavyoendelea, watu wengi waliamini sasa ndiyo mwisho wa hali ya utulivu na maelewano nchini...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
fungua pdf hii na utapata kila kitu......chanzo cha muungano kiko page ya 118.... http://www.foia.cia.gov/CPE/ESAU/esau-28.pdf
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wajumbe wa NEC-CCM kuchaguliwa wilayani Na Suleiman Abeid, Shinyanga CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza utaratibu mpya wa kuwapata wajumbe wake wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pamoja na mafanikio ambayo yamepatikana kwa baadhi ya maeneo ambayo hapo awali yalikuwa hayatoki maji kuanza kupata maji; yamekuwepo pia malalamiko ikiwemo kupitia JF kuhusu kero ya maji katika...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Tumekuwa tukihesabu miezi wiki siku hatimaye masaa kutimia muda wa siku 90 waliopewa wanaodaiwa magamba ndani ya CCM wajipime na kujiondoa wenyewe ikibidi watalazimishwa kuondoka lakini hadi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama kuna rais wa mijuiza dunian basi ni rais jakaya mrisho kikwete..kana kwamba watu awamiini kilichotokea na kinachoendelea akutokea huyu ndie watanzania kadhaa wa mwaka 2005 walipodai ametoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom