Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Sina maneno, check mchoro
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kumbukumbu zangu Dr. Mwakyembe ndiye alikuwa wa kwanza kupigia debe kupandishwa kodi katika mafuta ya taa, sasa yametimiaNB; LEO NIMENUNUA LITA MOJA YA MAFUTA YA TAA KWA TSH. 2400,, WAPI...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Askofu wa Kanisa la Blessing Alter lililopo mkoani Arusha, Isaya Sizya, amesema anashangazwa na hatua ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kukataa mwafaka uliofikiwa hivi karibuni na kuondoa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kafulila kazua jambo SERIKALI LEGE LEGE haiwezi kukusanya kodi. Duh Bunge shurti hakuna mwelekeo lakini message delivered.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaza EL amesema amezua mjadala juu ya serikali kushindwa kuchukua maamuzi magumu kwa hyo wananchi wataamua juu ya kauli yake.
1 Reactions
74 Replies
9K Views
SIKU chache baada ya Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda (CHADEMA) kupingana na msimamo wa chama hicho kwa kuunga mkono posho, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, amesema...
5 Reactions
267 Replies
23K Views
Jee ktk ukushanyaji wa maoni ya Katiba, Z’bar itakuwa na maoni yake binafsi au tutaingizwa ktk mkumbo wa Tanzania?Written by amini // 12/07/2011 // Habari // No comments Ashekelea Sudani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hatimaye serikali imeafiki malalamiko ya kambi ya upinzani juu ya kupunguza kubana matumizi baada ya kupitishwa azimio katika baraza la mawaziri linalowataka mawaziri wote wanapoelekea bungeni...
10 Reactions
76 Replies
7K Views
Ukifuatilia kwa karibu mijadala inayoendelea ndani na nje ya Jamii forums, utagundua kwamba ndani ya CHADEMA hakupo shwari. Nimeona mara kadhaa Miss parliament na Marytina wakiamua kujifanya...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
yaani tanesco noma hadi kwenye mashindano makubwa wanakata umeme poor country poor tanesco..
0 Reactions
137 Replies
10K Views
Waziri wa ulinzi wa Cyprus amejiuzuru kutokana na scandoo ya mabomu kulipuga kutoka ghala la silaha la jeshi na kusababisha hasara kubwa. Taarifa ya habari za kimataifa kutoka CNN, zinasema ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Matangazo Kazi Scholarships Vifo Written by Ghalib // 12/07/2011 // Habari // 4 Comments Wajumbe wa baraza la wakilishi wameipitisha kwa tabu hutuba ya bajeti ya Wizara ya Ardhi, Makaazi...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Namuangalia mama yangu aliyekuwa mwalimu wa shule ya msingi, yupo kitandani anaumwa, hana uwezo wa kujitibu. Ukweli ni kwamba tunasubiri siku yake tumzike, matibabu yake mpaka nje ya nchi na yeye...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni yeye pekee mwenye uchungu wa kweli na umasikini wa Watanzania. Ni yeye pekee mwenye kuyaelewa matatizo na umasikini wetu unasababishwa na nini. Ni yeye pekee asiye na urafiki na wala rushwa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna kila sababu ya kujiuliza sababu kubwa ya kuongezeka kwa idadi kubwa sana ya wazee kwenye vyama vya upinzani ni kubwa inakaribia kuwazidi vijana ambao inasemekana kuwa vyama vya upinzani ni...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Kutokana na Source yenyewe kutoiamini/Not reliable imebidi nije hapa jamvini!! Shibuda kung'olewa ubunge Dk Slaa kuchukua mikoba ya Shibuda!! Tundu Lissu anaandaa waraka wa kumfukuza Chamani...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Send to a friend Monday, 11 July 2011 08:56 BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limeridhishwa na uwezo wa kiteknolojia alionao mkandarasi aliyeshinda...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Katika kile kinachodhihirisha utofauti wa fikra kati ya viongozi bora na bora viongozi, hapa tunapata mfano husika unaoonyesha hilo. Juzi ilikuwa siku ya kusikitisha kwa taifa la Cyprus ambalo ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huna haja ya kwenda laboratory kupima akili za watanzania, wewe angalia tu vitendo vyao. Rais wa nchi ya Tanzania na washirika wake wakitumia mamilioni ya pesa kumfanyia sherehe ya kuzaliwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Na Juma Mohammed,MAELEZO Zanzibar Hatimaye Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wamepitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Makaazi,Maji na Nishati baada ya mjadala mkali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom