CCM A Purposefully Scavenger
Huwezi kuamini katikati ya Harakati za Wabunge wa Upinzani kuendeleza jitihada za kuikaba koo serikali. Ghafla CCM inachomoa turufu yake tata kufumba macho...
Nimefuatilia sana mambo yanavyoendelea Tanzania na chama tawala cha CCM na nimegundua bado CCM haijagunduatatizo la Tanzania ni nini hasa. Watanzania wanataka maaendeleo to CCM kama ikiamua...
Hebu niwaulizeni enyi wana Siasa, wasimamizi wa fedha (finance management specialists), wadau wa kodi na walaji - Hivi inatia akili kweli kusikia Serikali ikitangaza mabadiliko, kama ya punguzo...
HI ALL!
leo mimi sina mengi ila lawama za kutosha kwa chama changu cha CHADEMA...
chama chetu kina vichwa vya kutosha na ni kweli kazi inafanyika...
shida ni kwamba idara yake ya uenezi HATA...
Wenyeji wa mikoa ya kati hata ile ambayo uwindaji ni moja ya shughuli zao. Wanamsemo usemao,"Ukirusha Mshale Usiku Mawindoni,ukisikia chwiiii!" Jua umempata mnyama uliyemlenga. Hali hii ni dhahiri...
Inakuaje wenzetu wanapeta huku sisi tuna bakuli kubwa kuliko wao? Je letu lina matobo?
http://www.greeneconomyinitiative.com/news/181/ARTICLE/1487/2009-05-16.html
Kenya Gets US$405 Million...
Chama Chahitaji Mapinduzi.
Sote tunajua kinachojiita Chama cha Mapinduzi hakijawahi kufanya mapinduzi yoyote. Neno mapinduzi kwa kadiri ninavyoelewa linaashiria mabadiliko ya haraka ya...
Kama mdau nimefuatilia kwa makini mjadala wa bajeti ya Wizara ya Afya tangu iwasilishwe na Waziri. Nimeguswa na mchango wa mh Hamisi wakati anajibu hoja ya 'msingi' ya Mbunge wa Kigoma Kusini Mh...
Kwa tafsiri yangu binafsi kijana ni yule aliye na chini ya umri wa miaka 55.......................hivyo mawaziri vijana wenye kuangukia umri huo ninawagusa kwenye mada...
Nimekuwa nikifuatilia presidential hopefulls wanaotajwa tajwa kupitia CCM KWA UCHAGUZI WA 2015 Baadh yao ni:
E.LOWASSA
S.SITTA
MH.F.SUMAYE
PROF. M.MWANDOSYSA
B.MEMBE
DR.ASHA-ROSE MIGIRO...
Jamani kwanini Africa in particular Tanzania viongozi wanaingia madarakani na jamaa yake yote na marafiki? Je taifa hili na bara hili litaendelea kweli? kwani kiongozi akiweka wananchi wenye...
Nilikuwa nikitazama bunge la Uingereza juzi na jana kufuatia sakata la Mzee Rupert Murdoch na uvujaji wa siri za serikali na viongozi wa Uingereza.
Nikafananisha bunge hilo na kuona kwamba MKAO...
Akizungumza katika mahojiano na Radio Safari ya mjini Mtwara hivi karibuni Nape amesema serikali ya Rais Jakaya Kikwete ndiyo pekee katika nchi hii iliyokwisha kutoa maamuzi magumu kuliko serikali...
KILA SIKU UKIFUNGULIA REDIO Unachosikia kutoka kwa wabunge hasa wa ccm akiwemo kiongozi
wao Job ndugai ni namna ya kujinufaisha wao kupitia posho na bima za afya kwa wao wabunge sasa unajiuliza...
KAKA yangu Shibuda, John Shibuda, umenishangaza. Umenishangaza na kunikatisha tamaa kwa kuwa wewe ni kiongozi na mwanasiasa ninayekubali siasa zako ingawa imani yangu kwako inaporomoka kwa kasi ya...
Jamani inasikitisha sana Kuundwa kamati ya umeme kukatika uwanja wa taifa na samahani kuombwa,ila sijasikia Tanesco wala wahusika wakiomba samahani kwa watanzia ambao umeme kwao imekuwa ni ndoto...
Kuna mambo ambayo lazima yawekwe wazi ili kutofautisha kati siasa ,uongozi, uwakilishi.hii ni kwasababu siku zote siasa haziwezi kuongoza uchumi wala sayansi,kwani siasa ni utaratibu wa mfumo...
Imetokea asubuhi hii pale kwenye Supu kwa Bonge, Kinondoni, jamaa wamezichapa kavukavu, kisa eti jamaa kamwambia mwenzie kwamba kwa upeo wake wa akili hana tofauti na Mbunge wa CCM. Jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.