No explosive change, please, this is Tanzania, bwana Elsie Eyakuze is an independent consultant and blogger for The Mikocheni Report.
After Tanesco subjected...
Tabia ya uropokaji aliyo nayo Nape ni sawa CCM wameruka jivu na kukanyaga moto. Afadhali ya mzee makamba kadiri ya mizani yangu,
Kuna mambo kadhaa ambayo CCM inatakiwa kuwa macho sana kutokana na...
Nape amesema kwamba kilichotokea mpaka chama kikapoteza mwelekeo ni sawa na wauza duka waliotumwa ambao waliamua kujipangia bei zao wao wenyewe.
Tuliona wauza duka waliotumwa na mwenye mali...
Sudan's parliament passed a law on Wednesday cancelling the Sudanese nationality of southerners, four days after their homeland declared independence from the north, state media reported.
"All...
MAKALA yenye kichwa cha habari Kikwete sasa awa mzigo kwa CCM iliyochapishwa katika gazeti hili wiki mbili zilizopita, imeibua mengi ikiwamo maudhi na furaha. Maudhi na furaha nilizozipata...
Siku za karibuni nimekuwa nikimsikia sita akijigamba na Kauli za Uadilifu wa viongozi na Kuponda wenzake kama si waadilifu na Hata kwenda kwa kuwaita Wapinzani ni Wanafiki kwa kupinga posho za...
Source: Mh 6 Mbeya - Mwananchi.
Mheshimiwa Sita akihutubia wakazi wa Mbeya katika mkutano wa kukisafisha chama na kujibu hoja mbalimbali za wapinzani.
Hivi karibuni kuna wenzetu walisafirisha...
Ningumu sana kuelewa lakini inabidi kwani Tanzania ni yetu.Nchi haina Meli,haina Ndege,Haina Basi,Haina Taxi,Haina hata Hospitali ama Shule yenye 100% bila ufadhili.Sasa kuna aja gani ya kuitwa...
Ndugu wanajukwaa,
Nimeshtushwa na taarifa iliyochapwa na gazeti la Dira la leo juu ya waziri kijana wa serikali ya CCM kuwa ana uraia wa Marekani na mpaka nakwenda mitamboni hapa...
JF naomba tujadiliana hii mada. Binafsi napata shida kidogo kukubalina na kauli hiyo.
Naomba tuwe objective tuangalie swala hili qualitatively siyo kujadili siasa za jumla ya kilomita za...
Mkutano wa CCM uliofanyika mbeya umeonesha dhahiri kuwa sasa chama hiki cha magamba kimekosa muelekeo. Ninazo sababu za kusemahivyo,
i. Kitendo cha makada wa CCM kusimama jukwaani na kuanza...
Mjadala wa Kipimajoto ITV, Mchangiaji anasema kwa mujibu wa katiba iliyopo, kila mkataba wa Jamhuri ya Muungano lazima upitishwe na Bunge, Sasa hii mikataba ya siri inatoka wapi?
MPs push for emergency plan out of power crisis
Friday, 15 July 2011 22:24
By The Citizen team
Dodoma.
MPs yesterday stepped up the pressure on the government to adopt an inclusive...
Gazeti la leo,14 july 2009,linaripoti kwamba,Wakurugenzi na wenyeviti wa halmashauri,vijiji na Jiji la Tanga wanataka JKT irejeshwe kama ilivyokuwa zamani,yaani,nguvu kazi,Serikali iwakamate...
MBUNGE wa Tarime, Nyambari Nyangwine, amesema kama mwekezaji katika mgodi wa dhahabu wa North Mara hatawalipa wananchi fidia halali ya ardhi waliyoichukua na kuwajengea nyumba za kifahari...
Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa sasa ni takribani mwaka wa sita tangu kikwete alipochukua madaraka ya kuongoza nchi hii lakini tatizo la umeme bado halijapatiwa ufumbuzi. Kinachosikitisha zaidi...
Napenda kutoa ufafanuzi wa mambo hapa ili kia Wilium Marecela na wenzake watuelewe sisi watanzania wazalendo.
1. Tumechoshwa sana na matatizo ambayo hayaishi kila kukicha, mfano issue ya mgawo wa...
Niwape wadau wa JF kwa kazi nzuri mnayoielimisha jamii kupitia mtandao huu, salute kwenu.
Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa CCM toka wameanzisha operesheni hii vua gamba, ukiafuatilia kwa makini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.