Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi kweli hapa kuna mutual benefit wakati RSA ni upper middle income country na Tanzania ni low income country? http://www.daylife.com/search?q=Jakaya+Kikwete+and+Jacob+Zuma For instance, it was...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania kama tunataka maendeleo ni lazima tuwe na utamaduni wa kufanya maamuzi bila woga. Maamuzi muhimu sana kuyafanya ni kuondoa serikali iliyopo madarakani endapo tunaona haina tija kwetu...
1 Reactions
0 Replies
866 Views
Napenda kuwahakikishia kuwa sitawaangusha. Utekelezaji wa Ilani yetu ya Uchaguzi upo salama mikononi mwangu. Jakaya Mrisho Kikwete. December 30, 2005. Serikali ya Awamu ya Nne ambayo nimepewa...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Na Gladness Mboma, Dodoma SPIKA wa Bunge, Bi. Anne Makinda amemtaka Waziri wa Fedha na Uchumi, Bw. Mustafa Mkulo kuyataja bungeni kampuni 97 zilizonufaika na mpango wa kunusuru uchumi wa Tanzania...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakati taifa likiendelea kutokomea gizani kila uchao, na wakati shauku ya kusubiri kuona au kusikia hatma ya Jairo na Ngeleja ikiendelea, ziko habari za uhakika kwamba makampuni ya madini na yale...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanaigunga ni watanzania wenye haki ya kikatiba kuwa na muwakilishi bungeni anayefikisha kero zao na taifa kwa ujumla serikalini, Watendeeni haki watanzania wenzenu.
0 Reactions
1 Replies
865 Views
Tumekua tunatumia muda mwingi kujadili swala la jaribio la wizara ya madini na nishati kutoa hongo kwa wabunge kupitishia bajeti ya wizara hiyo.Majina yametajwa Jairo,Ngereja n.k.Hapa kwa kutaja...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mi napata tabu kidogo, nimesikiliza MIKAKATI/MIPANGO NA MBIO nyingi ambazo zilikuwa na lengo la kutatua tatizo la umeme ifikapo mwaka 2015 (Miaka minne kutoka sasa) lakini juzi hapa waziri mkuu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kabla siajaandika tutafanyaje na nina uwezo gani na ninataka watu gani mbele nataka kwanza kujua nina wangapi wanaoungamko hoja. then nitawambia tunafanyaje. please note am serious time has come...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunayaona na kuyasikia yanayoendelea kwenye mihimili hii mitatu yaani SERIKALI, BUNGE na MAHAKAMA. Ni muhimili upi sasa unaomba na kupokea rushwa kwa wingi? Ikiwa hali ni mbaya kwa mihimili yote...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakuunga mkono kwamba rais hana habari na shida za wananchi wake. kama ulimsikiliza jana alipokuwa anahojiwa BBC alijibu maswali kipuuzi sana tena huku akicheka. Hivi kweli miaka hamsini ya uhuru...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ufisadi uliotingisha bunge katika wizara ya Nishati na Madini - Kwa nini hao mawaziri wasijiuzulu? Inaonekana hawa mawaziri wana nguvu inayowalinda Licha ya wananchi wa mijini kuchoka migao ya...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu. Msukumo ukiwa: kwa nini Chancellor Bismark kunako 1884 alipowaita wakoloni wenziye wagawane Africa yeye alichukuwa Tanganyika na Namibia tu wakati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Makinda asubiri barua ya Rostam CCM Wednesday, 20 July 2011 21:13 Spika wa Bunge,Anne Makinda Leon Bahati, Dodoma, Elizabeth Ernest, Dar UAMUZI wa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz kujiuzulu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MNAFIKI ni mtu mwongo mwenye matendo kinyume na maneno yake; mtu anayefanya jambo tofauti na anavyoahidi; mzandiki. Akilihutubia Bunge hivi karibuni, Mbunge wa Urambo Mashariki, pia Waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naibu wa mambo ya ndani Khamis Kagasheki amesema CCM haiwezi kujisafisha kwa wananchi kwa kung'ang'ania Chenge na Lowassa kufuata mkondo wa Rostamu Azizi. Ameyasema hivi punde katika mkutano na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana JF, Nimeona waraka wa msajili wa hazina wa mishahara itakayolipwa mwezi huu mwishoni inaonekana mishahara imepanda kwa zaidi kidogo wa asilimia 10. Waraka wenyewe alikuwa nao Ofisa utumishi...
0 Reactions
66 Replies
10K Views
London Mayor Boris Johnson is raising a stink over minor congestion charges he says President Obama's motorcade incurred while visiting his city, the London Evening Standard reports. Johnson has...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimepata habari za uhakika kutoka kwa Mkuu wangu wa kitengo cha rasilimali watu(Head of Human Resource-HHR) kuwa ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa serikali ni asilimia kumi na moja(11%) kwa...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
  • Closed
Sio wa mwanzo kufanya makosa na sio pia tanzania mpya. Dk Hosea alisakamwa ndani ya bunge hadi kwa vyombo vya haabari na kushindikizwa kujiuzulu. lkn bado anadunda ndani ya ofisi ya...
2 Reactions
226 Replies
21K Views
Back
Top Bottom