Naomba nianze kwa kusema hivi...chama cha democrasia na maendeleo kina wenyewe ambao ni wachaga...Tindu lisu aendelee kupiga kelele ivo ivo cku akitaka uongozi wa juu ndani ya cdm ndo atawajua...
Uliutaka urais na ukaupata.
Hakuna heshima nyingine tena utakayoipata zaidi ya hii uliyoipata ya kuwa rais wa taifa letu. Nakusihi kama kweli unaipenda nchi yetu achia madaraka ili mwingine nae...
Jana kwenye kikao cha bunge wakati mbunge wa CHADEMA- Leticia Nyerere alipokuwa anazungumza alikuwa akichanganya kiingereza na kiswahili, kuna mbunge mwingine simkumbuki jina wala chama chake...
Mpaka siku ile tutakapopata RAIS mwenye uchungu na nchi yake.ambaye anaweza kuwaprosecute wahusika wa skandali zote hapo juu,bila kujali wadhifa zao ,Ndipo taifa letu litasonga mbele.Tumeshikwa na...
Wadau jumamosi tarehe 30 july 2011, star Tv watarusha mdahalo wenye mada, Bunge la kumi na tanzania tunayoitaka, wazungumzaji wakuu watakuwa Mh. Ndugai Naibu Spika na Tundu lissu.
Bila shaka hii...
For the last two days sijasikia aliko rais wetu..najua yuko SA, but normally huwa tunaonyeshwa anachokifanya anapokuwa nje ya nchi. Cha kushangaza juzi na jana hatujamuona akirudi au kuambiwa yuko...
Mh Kafulila hasikiki kabisa kulinganisha na wabunge wenzake wa CDM. Tatizo chama chake au ni uwezo wa kujenga hoja.
Sielewi kinachofanya Mbunge akubalike katika jamii ni hoja zake binafsi au...
Ni kweli Tanzania tumeishiwa kabisa watu wenye akili au ni masihara ya kuwaachia viongozi wawe ndio waamuzi wetu, maana nchi ni kama haina wataalam na wachumi kabisa wa kuweza kutuongoza au...
Naingiwa na hofu kila ninaposikia migogoro ya aina mbalimbali ndani ya CDM. Zito, mitazamo yake na ukaribu wake na Tiss (waliojipa majukumu ya kuilinda CCM dhidi ya wananchi walioichoka kwa...
Nazungumza kama supporter mkubwa wa CHADEMA na niliyemchagua Godbless Lema kama mbunge wangu. Niko mjini na niko mobile sana huwa nazunguka katika kata kadhaa za hapa mjini. Wananchi wengi...
Pamoja na suala la bi huyu kufichua maovu makubwa ya wizara ya nishati na madini mbele ya jamii ambayo imepelekea kusimamishwa kwa katibu mkuu wake na shinikizo la kujiuzuru jwa waziri na naibu...
wadau,
nilikua natafuta habari kwenye site wizara ya sayansi... na kwa kuwa mimi si mtaalam sana wa computer nimekuta hii kitu inasema "i installed my own language but the back-end is still in...
"Mr President,what I am trying to say is that we are ALL,EDUCATED and UNEDUCATED ALIKE,MEMBERS OF ONE SOCIETY,and EQUAL HUMAN BEINGS in that SOCIETY.We can try to cut ourselves off from our...
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta, amesema ataendelea kusema ukweli daima kwa wananchi kuhusu kasoro ndani ya CCM na serikali akiamini kuwa huo ndiyo uwajibakaji.Sitta alisema...
Waliopewa viwaja vya kupima(Plan) na Serekali na wakajenga,haliyakuwa yalikuwa ni mashamba ya watu kabla ya mapinduzi,Jee Serekali ya SUK itashukuwa hatua gani?.Written by Hassan10 // 23/07/2011...
Ni wazi kabisa kuwa CCM ina mpasuko mkubwa, mpasuko ambao unatishia mustakabali wa uhai wake. Na si siri kwamba mpasuko huo unatokana na makada waandamizi katika CCM kuelekeza macho yao katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.