Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mkuu wetu vipi siku ulizo wapa madiwani wa Arusha hazijaisha tu kila siku unazidi kujidhalilisha mana mwenyekiti anakutumia ipasavyo kama vuvuzela angalia unajidhalilisha ili uchuje kama kitenge...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari kutoka ndani ya vikao vya CCM zinasema kampeni ya CCM Igunga itaongozwa na Capt. mstaafu wa jeshi la wananchi wa Tanzania John Zephania Chiligati na Mwanasiasa kijana Nape Moses Nnauye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Familia ya Nyerere imesema tangu Mizengo Pinda achaguliwe kuwa waziri mkuu hajawahi kuitembelea familia hiyo wala kuzuru kaburi la hayati Baba wa Taifa. Akiwakaribisha madiwani wa manispaa ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu dogo kumbe mkali hivo! Wakati anachangi bajeti ya wizara ya kilimo, amesema kwamba serikali haiko makini kwenye kilimo, ile kauli ya kilimo ni uti wa mgongo imeshakufa, wakulima wamechoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naombeni kama kuna mtu anajua hilo anieleze,nimeona kikwete kaweka hiyo taarifa kwenye facebook yake, najua nyumba ya yule mzee pale bagamoyo ilivyochoka haionekani kama ni nyumba ya mkuu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wildlife Conservation Society of Tanzania(WCST) wanasema watamshauri raisi juu ya kujenga barabara ardhini huko serengeti. Ushauri wao ni wa uongo. Washauri wa kikwete kama ndio hawa tutegemee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimu sana. Leo tena mkuu wetu wa nchi katika hali ambayo ni ya kizembe Kaaga na kushuka kwenye jukwaa akiwa amesahau kabisa kuwa Ameongozana na viongozi wenzake wa nchi. Alipofika...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Naona CDM wameanza kuvizia kuichukua iliyokuwa himaya ya Rostam. Nafikiri kati ya vitu ambavyo jamaa hawa waliwahi kuwaza au ku-foresee ni pale walipoamua kufanya ziara ya ujenzi wa chama mkoani...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
wadau msimamo wa mzee 6 mimi binafsi unanichanganya sielewi mzee huyu kama kweli anayoyasema anayatenda au hayatendi, naomba wataalamu wa mambo wanisaide kujua msimamo wa huyu bwana6.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Great thinker ......kweli nimeshangazwa na uchangiaji humu JF juu ya KATIBU mlikizo Mh..Jairo....! nimeshangazwa kwasababu nimeisoma ile barua mara ya kwanza....nikadhani labda nakosea,nimeirudia...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ngeleja anazidi kutugawia giza badala ya kutupa umeme! kinachonishangaza katibu mkuu wa wizara anatuhumiwa kwa kukusanya pesa za kuwahoga wabunge ili wapitishe bajeti lakini eti Ngeleja yeye...
0 Reactions
1 Replies
818 Views
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba Katika hatua nyingine; Jaji Warioba alisema kuwa kuna tatizo la baadhi ya viongozi kuogopa kutoa maamuzi magumu kwa kuogopa kulaumiwa. Alisema kuna wakati...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Monday, 25 July 2011 08:47 Waandishi Wetu MPANGO mkakati wa kujivua gamba kwa lengo la kurejesha uhai ndani ya CCM unaelekea kuwa bomu la maangamizo kwa chama hicho, baada ya baadhi ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne na mbunge wa Monduli, Mh Edward Lowasa ameamua kuwaachia ccm yenyewe iamua hatima yake ndani ya chama hicho na wakati huo huo ameandaa watu wa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Ndugu wanaJF, Kwa jinsi serikali ya kikwete ilivyo legelege na inavyoongoza nchi hovyo hovyo, bado kuna watu wasio na haya wanaojitokeza hadharani na kumsifu. Binafsi nashawishika kuwaona watu...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Kama ni tarajio la cdm kufanya vema ktk uchaguzi ujao na hata chaguzi ndogo zinazojitokeza kama jimbo la igunga lililowazi kwa sasa,basi viongozi wa ngazi ya taifa msikurupuke kaeni na madiwani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Huku mitaani wananchi wameduwazwa na udikiteta unaoendelezwa na uongozi wa juu ndani ya chama hicho.Wamekuwa wakijiuliza iweje kila jambo viongozi watake kulitolea uamuzi?.Wananchi hapa mtaani...
0 Reactions
83 Replies
6K Views
katika uuzaji wa shirika la usafiri dar es salaam UDA, shirika hili limebinafsishwa kwa kampuni ya Simon Group Limited kwa bei ya kutupwa ya shilingi milioni 285 badala ya shilingi bilioni 1.4...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
*Mpendazoe asema walinadiwa na JK ni wachapakazi Na Waandishi Wetu KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Fred Mpendazoe amebeza hatua ya Chama Cha Mapinduzi kuwatosa makada...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wenzetu Malawi wameanza kumchenjia Bingu...Na sisi tunaweza kumchenjia JK? Jiunge na harakati hapa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom