Mwenzenu nimeamua kujifunza kwa kina huu Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA). Kwanza kwa sababu nasikia huwezi kuzungumzia mipango ya maendeleo bila kujadili au kujua...
Tanzania! Some wat a strange country.
- Got a whining president & prime minister. They publicly cry out on matters they 've jurisdiction 2 sort out themselves but sadly,end up whiners more than...
Leo nilikuwa nasikiliza radio nikasikia msaidizi wa mkuu wa wilaya akisema kuwa wameunda timu ya vijana kufuatilia mabaki ya mabomu,halafu akasisitiza kuwa ana taarifa ya mabomu mawili kule...
Wakuu Salaam,
Nimekuwa nikishangazwa sana na jinsi nchi yetu ilivyoacha mambo mengi yajiendee yenyewe. Vitu vingi tumeviacha vijiendee hasa katika sekta ya uwekezaji, kipekee ile inayomilikiwa na...
My note! mimi hii nimeipenda sana,kama hawa watoto wameamua kuandamana itakuwa ni njia nzuri sana ya kuwafungua macho wazazi mbumbumbu na kuhamasisha vijana wote wa Tanzania kudai na kutetea haki...
SIKUBALIANI kabisa na uamuzi wa serikali kusimamisha tiba ya Babu Samunge. Kama ni kujaa mbona Muhimbili hospitali ya rufaa ya taifa imejaa wagonjwa hadi kwenye sebule au corridors na hata neti...
Waziri mkuu Mizengo Pinda juzi binafsi amenichefua akili yangu sana, kwanini ameshindwa kutofautisha siasa na utendaji? Eti anampiga stop Dr. Magufuli juu ya upanuzi wa barabara zetu na kuuita...
SIKUBALIANI kabisa na uamuzi wa serikali kusimamisha tiba ya Babu Samunge. Kama ni kujaa mbona Muhimbili hospitali ya rufaa ya taifa imejaa wagonjwa hadi kwenye sebule au corridors na hata neti...
Nimesikia kwenye BBC leo kuwa Baraza la Mawaziri litakaa siku ya Jumamosi hii (12/03/2011)kutathmini hali ya kuporomoka kwa uchumi nchini.
Akiongelea suala hilo, Waziri wa Fedha Mkullo amesema...
Political analysts and activists have criticised President Jakaya Kikwetes advisers over misleading or outdated information provided to the Head of State.The President has apparently been relying...
Tanzania has started benefiting from Turkish investors, who are fulfilling their promise to invest, produce products in the country for export to Turkey and other countries.
The investors have...
Fellow Tanzanian, the CCM has given us a minimum of 50yrs to kick them out, think now is the time to elevate and exponentiate our efforts so we can reduce it to atleast 20.
Just becoz they...
baada ya uchunguzi nilifanya kwa muda mrefu
nimegundua tanzania ni nchi pekee ambayo haina raisi/kiongozi
mawaziri wamekuwa wanazozana kama watoto wanaofuatana katika
familia
jk sasa...
KAMATI ya Nishati na Madini imeamuru kuwashwa mara moja kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya Kampuni ya Dowans ili kupunguza tatizo la mgawo wa umeme.
Hatua hiyo ni kati ya maazimio na...
Wanajf hii nayo imekaa vizuri. inafikia hadi wenyewe wanakiri udhaifu wao
:hand:CCM Dar: JK amekwama
Yataka mitambo ya Dowans kuwashwa haraka
na Betty Kangonga...
Unaamini ya kwamba Historia inajirejea ? Nikweli kuwa Kura za Waislamu zinamchango mkubwa kumuweka Raisi yeyote madarakani hapa Tanzania. Hili lilianza tangu wakati wa Mwalimu Nyerere. Muulizie...
SERIKALI imesema propaganda zinazoenezwa na CHADEMA katika maandamano ya kutaka kuiondoa madarakani serikali ni sawa na ndoto za mchana. Hatua hiyo inatokana Tanzania kutawaliwa kwa kufuata mifumo...
Waziri wa Afrika mashariki Mh. Samweli Sitta amesema CCM wanatakiwa kujiangalia upya kuhusu mwenendo wa viongozi walio wengi wa chama hicho ambao wanakipeleka chama pabaya na chama kupoteza...
Kutokana na ubovu wa barabara ya kuelekea loriondo kwa babu, mbunge wa moshi mjini ndesamburo ametoa helcopta yake kupeleka wagonjwa mahututi kupata tiba kwa babu. Source: tbc-habari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.