Pichani Elias John
Eliasi John (28) of Kigamboni Vijibweni is accusing a police officer of Minazini station of injecting a liquid suspected to be acidic into his eyes causing him permanent...
Jamani wanaJF ni masikitiko makubwa kwa yaliyowapata rafiki na ndugu zetu wajapan! Lakini kwa haraka naomba kuuliza kama wote tumeenea! Isijekuwa kati yetu wamesafiri kwenda japan kwa mapumziko na...
Wandugu wapendwa!
kwa kiasi fulani kile kilio cha ofisi ya chama cha demokrasia na maendeleo kuwa na ofisi ya mkoa yenye kufikika kwa urahisi (strategic location) na watu wengi (busy street) na...
Hello wana JF
Ningependa kutoa maoni yangu kama ifuatavyo
Nashukuru wana JF kwa michango yenu na habari mnazotuletea sisi kwetu ikiwa ni changamoto kwetu kujua mambo yanavyokwenda nchini...
Kweli chama cha CHADEMA kinazidi kujiwekea hazina ya wasomi hapa nchini na kinakubalika kwa asilimia kubwa sana kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.
Hivi karibuni wanafunzi wanachama na wakereketwa wa...
Ningependa kufahamu mawazo yenu, je sisi ambao tumepata nafasi ya kuchangia katika hoja mbali mbali humu kwenye JF na forums nyingine, je tunaweza kubeba mawazo ya watanzania wote?, je ndizo hasa...
kUNA MWELEKEO MPYA WA MIJADALA HAPA NCHINI KUTOKA KWENYE UFISADI HADI KWA BABU LOLIONDO.JAMANI NCHI HII INA TATIZO KUBWA LA UONGOZI TUJADILI HAYO TUMWACHE BABU AFANYE MABO YAKE
HIVI NANI...
kuna sababu gani ya kuwa na hizo bajaji wakati
hospitalini hakuna madakitari wa kutibu wagogwa
na kama unadharula unazipataje hizo bajaji
mimi naona huu ni wizi mwingine wa kikwete na kundi
lake
KULIKUA NA SABABU GANI KIKWETE KWENDA KUMCHAGUA HUYO WAZIRI MKUU PINDA AMBAYE HALIKUA AJULIKANI,
SIFA KUBWA YA PINDA NI MTOTO WA MKULIMA, NA NI KWELI MAANA ASILIMIA ZAIDI YA 80% YA WATANZANIA...
Katika mambo yanayonishangaza ni mpango wa serikali kuingiza pikipiki aina ya bajaji zilizopewa jina kuwa za kisasa kubeba wanawake wajawazito...na kwa upande wa pili wabunge wetu wakipigiana...
* Blaise Campaore played a key part to kill Nyerere's Idealistic revutionalist Thomas Sankara. Blaise Campaore is gready for power now is AU peace Council is this a joke?
* Jacob Zuma said he...
RC ARUSHA agoma kusitisha huduma ya Loliondo, asema
- hajapata barua yoyote kutoka wizarani
- kwa hali ya sasa na wingi wa watu ni vigumu kusitisha huduma hiyo
SOURCE : mwananchi
update...
Tuache unafiki na ubishi wa kujifurahisha nafsi wa funika kombe mwanaharamu
apite. Ukweli ni kwamba bara la Africa limevamiwa na wageni wengi kutoka nje.
wengi wa wageni hao ni Wazungu,wahindi...
Wanasiasa na sisi tunaojiita wasomi tumekuwa tunaongea sana . lakini tunashindwa kuonyesha mifano japo mara moja au masaa machache kwa wiki.
Ni mwanasiasa , kiongozi u msomi gani yuko tayari...
Kama mwakyembe aliweza kuvaa magwanda na kusimamia ukweli na haki kwenye ile tume hawezi kushindwa hili.
Sitta naye Alijipatia sifa kem kem kwa bunge lake kwa msemo wa speed and standard.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.