Kuna baadhi ya wanasiasa na wanaJF walibeza maandamano ya Chadema kuwa hayatakuwa na impact yeyote, wengine wakadiliki kusema Chadema hawatapata watu Mwanza, lakini kadili siku zilivyoendelea...
Malcolm X
I am for violence if non-violence means we continue postponing a solution to the American black man's problem just to avoid violence
I don't even call it violence when...
Ndugu zangu wanaJF,
Inawezekana wengine wamefungua thread hii wakiwa wamefura kwa hasira baada ya kusoma title. Lakini ukisoma kwa umakini ninachotaka kueleza bila shaka hasira zitapungua au...
kama ulikua ujaona walichofanya police huko tarime kacheke mwenye sikuweka
ku copy hizo video zina protection
www.lifeofmshaba.com: POLISI WALIFANYA UNYAMA TARIME wakati wa uchaguzi mdogo
Ni nashanga kuona kamati ya ulinzi iwe ya kitaifa au kimikoa zinafuatilia "wanaopandisha bei ya Sukari" na kuacha kufuatilia mambo mengi yanayo tokea katika jamii ambayo yana madhara makubwa kwa...
Juzi, Serikali kupitia kwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Haji Mponda ilimwagiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha kusitisha kwa muda utoaji wa huduma hiyo hadi itakapojiridhisha kwamba dawa...
Wana jf
ningependa kujuwa hivi vazi la Taifa letu Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ni lipi haswa? kwani ktk ile siku ya waafrika huwa naona watu wengi kutoka afika kila mtu kavaa vazi lasmi la nchi...
* Kamati ya siasa ya mkoa yabariki
* Nikutokana na utoro wa vikao kwa miaka Nane
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Prof, Mark Mwandosya ambaye ni mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa ya Chama Cha...
jamani haja jamaa walileta shule za kata nikapeleka mtoto wangu
hakapoteza miaka minne katoka bila cheti, sana wamekuja na hili
la bajaji swali ninalojiuliza hizi bajaji zinawapeleka watu...
"Dr.Mponda,waziri wa afya..SERIKALI YASITISHA HUDUMA ZA BABU LOLIONDO.,William Lukuvi,waziri wa sera na bunge..HUDUMA ZA BABU LOLIONDO KUENDELEA..."ni maneno ya mawaziri wawili walioko ktk baraza...
Kwa maelezo ya waziri Mh Lukuvi jana 'serikali haijawahi kusitisha tiba ya babu wa Loliondo' kila mtanzania anayefuatilia anajua huo ni uongo. Swali langu mbona tunakosa uungwana wa kukubali kuwa...
Hello wana JF
Ningependa kutoa maoni yangu kama ifuatavyo
Nashukuru wana JF kwa michango yenu na habari mnazotuletea sisi kwetu ikiwa ni changamoto kwetu kujua mambo yanavyokwenda nchini...
March 11th, 2011
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete mchana wa leo, Ijumaa, Machi 11, 2011, amerejea nyumbani kutoka kwenye ziara ya kikazi mjini Addis...
Waziri mkuu wetu mizengo pinda kalemewa na utajiri kiasi kwamba haoni kama nchi yote wananchi wana hali ngumu ya maisha
anajifanya kusikitika kwamba ngara hali ni mbaya zaidi wakati hata kwao...
Juzi nilibahatika kusikiliza radio moja ya kidini, Radio Imaani, watangazaji waliokuwa studio, walinukuu gazeti moja li kiislam, likihoji suala la DOWANS ni mmliki au kanzu yake.
Kwa mujibu wa...
Naombeni kufaham kuhusu makamu wa mwenyekiti wa chadema,
Mara ya mwisho nimesikia kuhusu yeye alikua ana pelekwa India kwa matibabu!
Bado yuko india au hali yake inaendeleaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.