Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Najua kuwa jimbo la musoma vijijini linaongozwa na nimroad mkono,lakini nackia kuwa jamaa huyuu anampunga wa kutisha,naye tunaweza muweka kundi la mafisadi au?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Membe amesema Gbagbo ataondolewa kijeshi ili kumpisha rais halali Alassane Outtara. Amewataka watanzania kutambua kuwa vita itakayotokea nchini humo ni halali na yenye lengo la kupigania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukweli ni huu,(kuusuta uwongo) -Aman Thani Fairooz
0 Reactions
0 Replies
5K Views
jana nimeangalia Taarifa ya habari ya jioni Saa 2 TBC ikatoa habari ya kikao cha CCM huko musoma juu ya kipi kimesababisha Musoma karibia majimbo yote kushikiliwa na Chadema na hapo ndipo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
je yaweza kuwa mbinu yakutupotosha au kutufumba macho sisiwatanzania?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema uhusiano baina ya chama chake na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuunda serikali moja ya kitaifa visiwani Zanzibar...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri mkuu wa japan Naoto khan akiongea na press confernce live CNN.Huyu kiongozi anaelezea madhara halisi ya tsunami iliyoikumba nchi hiyo.Tofauti na niliyozoea kuona hapa kwetu,huyu anaongea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wa kuu,naamini weekend yenu inaenda vizuri na mnaedelea kufurahia maisha kama mlivopangiwa na wajanja. Tumekuwa tukilalamika sana kuhusu masuala haya,"ufisadi" na "umasikini" naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Heshima kwenu wote. Napenda niulize na tueleweshane na kufundishana baina ya kizazi cha zamani na cha sasa juu ya mambo ya nchi yetu, ili iwe rahisi kujadiliana na kujuzana. 'Hivi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni jambo la kawaida kusikia aaa ni mapenzi ya mungu au aaa mungu amemwita' pale inapotokea mtu au watu kufariki dunia. Swali langu ni -Hivi ata kibaka sugu, jambazi sugu,tapeli sugu nk. ikatokea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"...Ikulu si sehemu ya walanguzi na wahuni.."
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kufuatilia hali ya kutowajibika kwa serikali na hasa ikizingatiwa kuwa moja ya sababu ni kukosekana mtu wa kuwawajibisha viongozi; natoa rai kuwa katika uchaguzi ujao ndani ya chama, Kikwete...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Rais wa Tz alinukuliwa akilalamika chadema wanataka kuvuruga amani,akafuatiwa na mawaziri wake,leo waziri wa mambo ya nje naye analalamika,viongozi wote wanalalamika, najiuliza kama kweli Jk ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi ni Mtanzania gani asiye penda haya? 1. Makazi bora. 2. Afya bora 3. Elimu bora Nnaimani kila mtanzania hicho ndicho akipendacho, CCM ilipewa muda wa miaka50 itimize hayo, lakini ukweli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu,Wanafunzi wa Primary na Secondary wameandamana kupinga nauli kupanda,polisi wakatumia nguvu kubwa sana kuzuia maandamano.Je hili ni haki?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
japo si mwanamazingira, lakini suala la mabadiliko ya tabia nchi kwa sasa ni dhahiri na linaweza kutamalaki mahala popote Mungu akiamua. Tunakumbuka ya Kimbunga Katrina kilivyoitafuna New...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amepokewa wilayani Missenyi kwa mabango yanayokemea kauli za CHADEMA zinazoashiria uvunjivu wa amani.Katika hali inayoonyesha kukerwa na siasa za namna hiyo, wananchi...
0 Reactions
112 Replies
9K Views
Nimejaribu kuangalia tume nyingi zinazoundwa hapa tz hasa chini ya serikali nakugundua nyingi hazina tija zaidi ya watu kujinufaisha kwa kupata posho. Punde majanga yanapotokea au ubadhilifu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimekutana na hii picha kwenye mtandao ikionyesha waziri wetu wa elimu tena mwenye shahada ya uzamivu katika uhandisi ikiwa anaomba kura. sasa mtu kama unampa wizara nyeti kama ya elimu unategemea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanaJf, ni muda umepita sasa toka mh. Rais alipotoa msimamo wake, wazo lake juu ya kuanzisha Constitution Review committee itakayo uhisha katiba ya sasa na mahitaji ya wakati huu, na toka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom