Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna taarifa zinatinga mezani kwetu zinadai kuwa kuna mchezo mchafu kafanyiwa mpambanaji Dr. Slaa kwa kuwekewa vinasa sauti chini ya godoro lake na tayari polisi wanaelekea chumbani kwake na watu...
0 Reactions
222 Replies
29K Views
Ni kiongozi makini sana. Ana upeo mkubwa sana wa kufikiri na kutenda. Anathubutu na anawapenda watu wake. Majuzi akiwa katika kijiji cha Lolkisale Monduli Lowassa alisema yeye akiwa mbunge...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ni mawazo tu ambayo nime fikiria. Vitu ambavyo vinge tokea Tanzania inge kuwa nchi tofauti na ilivyo sasa (iwe kwa uzuri au ubaya). Inge kuwa vipi..... 1.Kama Nyerere ange baki kuwa raisi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
* Calls for amendments to U.S. legislation *Minister terms the law unfair DAR ES SALAAM, March 3 (Reuters) - A Tanzania business group has opposed a new U.S. law labeling all gold produced...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau yaliyotokea Arusha jan 5 bofya hapa YouTube - Machafuko ya Arusha Part II
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mh. Samwel Sitta Mb, Waziri wa Afrika mashariki amekitaka chama chake cha mapinduzi kuchukua hatua za haraka na muhumu za kujirekebisha, hatua ambazo zitaweza kukijengea chama chake picha nzuri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi kwa nini Watanzania wanaochukia rasilimali za taifa kuibwa na mafisadi tusichukue hatua dhidi ya mafisadi, angalau wale wanaojulikana. Tunaweza kuanza kwa kususia bidhaa na huduma za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunapolazimishwa kuwasha mitambo ya DOWANS tunaambiwa umeme uliopo hautoshi kwakuwa mabwawa yamekauka! Hata hivyo majuzi nilipita maeneo mbalimbali nikielekea DSM. katika mikoa ya mbeya, iringa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zilizoripotiwa na gazeti la habari leo ni kuwa mmoja wa wanafamilia ya Nyerere ametoa tamko la kuikana chadema na kusema kwamba chama hicho kisitumie jina na kaburi la hayati Nyerere...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
12th March 2011 THE Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) will on Monday float tenders for hiring 260 mega watts (MW) emergency power plants as it seeks to address the ongoing power blues...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Addis Ababa, 11th March 2011 PRESIDENT Jakaya Kikwete returned home a contented man on Friday after the African Union (AU) panel he was part of had its recommendations approved by the AU Peace...
0 Reactions
3 Replies
909 Views
HATIMAYE aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Segerea (CHADEMA), Fred Mpendazoe, amelipa sh milioni 15 katika Idara ya Fedha ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam ikiwa ni dhamana ya kesi yake ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mh.Waziri mkuu Mizengo Pinda akihitimisha ziara yake mkoa wa Kagera leo ametoa agizo kwa wakuu wa mikoa kuangalia athari za majengo na nyumba zitakazobomolewa kutokana na kujengwa kwenye hifadhi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
President Jakaya Kikwete has invited Japanese and Turkish businessmen to inject more investments in Tanzania in various economic sectors especially power generation, agriculture, fisheries...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
BBC News - Japan quake: Huge explosion at Fukushima nuclear plant Huge blast at Japan nuclear power plant A massive explosion has struck a Japanese nuclear power plant after Friday's...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
WAFANYAKAZI wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) wameitaka Serikali kuilipa Kampuni Dowans deni lake la zaidi ya Sh bilioni 95 kwa madai kuwa, ndiyo iliyoshiriki mchakato wa mkataba huo bila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
» See all analysis and opinion Africa water | burundi | DRC | Egypt | Ethiopia | kenya | Nile | Sudan | tanzania | Uganda The giggles started when the seventh journalist in a row said that...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na hali ya matokeo mpaka sasa ya UBUNGE nadiriki kutamka kuwa Dr. Slaa anastahili kuitwa SHUJAA wa KARNE HII YA 21. Amechangia sana kwa ushindi wa majimbo ya ubunge ambayo CHADEMA...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa miongo miwili na nusu sasa, nchi yetu imekuwa ikitekeleza kile kinachoelezewa kuwa ni mabadiriko makubwa ya uchumi (structural adjustment), chini ya usimamizi wa mashirika ya fedha duniani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi huchangazwa na Wtanganyika ukisema kuhusu kero za Muungano na kasoro za Muungano hujaa juu na kubadilicha topic na kusema tutawahamicha wzanzibar waloko Tanganyika na hatuto wauzia vidunguu...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom