Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Siku hizi nikifuatilia habari na propagandas za ccm sioni kama ccm wanania nzuri na Tanzania. Kila leo wanarusha maneno ya kuchochea na kulaumu Chadema, wakati wao wapo serikali kwa miaka hamsini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kati ya vitu vinavyotia kichefuchefu mbele ya wananchi ni unafiki unaofanywa na viongozi wa CCM kusema kuwa vyama vya upinzani vinatumia lugha chafu na ya uchochezi vinapowaelimisha wananchi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mh. Lameck Airo amejitokeza na kusema asipo chaguliwa 2015 kuwa mbuge wa Rorya, anaondoka na samani zote za ofisi. Hizi ni pamoja na meza,viti,kabati, nk. My side hivi hawa wabunge wa ccm huwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa kuhusu mpambanaji Wilfred Muganyizi Lwakatare,Mkurugenzi Oganaizesheni ya Intelensia ya CDM, make nimekuwa simuoni katika harakati za hivi karibuni.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
All unemployed youths in the country will, from the coming financial year, be registered and trained on entrepreneurship skills and assisted with tools to employ themselves, the government has...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wengi wetu huenda tukawa na kumbukumbu za kutosha juu ya mafuriko yaliyotokea mkoani Kilosa mkoani Morogoro. Jitihada zilifanyika za kutosha kukusanya rasilimali na jeshi likahaamia huko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu ni ushauri tu na maoni yangu... Kwa kuwa kuna maoni mazuri mengi yatokanayo na mijadala ya mtandao wa JF jukwaa la siasa ikiwemo majibu sahihi ya vijembe mbalimbali vinavyopigwa kila leo na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Membe, Mengi, Mwandosya nao wamo IJP: Tuna taarifa hizo, tunachunguza Sheikh Yahaya Hussein naye ahusishwa KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini, Dk. Willibrod Slaa ametajwa kwenye orodha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni hivi leo tu kumerushwa habari kwenye televisions na radios kuhusu mlipuko kwenye kwenye sehemu ya kuzalisha umeme(JAPAN),pamoja na maafa mengine yaliyo wakumba,lakini kilichonifuraisha ni jinsi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Part 1 Media manipulation ni njia mojawapo inayotumika katika Public Relations ambapo wanasiasa wamekuwa wakitengeneza picha au mantiki ambazo zinazolinda maslahi yao na vyama vyao. Mbinu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Akizungumza na NIPASHE jana jioni kuhusu madai ya kufungwa kwa mgodi, Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, alisema suala hilo ni la kisheria na anachofanya Dk. Kigwangalla (Mbunge wa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Fri Mar 11, 2011 8:01am GMT DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's economy will grow at a slower rate than previously expected this year, weighed down by a power crisis and rising prices...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukiwasikia mawaziri wa JK wanavyotoka kila mtu na statementi yake unaona kabisa ndani ya serikali M/kiti wa baraza la mawaziri si tu kazi imemshinda bali amepoteza udhibiti wa baraza lake na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akihutubia mamia ya wakazi wa kata za uyole, amemshangaa rais kwa kutomwita mmiliki wa dowans, amesema rais, alisema hamjui mmiliki sasa kajileta mwenyewe kwa nini asimwite ikulu na kumkamata...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
  • Closed
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amesema haoni tatizo katika maandamano yanayofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
0 Reactions
133 Replies
12K Views
Ni lini,Matatizo haya, kero hizi, usumbufu huu utaisha?:- 1.Ufisadi na rushwa sugu! 2.Ukosefu wa ajira na fursa finyu za kujiajiri! 3.Mgao sugu wa umeme! 4.Katiba 5.Mikataba hewa,feki na yenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uko Marekani na wewe ni Mtanzania Unao uwezo wa kurudi nyumbani au kutengeneza voters registration program ndogo katika jimbo lako na ukaifadhili wewe na marafiki wachache.(Keep in mind idadi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri wa Jakaya Kikwete, Sophia Simba, akiongea kwenye TBC leo asubuhi amesema kuwa viongozi wa CHADEMA wanapewa pesa nyingi kutoka nje ili kufanya maandamano kwa lengo la kuifanya nchi...
0 Reactions
606 Replies
42K Views
Jamaa yangu wa karibu alie Arusha ananiambia kwamba viongozi wengi wa CCM na serikali wameshafika kwa babu wa Loliondo kupata matibabu. Naambiwa hata mkwere na baadhi ya mawaziri wake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna taarifa kuwa watumishi walioajiri katika ofisi za halmashauri ya jiji la mwanza wamekuwa katika wakati mgumu tangu chadema waanze kuiongoza halmashauri hiyo ambayo ni miongoni mwa halmashauri...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom