Binafsi sioni mantiki ya kulipisha ada ya maombi ya sh elfu 30 kwa waombaji wa mikopo kwenye bodi ya mikopo ya wanafunzi. Bodi hii inagaramiwa na serikali hivyo haihitaji kuwakamua wanafunzi hawa...
Ndugu zangu wana jf salaam,
nimekuwa nikimfikiria sana huyu bwana mkubwa katibu wa ccm luteni mstaafu yusufu makamba kwamba mambo anayoyafanya ndani ya chama akishirikiana na mwenyekiti wake mh...
HEKIMA itumike katika uamuzi wa mawaziri, mambo nyeti yazungumzwe katika Baraza la Mawaziri na wajiwekee utaratibu wa kufuatilia uamuzi wao Serikali inapoonekana kuyumba, wanaotaka nchi...
Jamani, Tanzania hatuna tena sauti ya kutetea wanaokandamizwa? Yaani tumepoteza kabisa hata msimamo wetu wa "kila binadamu anastahili haki ya kuthaminiwa na kutambuliwa utu wake"?
Leo hii...
Salaam!
Ninapoangalia kina,uzito na uhatari wa kile kinachoendelea huko Japan kufuatia tetemeko kubwa la ardhi ambalo lilifuatiwa na Tsunami ninajikuta napata pendekezo linalohitaji ujasiri wa...
WAZIRI Kivuli wa Ujenzi Salvatory Machemli (Chadema), amepiga marufuku uchimbaji wa madini ya almasi katika eneo la shule ya msingi na zahanati ya Maganzo, kata ya Songwa, wilaya ya Kishapu...
SIXTY-seven houses need to be completely rebuilt after destruction by bombs that exploded at Gongo la Mboto military camp in Dar es Salaam, last month.
A team appointed to evaluate the damage...
Q:Do we have a price regulatory board in Tanzania?If not;Can we have it in a economy which is not socialistic?
Swali:Tuna bodi ya kufuatilia bei za bidhaa Tanzania?Kama hapana;Tunaweza kuwa...
Ni jambo la kawaida kwa mgonjwa wa akili kukataa kata kata kuwa yu mgonjwa na badala yake huwaona wanaomsaidia kuwa ndiyo vichaa.Tanzania ya leo haina tofauti na kichaa huyu na inapaswa kupatiwa...
Singida ni miongoni mwa mikoa maskini kabisa nchini Tanzania! Muda mwingi utawakuta watu wake wamevaa mavazi ya CCM si kwamba ni wafuasi la hasha! ni ugumu wa maisha kiasi cha kushindwa kununua...
Ndugu
mtakumbuka kuwa niliahidi kuwajulisha kuhusu sakata hili la mkataba kuvunjwa
Ni kweli kuwa mkataba wa soko kukusanya ushuru na kufanya usafi kwenye soko la kilombero,ulivunjwa rasmi,baada...
WanaJF, hebu tutafakari uhusiano wa maamuzi ya serikali ya Nyerere ya kuhamia Dodoma na Tsunami, je endapo kama Tanzania itakubwa na Tsunami je IKULU yetu iliyokaribu sana na bahari itapona??? na...
Wengi tumeiona ripoti ya Mwakyembe, na wengi tumeyasikia kwa kirefu sana masuala ya Dowans na Richmond. Lakini chini ya kiapo (under oath) wakurugenzi wa Dowans Bw. Munayi na Picard walisema mambo...
Hii ni sehemu ya Watanzania waliokuwa Coco beach kwenye onyesho la bahatika na Tigo
Source: Michuzi
Swali langu: Huu umati wote unafuata burudani ya bure, bahati nasibu au ndiyo kukosa la...
Jamani napendekeza JK aandikwe kwenye kile kitabu cha watu walofanya/au kutenda mambo maalum kwa kuwa Kiongozi wa Kwanza Duniani kutojua chanzo cha umaskini wa nchi anayoingoza ilhali yeye ni...
Majirani wafuatao walikuwa hawapikiki kwenye chungu kimoja
1. C. D. Msuya vs C. Y. Mgonja [RIP]
2. C. D. Msuya vs A.L. Mrema
3. Membe vs Muthihiri
3. Rostam vs Sitta
Naombeni msaada maana...
wadau wa jf naamini kuna wasomi wazuri humu please naomba mnidadavulie maana ya ukomunisti 2.Nchi zinazoongozwa kikomunisti ni zipi.
3.faida na hasara za ukomunisti
Nawasilisha
wakati nyingine ukiwasikiliza viongozi wetu hawa hasa mawaziri
inasikitisha sana hivi wanaongea kwanza ndio wanafikilia au wanaongea ili sisi wananchi tufikilie
kwa mfano huyo membe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.