Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mrema aungwe mkono kukomesha halmashauri zilizokubuhu ubadhirifu Na Mhariri (Nipashe) Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Augustine Mrema(mbunge wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndg wanachama wenzangu mimi kwa upeo wangu mdogo sijaona kama ni jambo la busara sana kumkashfu kashfu mheshimiwa rais na kumpa majina ya kejeli kama mkwere n.k.Jambo hili halipendezi kimaadili...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimesema kitamshita waziri wa maendeleo ya jamii sophia simba kutokana na waziri huyo kudai kwamba CDM wanafadhiliwa na baadhi ya balozi ili kuleta...
0 Reactions
85 Replies
8K Views
WANANCHI wametakiwa kutobabaishwa na kauli zinazotolewa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokana na chama hicho kutokuwa na nguvu ya umma, na badala yake wajikite zaidi...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Napendekeza mishahara na marupurupu ya wabunge viangaliwe upya kwani vinatengeneza tofauti kubwa kati ya wabunge na wananchi wanaowakilishwa. Usibishe. Tunawaona wabunge wanavyotesa mitaani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uingereza kuna waziri wa elimu alilazimishwa kujiuzuru baada ya kugundulika kuwa watoto wake wote walikuwa wanasoma shule za binafsi huku yeye akiliambia taifa kuwa hali ya elimu kwenye shule za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tundu Lissu aibuka kidedea katika kesi iliyokua inamkabiri juu ya kuwekewa pingamizi ya uhalali wake kuwepo mjengoni kama Mbunge kutokana na ushindi alioupata kwenye uchaguzi wa Oktoba 31, 2010...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Hali hii ina sikitisha hamna utaratibu maalumu wa kuongea na wananchi, mada ni moja lakini kila waziri anaropoka anachofikiri ni sahihi. mfano waziri Membe kazungumza lake kuhusu Chama fulani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kutokana na babu wa Loliondo kuwa mashuhuri katika dawa aliyoiota,nimeanza kuamini kuwa miti shamba hutibu. Ktk mkoa wa kagera,wilaya ya Muleba karibu na Rubya kuna mzee mmoja ambaye baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Safari hii CCM wamenasa pabaya, wanajaribu bila mafanikio kuziba sauti zinazowaonyesha rangi zao halisi. Mwanzoni tuliambiwa CHADEMA ni chama cha Wachaga, wakashangaa kuona inaungwa mkono zaidi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Spika wa Bunge, Anne Makinda Spika wa Bunge, Anne Makinda, ametabiri kuwa mkutano ujao wa Bunge utakuwa moto kuliko uliopita na ameapa kwamba hatakipendelea Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/117548-aman-thani-fairooz-ukweki-ni-huu-mavamizi-ya-zanzibar-64-a.html
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kama ikiwa huyo Mzee wa Umasaaini huko Lolindo ni Mganga wa EL na kuwa kila atakaye kunywa hayo maji yake 2015 huta mwambia lolote juu ya EL, basi tumeliwa tena tuhesabu 2025. Napata mashaka...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Serikali leo inaanza mchakato wa kubadilisha Sheria ya Manunuzi ya Umma, ili kuruhusu mazingira ya kununua bidhaa au mitambo iliyotumika, Mwananchi limebaini. Yale yale ya neno 'Rasmi'...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku iliyofuatia mkutano wa hadhara wa waziri mkuu hapa Bukoba mjini, nyumba nyingi maalum hapa mjini, ziliwekwa alama ya "X" kuashiria ya kwamba nyumba hizo zitavunjwa kwakuwa ziko kwenye hifadhi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF toka maandamano ya CDM yaanze kumekuwepo na vipindi maalum kwenye TV hapa kwetu wakiwahoji viongozi mbalimbali wa CCM na serikari kuhusu maandamano na wameutumia muda huo zaidi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Serikali leo inaanza mchakato wa kubadilisha sheria ya ununuyi ya umma,ili kuruhusu mazingira ya kununua bidhaa au mitambo iliotumika . Kwa sheria ya 2004, serikali hairuhusiwi kununua bidhaa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chadema yawashukia Membe, Simba Monday, 14 March 2011 Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika Chadema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna mbinu mpya ya kuchakachua habari inayotumika na sisiem na serikali ya yake kuwateka wasomaji na watafutaji wa habari wanachofanya ni kuchanga habari furani zitakazo kuvutia lakini...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom