habari,
Katika hali ya kustuka au kusasambuka basi Sophia Simba yupo katika wakati mgumu kimaisha hivi sasa... Akiwa anapiga simu kwa kila mtu na kuanza kuweweseka baada ya CHADEMA kumpiga biti...
Home
World News
Middle East
Europe
Canada
Australia
Asia
America
Wikileaks
Travel
Events
African Safaris
African Maps
African Greetings
Africa Countries
Sports
Soccer
Other Sports...
Muheshimiwa waziri wa mali asili na utalii ndugu Ezekiel Maige huu ni ushauri wangu na maoni yangu toka moyoni mwangu, Kutokana na kupewa sekta hii nyeti nchini kwetu nachukua nafasi hii...
Nimebahatika kufika jijini Dar,ila cha ajabu hata kama unaenda sehemu ya karibu utachukua Muda mrefu sana.Kama hakutakua na jitihada za makusudi baada ya miaka 5 Dar hakutapitika kabisa.Kumetokea...
14 March 2011
BARAZA la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shinyanga Mjini, limemshukia Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibroad Slaa kwa madai kuwa anaudanganya umma wa Watanzania.
Pia...
Sijui hawa mawaziri wanasumbuliwa na nini?
Ninavyojua, serikali hata iwe ya kifisadi namna gani, mawaziri huendelea kuwajibika kwa pamoja hata kama wanatofautiana vyama.
Leo hii unawasikia...
Wakuu wa Wilaya.......
Wakuu wa Wilaya Bi Ernest Kahindi wa Biharamulo(kushoto) na Angelina Mabula wa Muleba wakituma ujumbe wa siku kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba wakati wakisubiri Kuagana...
hii itaepusha kuwa na Rais mwenye njaa anayeigeuza Ikulu yetu kuwa pango la walanguzi wa kihindi na kiarabu.
vinginevyo chadema tutachukua nchi soon.
nawasilisha.
Nawashangaa hawa uvccm wanaotaka kuandamana kuunga mkono hotuba ya rais. Kwani rais aliongea lipi la maana. Ina maana hawa ccm wanaishi maisha mazuri, hawana maisha magumu kama wananchi wengine...
Baada ya kupata habari kuwa KVT watakuwa na maandamano kuanzia Mnazi mmoja na kuishia Manzese Bharesa, nilijaribu kuongea na baadhi ya machinga pale Manzese hasa kwenye soko maarufu la Big Brother...
Mimi jana kaitembelea mkahawa maarufu jijini Dar.Wenzangu sikuamini yale niliyoyaona.
Hapa Kwetu kuna wenzetu wanaolipa Dola Mia Tatu Hamsini usiku moja katika jumba cha Kulala....Maskini...
Angalizo: maelezo hapa chini yanawahusu wanaofanya vitendo hivyo.
ingependeza kwa wana JF wanapojadili mambo ya kisiasa hasa katika hiki kipindi nchi inakabiliwa na changamoto nyingi...
CHADEMA walipofungua mkutano wao wa kampeni za uchaguzi 2010 pale Jangwani, walitamka kinaga ubaga kuwa wakwapuaji wakubwa wa pesa za Taifa ili kupitia "Benki yetu ya kati" ni Jakaya Kikwete...
The Afro-Shirazi Party members at the Communist Youth Congress in Russia in 1957
Posted Monday, March 14 2011
Over bottles of Tusker beer and too many cigarettes (he smokes L&Ms, which he...
Mpaka ninakwenda mitamboni, nimegundua kuwa Babu wa loliondo ndani ya kama mwezi tu, amekuwa na msaada mkubwa kwa watanzania kuliko Kikwete katika miaka yake takribani 6 ya uraisi. Yaani mkwere...
Waziri wa Vijana na michezo wa Rwanda alijiuzuru kwa sababu ya kashfa za ngono! Tanzania Viongozi wameota mapembe!!
Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi.
Rwanda photo scandal Minister resigns |...
Monday, 14 March 2011 20:10
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema mapendekezo ya ufumbuzi wa mgogoro wa wawekezaji wa ranchi za Misenyi na wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.