Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Huko nyuma wakati wa uongozi wa Mwl. Nyerere watu wote tuliitana ‘ndugu’; raisi aliitwa ndugu raisi, Spika – ndugu spika, mbunge – ndugu mbunge, waziri – ndugu waziri na watu wasiokuwa na cheo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BRIGEDIA Jenerali mstaafu Hashim Mbita ameionya serikali kama hakutakuwa na majadiliano baina yake na wananchi uwezekano wa kuvunjika kwa amani ni mkubwa. Mbita alitoa onyo hilo jana jijini Dar...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau mtakumbuka awamu ya kwanza Jk alipoukwaa urais alianza kutembelea wizara mbali mbali akifuatana na wapambe kibao, huku vyombo vya habari na wananchi wakitoa sifa kemkem kuwa sasa Tz imepata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninatafakari na kuona ccm ikitumia kila mbinu kununua wananchi na pesa za raia. Kipindi hiki wananchi hawanunuliki na wanataka ccm muondoke. Hongera kubwa Chadema na wananchi wote wanaokataa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tuesday, 15 March 2011 23:33 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda KITENDAWILI cha wakuu wapya wa wilaya kitateguliwa Mei mwaka huu wakati wilaya na mikoa mipya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mh Mrema ambaye ni mbunge wa Vunjo amesema ktk serikali ya JK watu waliomo ktk serikali za mitaa ni wezi kwa kuiba fedha za maendeleo ya jamii bila ata huruma wanazila. MY TAKE; Kama hali ndo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MBUNGE wa CDM jimbo la Mbozi Magharibi, David Silinde ameahidi kuwasomesha wanafunzi watakaopata daraja la kwanza katika mtihan wa kidato cha nne kuingia cha tano kwa kutumia mfuko wa jimbo ili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilitarajia ziara ya siku tisa ya pm wetu izae matunda, lakini hali imebaki vilevile, 1.Ranch ya misenyi,yenye mgogoro mkubwa Pm ameshindwa au hajataka kuumaliza 2.Umaskini wa wananch naye eti...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikuwa mmoja kati ya watu waliohudhuria onyesho la Joseph Mbilinyi (MB) pale Club Bilicanas baada ya Bunge la Februari. Kwa wale mliokuwepo nadhani mnakumbuka matusi aliyokuwa anayatoa Joseph...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Source live on TBC1, Waziri Wasira nasema kuwa maandamano yanayofanywa na CHADEMA yanahamasisha vurugu kwa kauli zao, huku akisema kuwa Nguvu ya umma anayoijua yeye ni ya kwenye sanduku la kura.
0 Reactions
214 Replies
17K Views
Juzi nikiwa nimetulia nyumban sebureni huku nikitaza tv kwa lengo la kujiburudisha, dogo akaweka Citizen tv ya kenya, kwa wale wapenz wa project fame kwenu si tatizo kuitambua, pindi nashangaa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Leo nimemkumbuka mzee wangu phares kabuye kwa kauli zake zilizokuwa nzito lakini anawasilisha kwa njia ya utani kwa mfano: Ufisadi na rushwa vilianzia kwa wakubwa na ailsema hivi "...hapo zamani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MBUNGE wa zamani wa Musoma Mjini, Vedastus Manyinyi, ameahidi kuwalipia nauli ya kwenda na kurudi Loliondo wakazi 130 wa mjini Musoma ili wakapate tiba. Amesema hayo wakati akihutubia mamia ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MAMIA ya wakazi wa mji wa Moshi wamejitokeza kwenye ofisi ya Mbunge wa jimbo hilo, Philemon Ndesamburo (CHADEMA) kujiorodhesha majina kwa ajili ya safari ya kuelekea kwa Mchungaji Ambilikile...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi wa Tamasha la Pasaka litakalofanyika Aprili 24 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Stories of cruelty and suffering abound here, and still strike at the conscience Slaves were shipped in dhows to Stone Town in Zanzibar, packed in so tightly that many fell ill and died...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
...Kwa msaada wa Mwenyezi Mungu, na imani mliyonayo juu yetu, tunapata, na tutazidi kupata nguvu za kuendesha serikali yenu. Lakini tunawaomba msisahau, na mara nyingi sana, nimekukumbusheni jambo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
wafuasi wa chama cha chadema ndani ya jf wameanza kutapatapa na kutafuta pa kujificha kutokana na hoja nzito zinazotolewa na watu ambao si wana chadema! hali hii imesababisha watu hao ambao wako...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), profesa Ibrahim Lipumba, amemshambulia Rais Jakaya Kikwete kuwa hajali matatizo ya wananchi pindi yanapojitokeza mazito ya Kitaifa. Akihutubia mkutano wa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Sorry; Due to network prlm Topic Closed
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom