Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Yaani nikisoma Mwanahalisi au Raia Mwema, napata uchungu sana. Inasikitisha na kushangaza jinsi hii serikali ya CCM ilivyo. Tanzania inaelekeo sipo. Nimesoma Mwanahalisi na Raia Mwema...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Wednesday, 16 March 2011 19:49 RAIS Jakaya Kikwete ameingilia kati bei ya bidhaa kupanda nchini, hivyo kuiagiza Wizara ya Fedha na Uchumi kupunguza mfumuko wa bei. Amesema ikiwezekana, wizara...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii imetoke huko kahama katika kituo kimoja cha polisi baada ya watuhumiwa wa ujambazi kumpora polisi silaha na kuuwa askari wawili kituon. Chanzo Tbc habari.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Rosemary Mwakitwange amewasihi wanawake kushiriki maandamano ya amani kwa kuwa katiba inaruhusu. Amewaomba wanawake kushiriki katika siasa kwa kuwa maamuzi ya kisiasa yana yanagusa nyanja zote za...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
tazama wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 2011 hapa www.moe.go.tz
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Kumbe jeshi la polisi kuzuia maandamano walijua serikali itaumbuka, na sio folen. Kwenye huu mkutano wao wa amani uliofanyika leo manzese watu waliohudhuria ni wachache sana, pamoja na kuwepo kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wachumi tusaidieni kutafakari hizi takwimu: Mnamo mwaka 1998 - uzalishaji wa madini Tanzania ulikuwa chini ya tani 1 na mchango wake ktk pata la taifa ulikuwa ni 2%; na mara baada ya kupokea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sunday, 27 February 2011 21:04 0diggsdigg Katibu mkuu wa Chadema,Dk Wilbroad Slaa Anthony Mayunga, Bunda na Frederick Katulanda, Butiama ALIYEKUWA mgombea ubunge wa ubunge kwa tiketi ya Chadema...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Mashirika haya NSSF, PPF, PSPF na mengine yenye muundo kama huo yanatakiwa kulindwa kwa nguvu zote hata kama ni kwa maandamano kuanzia sasa ili kuepusha ukwapuaji wa pesa ambao uko mbioni kufanywa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
lakini kabla hatujafanya hivyo kwanza hebu tufanye valuation wao wanatusaidia vipi I can only imagine publicity itakayo generate how people from the poorest country in the world are helping one...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Akifanya ziara Wizara ya Fedha na Uchumi pamoja na vitengo vyake. Rais asiyekubalika ameagiza wazee wa iliyokuwa EAC walipwe madai yao haraka huku akicheka kama kawaida yake, ulikuwa wapi muda...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Wadau: Habari hii inasikitisha sana -- kuona jinsi serikali/Tanesco ilivyoridhia malipo ya mabilioni kwa mawakili kwa kazi isiyokuwa na tija. Wakiambiwa kwamba huko ni kuzidi kudidimiza hali za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Yale Maandamano yaliyokuwa yafanyike leo kuunga mkono Hotuba ya JK yamezuiwa na Polisi kwa madai kuwa yatasababisha msongamano kwenye barabara watakazopita. Nauliza: Polisi/CCM wameshtukia...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Kenyans are more optimistic about life than their counterparts in the East African Community, a new survey shows. Nationals of the region’s largest economy are satisfied with life, feel useful...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Kuna kila dalili kuwa, iwapo Rais JK ataendeleza Utawala Bora, Uwazi, Uwajibikaji na Haki kwa kila mtu, anaweza kutunukiwa tuzo mashuhuri ya MO IBRAHIM. Hii itakuwa ni heshma kubwa kwa Tanzania...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Kwanini hii nchi inaendeshwa na matukio kiasi hiki? hivi tatizo hasa hapa ni nini? kwani tu wepesi sana kusahau na kuingia mkenga kusko yaani siasa ni kila kona na kila mtu amefuzu mbwembwe kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimesoma hapa kwamba Mkubwa amekutana na baraza lake leo asubuhi,Lakini wanachojadili bado kujulikana Nafikiri lie suala la bomoa bomoa la kumpiga stop magufuli litakuwepo.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF, Mtakumbuka jinsi agizo kwa TPDC kupitia bunge kuagiza mafuta - ''bulk Purchase of petroleum Products'' likisimamiwa na mkuu wa kaya. Agizo hili lilizimwa kimtindo kwa maslahi binafsi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesikitishwa na kauli kinazodai ni propaganda za CCM kuwa kinatumia fedha kuwalipa wananchi kuandamana. Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari za Babu wa Loliondo nazipata kupitia vyombo vya habari. Sijawahi kuzungumza ana kwa ana na mtu aliyetoka "kwa Babu". Mrema na Chatanda wametoa ushuhuda wao kwenye TV; na wengine wengi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom