Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimewasikilia na kuwaangalia wanaojiita wapenda amani. Nimegundua kumbe ni watu wwachache tu ndio wanaopenda ufisadi wa CCM. Nawashauri CDM wasiwajibu hao vibaraka ila wao iwe "Chadema mwendo...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Im sure wakijiandaa na hii so called wiki ya maji watakuwa na bajeti si chini ya milioni 50. Maana itabadidi watengezemabango, Tshirts , per diems, mafuta ya gari,vipindi vya redio kutuambia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huwa najiuliza ni kwanini viongozi wa nchi za Kiarabu pamoja na Mataifa makubwa kama China hupenda kutumia Lugha zao hata wanapoalikwa kwenye mikutano mikubwa ya Kimataifa, huwa kuna mkalimani...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
yale maandamano ya chadema sasa yameanza kutoa matunda baada ya Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya M Kikwete kuagiza msamaha wa kodi katika bidhaa mbalimbali utolewe lengo likiwa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mbowe na dr. Slaa wameelekea liberia kuhudhuria mkutano mkuu wa vyama vya siasa africa unaofanyikia Liberia. ============= UPDATE from IPP Viongozi wa kitaifa wa Chama Cha Demokrasia na...
0 Reactions
80 Replies
10K Views
GM: We have about 5,500 tonnes for which we are eagerly awaiting buyers Kagera Sugar Company Limited Agricultural Services Manager Chris Davis (R) speaks to National Social Security Fund...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
CNN-- Industrialized countries have been enabling corruption in Africa by providing crooked officials with a haven for their money, according to Nobel economics laureate Joseph Stiglitz. The...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Habari za uhakika kutoka Wizara husika ya Maji zinasema JK ameogopa kwenda Mwanza kuwa mgeni rasmi kilele cha wiki ya Maji tarehe 22. Badala yake wakapendekeza awakilishwe na Makamu wa Raisi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
GREAT THINKERS, Leteni maswali na hoja zenu. Kama mkileta na supporting evidence nadhani tutakuwa tuko mstari sambamba. Mods na Admin naomba muwe ma referees pale ambapo matusi yatakapoanza
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Kuna mtu yoyote alifanikiwa kuona episode titled American Dreams kutoka kwenye show ya Harry's Law (NBC-USA) iliyokuwa inazungumzia mauji ya albinos hapa Tanzania? Since walimweka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ingawa maelezo nayoweza kutoa hapa si ya kisiasa namin yatasaidia wanasina na watendaji wengine ktika kufanya siasa, kazi na maamuzi sahihi. Tujiulize swali Tofauti ya data , inforamation...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya sasa, Gaddafi akishindwa miradi flani bongo itadorora! By Daniel Msangya The Citizen Correspondent Embattled Libyan leader Muammar Gaddafi may be viewed as a villain worldwide today, but...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MJUMBE wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Hussein Bashe amesema kuwa taifa linahitaji kuombewa na viongozi wa dini kwa madai kuwa kuna pepo mbaya anayelisumbua...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Baraza la vijana mkoa wa Arusha (BAVICHA) Tel 0784 834152 bavichaarusha@gmail.com TAMKO LA BAVICHA KULAANI MATUMIZI MABAYA YA OFISI YA MSAJILI Ndugu wanahabari, Katika siku za karibuni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), Zitto Kabwe, ameitaka serikali ichukue maamuzi ya haraka ya kulinusuru taifa na tatizo la umeme nchini, kwani uzoefu unaonyesha...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Sisi Watanzania na mimi nikiwa mmojawapo hatuichukii CCM kama CCM bali matendo ya wengi wenu angalau wangekuwa waovu wachache mmekuwa wengi mno. Mmeshashindwa kuongoza nchi na sasa hata kusimamia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It is a plea, kama kuna mtu yeyote mwenye data kamili za kura za urais alizopata Lipumba toka aanze kugombea mwaka 1995 anisaidie, natanguliza shukrani, ninachojua matokeo ya mwaka jana 2010...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Kwa Jinsi mambo yaliyotekea jana kwenye TV ya Taifa inayoongozwa na Mafisadi Papa kuudanganya Umma kwa kupitia Station hiyo. Jana kulikuwa na Makamu mwenyetiki wa kamati ya Nishati ya Bunge kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Most famous traitors of all time 14 items ranked List of the most famous world wide traitors. 1.Mrema Lyatonga(tlp) 2.Lipumba Ibrahim(cuf) 3.Mbatia James (nccr) 4.Cheyo John (udp)...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MH VICK KAMATA MBUNGE WA CCM na wakala wa mafisadi tunayemfahamu fika, katumwa kuimba, na kaimba na tumemsikia, kwa sura anavutia lakini hatumpendi kwa kuwa ni wakala wa mafisadi. VICK kaimba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom