Kikwete acharuka, amtaka Ngeleja awe makini
Imeandikwa na Oscar Mbuza; Tarehe: 18th March 2011 @
RAIS Jakaya Kikwete amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kuwa makini na utatuzi...
Mgeja ambaye ni mwenyekiti wa ccm amesema chama hicho hakina ubia na watendaji wala rushwa na wabadhirifu.
'CCM haijawatuma watendaji wezi na wabadhilifu wala rushwa' anasema Mgeja muda huu...
waziri wa afya alipompiga ban babu wa loliondo
alisema kuna matatizo mengi ikiwemo dawa kuthibitishwa
wataalamu walitumwa kutoka wizara ya afya makao makuu
kwenye loliondo, japo kuliakua hakuna...
Since last month, the China Machinery & Equipment Company (CMEC) has been carrying out a study on a project for a 300 MW power plant that would be supplied by gas from the Mnazi Bay field operated...
Wakuu, waziri wa fedha na uchumi Mustafa Mkullo, amekiri kuwa uchumi wa Tz utaanza kuporomoka mwenz ujao... na kwamba kufikia mwishon mwa mwaka huu eti utaimarika, alikuwa akizungomza na watalaam...
* Kwa nini isiwe John Kony au Intarahamwe?
Jambo ambalo pengine lilitarajiwa ni kuwa kwa msomi kama Dr. Harrison Mwakyembe, hata kama ni porojo au usanii, basi angalau ungekuwa wenye...
Naomba kuelewesha hapa, kati ya katibu mkuu wa wizara na waziri, ni nani msemaje wa wizara? Hii itanisaidia mimi na wengine wasioelewa kama mimi, kuweza kutofautisha kati ya katibu mkuu na waziri...
WanaJF,
Kwa wale ambao wamebahatika kuwafahamu Dr. Lwaitama, Prof. Shivji na hayati Prof. Chachage (mwanazuoni aliyebobea aliyeandika Makuwadi wa Soko Huria na maandiko mengine mengi)...
Na Richard Makore
26th February 2011
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema kuna baadhi ya Watanzania wanaohitaji kuwepo kwa serikali ya Tanganyika badala ya ile ya Jamhuri ya...
Nimesoma gazeti la Jamboleo, likieleza kuwa UVCCM inakusudia kumng'oa mtoto wa mkwere kufuatia kuwa chanzo cha jumuiya hiyo kushindwa kufanikisha malengo yake. Kama Dot Connector inaonyesha...
WANANCHI wa kijiji cha Pande B katika mkoani Tanga jana walimzuia kwenye mvua mbunge wa viti maalum mkoa wa Tanga, Amina Mohamed Mwidau (CUF), wakitaka kujua sababu ya uongozi wa halmashauri hiyo...
Wana JF naomba kujuzwa kama Mh. Raisi ametembelea au la? Na je kutembelea kwake kutaweza kutoa fununu zozote za utata/tetesi za kujiuzulu kwa Mh. Dr. Magufuri?!
If not, this is another source...
Je ungali unazikumbuka scandal hizi ambazo zimetokea ndani ya taifa letu, tafadhali ongezea kadri unavyokumbuka:
RichMonduli - ilikuwa inakomba Shs 152ml kwa siku
Deepgreen
Meremeta
Kagoda...
Wajameni, naombeni kuuliza, katika nchi zilizoendelea, wanavyo vitengo maalum vinavyojitegemea vinavyohusu masuala ya money laundering, kukwepa kodi, piracy kama hii ya wasomali iliyoteka watz...
18 March 2011
Julius Nyerere was among 'the most articulate, intense and militant' of the first generation of African nationalists. Issa Shivji traces the development of a Pan-Africanist...
16 March 2011
Dar es Salaam The United States helped to investigate allegations and prepare corruption charges against a former Bank of Tanzania director of personnel and administration...
TATIZO KUBWA LA WATANZANIA NI KUTOJITAMBUA, TUNAKWENDA NA WIMBO ULIOPO NA SI UHALISIA WA MATATIZO YETU NA JINSI ZA KUYAFUMBUA! TUNAKARIRI HARAKA KILA WIMBO MPYA BILA KUTAMBUA ALA ZAKE...
Kwa mfano kodi na mrahaba serikali ya CCM inayokusanya kutoka kwa uwekezaji haswa wa mali asili zetu, inawafadishaje watanzania?
Nasisitizia vitu ambavyo vinaweza kutumika hapa Tanzania kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.