21 March 2011
Nairobi The Northern Ireland-based construction and civil engineering company Castletown Enterprises has expressed interest in constructing a new pipeline to transport natural...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
(CHADEMA)
Taarifa kwa Umma kuhusu maamuzi ya Mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA
Kilichofanyika Markham Hotel, Dar-Es-Salaam 19 Machi, 2011:
A...
KUNA BANGO LINASOMEKA BORA UKIMWI KULIKO CCM , JE CHADEMA NDIYO WAMEANDAA MABANGO AU HIZO NI HISIA KALI ZA VIJANA WALIO NA NJAA ACHA WALE WALIOPEWA 50000/ JNA ZA LUNCH KILA MMOJA? NAO HAO NI...
"Off side trick" ni mojawapo ya mbinu za mchezo inayotumika kuichosha timu pinzani hasa inapotokea kuwa na nguvu kuliko timu inayocheza nayo.
Mbinu hiyo ya ‘off side' ambayo hutumika kwenye...
Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini watu wa protokali pale IKULU wazunguka na Kiti cha raisi wetu mpendwa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete,Je kinamiujiza gani ya kiulinzi,jee anamatatizo gani ambapo hawezi...
WIKI hii kuliibuka jambo ambalo liliwashtua watu ambalo ni taarifa za kujiuzulu kwa Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, kwa kile kilichodaiwa kuwa ameamu kuchukua hatua hiyo kutokana na kitendo cha...
Nimeona hii kwenye Guardian la leo nikashangaa kidogo kuon hawa Polisi wa kihindi
Members of the Bohra Community in Tanzania take part in a procession to mark the 100th birthday anniversary of...
By Tom Mosoba and Florence Mugarula
Dar es Salaam. President Jakaya Kikwete personally intervened to help Chadema secure the chairmanship of at least one of the 17 parliamentary committees and...
-rais afukuza baraza la mawaziri
-balozi wa umoja wa mataifa aachia madaraka kupinga mauaji ya raia
Yemeni president fires government
BBC News - Yemeni president fires government
Yemeni...
Masikini Pombe Magufuli, amejicharacterise kama mtu maarufu na anayeweza kuwa mtendaji mzuri tu wa serikali.
Katika kufikiri hivyo Pombe Magufuli alifanya makosa makubwa ya kujikweza katika...
Nimekuwa mpenzi wa muda mrefu wa Chadema ila si mwanachama, napenda sasa niwe mwanachama na ikiwezekana nifungue tawi la Chadema mahali ninapoishi, nipo DAR ES SALAAM.
Ahsanteni.
Wakuu heshima kwenu,
Kuna taarifa uthibitisho wa hoja 10 zilizowasilishwa Bungeni na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema za kuthibitisha uongo wa Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda...
Ndugu zangu,
Nimeipata kwenye news summary ya gazeti la The Guardian la kesho tarehe 21 Machi 2011.
Hiyo ni changamoto kubwa kwa kikwete na serikali yake. Mswahili ni mswahili tu. Wao...
Chadema kuaandamana Jiji la Mbeya
Geofrey Nyangoro na Ellias Msuya
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitaendelea na ratiba zake za maandamano na hivi sasa yataanzia...
Mrema yupo Channel ten na anaanza kumwaga takwimu.Haya tufuatilie jamani!!!!!!!!!
Kikwete anapeleka pesa nyingi sana halmashauri lakini inaelekea kuna mtandao wa kulindana
SOURCE: Michuzi
To understand the intricacies of life for ordinary Tanzanians, and how they live on social edge, is as complex as paradigm shift of humanity itself. Millions of Tanzanians are...
NAIROBI // The north and west African states of Nigeria, Angola, Algeria and Libya have long enjoyed the benefits of being the continent's biggest oil producers. But in recent years, oil companies...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, amewataka viongozi wa serikali na wananchi kufuata nyayo za Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa kumiliki ardhi ndogo na kuiendeleza na si kujilimbikizia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.