Local NewsKikwete thanks Gadaffi for Dodoma 6bn/- mosque
From NASONGELYA KILYINGA in Dodoma, 16th July 2010 @ 12:00, Total Comments: 1, Hits: 813
PRESIDENT Jakaya Kikwete has praised...
Gazeti la The Citizen limeripoti kwamba JK aliingilia kati mchakato wa Bunge wakati lilipokuwa linachagua wenyeviti wa Kamati za kudumu za Mahesabu (parliamentary Oversight Committees) kwa...
HOJA HII INATOKANA NA KAULI ZA VIONGOZI WA VYAMA HUSIKA
Katika hali ya kawaida chama cha upinzani nia yake kubwa ni kuonyesha mapungufu ya chama kinachotawala kwa jamii ili waweze kuwaondoa na...
Ndugu zangu,
Mojawapo ya udhaifu wa kiongozi wetu wa sasa ni kitu tunachoita ulimbukeni. Kwa wasio wachunguzi wa mambo ni vigumu kuamini nachosema. Lakini rais wetu ni limbukeni tena haswa...
The fight for the freedom,is for the right to think,we fight against dictators,as they do not want us to think on ourselves.We fought for indepence Because we want as human being to think and run...
CHAMA chochote cha kisiasa, au shughuli nyingine kama ilivyo kwa kundi lolote la binadamu, liwe kubwa au dogo likishakaa pamoja kwa muda mrefu na kuzoeana kupita kiasi hujisahau na kujikuta...
Wana JF
Napenda kutoa angalizo kwa Watanzania kuwa tusipokuwa makini watoto wa Viongozi wa sasa watalipeleka Taifa hili kuzimu. Imekuwa nia nitabia sasa kwa watoto wa viongozi wasasa kujiingiza...
Hii si sandakalawe ambapo "mwenye kupata apate mwenye kukosa akose"; si sandakalawe kwa sababu yule mwenye kupata atakuwa anashikilia hatima yale waliokosa. Kwamba si sandakalawe kwamba tunacheza...
Nimekuwa Znz kwa muda sasa. Nimekuwa nakaa vijiwe vya CCM (maskani) na CUF. Nilichogundua ni kuwa Wa Znz wapo kitu kimoja kuhusiana na maslahi yao. Wanapiga sana vita muungano kwa madai kuwa...
Kuna swali limekuwa lina niumiza kichwa kidogo japo si sana. Hivi karibuni kumeibuka tena mijadala kuhusu muungano, Zanzibar na mustakabali wa taifa letu.
Katika kupitia majibu kwa ju juu (siyo...
Nafikiri watu wengi hapa mnakumbuka vita vya Kagera. wengi walijua tulikuwa tunampiga nduli idi amini peke yake. ila kwa wale wanaokumbuka, Gadafi ndo aliyetuma majeshi toka Libya, ambayo tulikuja...
MJI wa Maswa jana uligeuka uwanja wa mapambano baina ya wananchi na polisi, huku risasi, mabomu ya machozi na mawe vikitumika kama silaha baina ya pande hizo.
Polisi walitumia risasi na mabomu...
KATIKA hali ya kuonyesha Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatapatapa baada ya kuanguka katika majimbo kadhaa nchini, viongozi wa chama hicho wameanza kutoa matusi dhidi ya viongozi wa Chama cha...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, alisema:
Labda nimwambie (Msajili wa Vyama vya Siasa, John) Tendwa kwamba...CHADEMA inafanya kazi kubwa ya kuwazuia wananchi kuingia mitaani kama...
Demonstrations, protests and debates
radical changes
freedom of information and expression in Tanzania
4th estate turning into the 5th column
manipulation of public opinions in Tanzania
How do you...
Ndugu Watanzania. Kwa uchungu sana nimeangalia hizi picha. Nikajiuliza, hivi kweli ni serikali yetu imetufikisha hapa ?. Je, haya ndiyo matunda ya miaka 50 ya Uhuru ?? Je, haya ndiyo mafanikio ya...
Lipumba: JK atamaliza urais vibaya
Burhani Yakub,Tanga
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema Rais Jakaya Kikwete atamaliza muda wake akiwa ameshindwa vibaya kusimamia shughuli za Taifa la...
Wana JF, nimeziangalia hizi picha nikapata huzuni kubwa sana! naomba mnijuze, hivi hawa wanaomchekea JK na kushikana nae mikono ni kweli wanampenda au unafiki na njaa zao vinawafanya wajipendekeze...
20 March 2011
How many are aware that the iconic founder of Tanzanian nationalism, Mwalimu Julius Nyerere (1922-99) resigned the Presidency in 1985? My colleague at the next workstation tells me...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.