Kwa wale waliopata kuangalia kipindi cha JE TUTAFIKA Channel ten kinachoongozwa na Mwanahabari, Kada mfu wa ccm ndugu Makwaiya wa Kuhenga nadhani hii habari sio ngeni kwao.. Kwa walemliopitwa basi...
Haya ni mawazo yangu binafsi na hayawakilishi mawazo ya chama changu wala mtu mwingine yeyote.
Suala la CHADEMA, CUF, NCCR, TLP NA UDP kurushiana shutuma mbalimbali limekuwa jambo la kawaida...
Jamani hivi hii nchi yetu imekosea wapi? Tuna kila sababu ya nchi yetu kuwa miongoni mwa nchi tajiri ukanda wa kusini wa jangwa la sahara. Kwanini? mito tunayo ya kutosha, maziwa,madini, bahari na...
na Grace Macha, Lushoto
HARAKATI za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) za kujiwekea ngome kwenye vyuo vya elimu hapa nchini zimezidi kushika kasi baada ya wanachuo wa Chuo Kikuu cha...
Kwa muda mrefu sasa,jiji la dar es salaam limekosa mkuu wa mkoa! Toka baraza la mawaziri litangazwe,ambapo Ndg. William Lukuvi aliyekuwa anashika nafasi hiyo alipoteuliwa kuwa waziri-ofisi ya...
Nilisikiliza jana maelezo ya JK kuhusu bomoabomoa nikweli hapa JK Umewagusa wengi kwani ubabe uliokuwa ukifanywa na Serikali juu ya Bomobomoa niwakutisha bila kujali wewe hicho kibanda umekipataje...
Siku zotenimekuwa kinyume na watu wengi ambao huwashangilia baadhi ya mawaziri a serkali ya CCM,AMBAO HUONEKANA KAMA VILE WANAFANYA KAZI VIZURI SAANA!
Hii yote huwa ni ghiliba tu kwa Wtanzania na...
Nimefikia hitimisho hili baada ya kutafakari yafuatayo:
Hii ni nchi pekee ambapo raia wake wamefikia hatua ya kuishi kwa kufuata upepo wa matukio(yawe ya kisiasa au kijamii)ili mradi...
MJADALA kuhusu hatma ya kampuni ya Meremeta iliyokuwa inamilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) sasa utarejeshwa tena bungeni katika kikao cha Bunge linaloanza Aprili mwaka huu mara...
Nilichoelewa mimi ni kuwa Muheshimiwa Rais hakumkataza waziri wa ujenzi kundelea na bomoabomoa ila amemtaka kuwa na utu wakati wa zoezi hilo, kuangalia historia ya maeneo yatakayokumbwa ya...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeiagiza sekretariat yake kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Waziri wa...
Why are we not pleased with the Government of Jakaya Kikwete and CCM at Large?
The test of a political accountability to all men and women is whether Laws and Polices are put into practice and...
21 March 2011
When her friend came looking for help, Asha Jaibu (not her real name) would have done what anyone else would do for a good old friend under the circumstances. The Form Four leaver...
21 March 2011
Moshi A poll petition in which defeated CCM candidate Justin Salakana is challenging the election of Moshi Urban legislator Philemon Ndesamburo (Chadema) has hit a snag after the...
Ikiwa leo ni kilele cha maadhimisho ya wiki ya maji, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) ameitaka serikali kutumia siku hiyo kutoa taarifa za kina kuhusu utatuzi wa kero ya maji kwa wananchi...
Kinachosikitisha sana ni pale ambapo mambo yanafanyika hovyo hovyo tu na watawala wanakaa kimya kama vile wanawaongoza vipofu au viziwi.Hata wanapotokea watu wakasema au kulalamika basi wao...
Wasalam wote. Naandika huu ujumbe nikiwa nimechoshwa na hali ilivyo tz. Hakuna anaejali zaidi ya kuropoka na kututisha! Huu uvumilivu wote ni wa nini na kwa faida ya nani. Haiwekani tuwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.