Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nawasalim WanaCUF, Bila kung'ata wala kumung'unya maneno ninyi ni wanafiki. Wanafiki sana. Kwa nini nawashutumu? Kwa sababu tabia ya unafiki haijifichi. Hata kama wengine wote hawaioni ila...
3 Reactions
68 Replies
6K Views
Wakuu habari? Hili ni ombi maalum kwa uongozi wote wa CHADEMA na wanamageuzi wote.Kama mnanisikia please njooni mtufungulie tawi huku chuoni vijana wana hamu ya kupata kadi za chama na kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mbunge wa Arusha Mjini Godbles Lema akihutubia wananchi mara baada ya kufungua tawi jipya la Chadema katika chuo kikuu ch Sebastiani Kolowa wilayani Lushoto jijini Tanga mwishoni mwa wiki...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF Nimetafakari kwa undani msemo unaosemwa na wengi kuwa tuwe makini na majini tunayowapa au kupewa na wazazi wetu kwani huwa yana madhara fulani. Mfano Jina Tabu-muhusika huwa ni mtu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanesco yatabiriwa kufilisika, kutokana na Makampuni makubwa kama Twiga Cement, TBL, TCC na mengine mengi kuamua kuanzisha miradi yao mikubwa ya umeme wa uhakika basi TANESCO huenda ikakosa mapato...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani hiki chama kinachefua! Sijui lini watajua wakati wa unafiki umekwisha na kwamba tatizo la wananchi wengi si mpasuko ndani ya chama chao isipokuwa hali ngumu ya maisha inayosababishwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa chama chochote cha siasa chenye umakini sehemu yoyote duniani kamwe hakiwezi kuogopa changamoto kutoka kwa vyama vingine vya upinzani ndani ya nchi, lkn kwa Tanzania imekuwa ni kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Siku za karibuni pengine na za usoni tumeshuhudia jk akiwa mkali kwa watendaji wake. Hapo nyuma hakuwa hivyo. Kuna uwezekano kabisa kuwa yale matatizo yaliyokuwa yakimuandama, Babu kayapatia...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Afghanistan War (October 7, 2001 to present) U.S. Casualties: 1098 deaths, 2379 wounded in action Iraq War (March 20, 2003 to August 19, 2010) U.S. Casualties: 4,404 deaths; 31,827 wounded...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nae ndani ya Kwababu....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ‎"He was the liberator,the nation builder,the Pan Africanist. He was the internationalist and he was the humanist."Quoting H.E. Jakaya Kikwete @,The...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mhesimiwa Dr.Slaa pamoja na uongozi mzima wa CDM, Sisi watanzania tunajua fika kuwa chama chenu kwa sasa kimebeba majukumu ambayo yalipaswa kutimizwa na chama tawala(CCM), lakini chama hicho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hoja ya Katiba Mpya Waziri anayehusika / Mwanasheria Mkuu wa Serikali - Nchi haiko tayari kwa sasa na hatuna uwezo, na isitoshe iliyopo inatosha tu kufanyiwa malekebisho Rais - Umefika wakati...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dr yupo Kg kwa siku kadhaa akiwa amekuja kutoa semina elekezi kwa madiwani wa cdm na meya. Amehutubia ktk mkutano mkubwa wa wakazi wa kigoma mjini. Jaman Dr ni kipenz cha wa tz. Kaongea mambo...
3 Reactions
71 Replies
8K Views
It's not surprising that the spotlight has fallen again on China's role in resource-rich Africa. Concerns have been evident recently among NGOs, the media and foreign governments, even before this...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanganyika kuvaa Joho la Tanzania. Takribani Wzanzibar wamekuwa Comfuse na kutokujitambuwa kuwa tuko katika Muungano or katika utawala wa kimabavu kwa jina la Muungano?. hivi sasa matatizo ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wabunge wetu kutoa rambirambi hii kwa ubalozi wa japani ni sahihi? Mbona hatujawaona wakitoa hata shilingi kwa wenzetu wa gongo la mboto? Mbona hatuwaoni wakiwasaidia wenzetu wanaokufa na njaa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Haka kanchi sasa kanaelekea kubaya. Ni juzi tu nimesikia Lyatonga Mrema ametunukiwa udokta na jamaa fulani kutoka Afrika Kusini. Sherehe ya kutunukiwa udokta ilihudhuriwa na Mrema mwenyewe na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika tukio lililovuta watu wengi DODOMA leo mchana maeneo ya Chang'ombe ni la viongozi wa TANROADS kumdanganya Mkurugenzi wa halmashauri ya Dodoma....watu hawa walipewa kazi ya kuamisha makaburi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CHAMA cha wananchi (CUF) sasa kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kuonyesha kwa vitendo kupinga kauli ya kichochezi za uvunjaji wa amani zinazotolewa na chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA ) na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom