Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waliigawa na kugawana Loliondo, kisha Serengeti, Ngorongoro,....then Selous baada ya Katavi lakini kabla ya Ruaha. Ni kwanini wagawane kwa kasi sana ktk kipindi hiki cha miaka 3. Kwanini...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hata ikiwekwa break hatudanganyiki chapa kazi kwa haki hata kipofu japo haoni anasikia.Tunatambua utendaji wako.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekwenda na kurudi Mtwara katika wiki moja iliyopita. Magufuli alikuwa sahihi katika kuhamasisha kuvunjwa nyumba zilizojengwa katika hifadhi ya jamii. Namuomba Mh.Pinda aende Mkuranga ajionee...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa tamko kikitaka serikali kuitisha uchaguzi wa Meya wa Manispaa ya Arusha ndani ya siku 21, vinginevyo nguvu ya umma itatumika. Tamko hilo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hawa CCM na UVCCM wanashangaza sana,huyu Bashe si ndo Makamba na Chilagati walimtangaza sio Raia, si ndo aliyeshinda kura za maoni jimbo la Nzega CCM wakasema si Raia, Si ndo huyu mwenyekiti wa...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
WanaJF Nauliza: Hivi Kiongozi Mkuu (Mwenyekiti) wa CUF alishawahi kupata position ya kuchaguliwa (elective post) kitaifa? Alishawahi, kwa mfano, kuchaguliwa kuwa Mbunge? Sikumbuki sawasawa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
(1)GREAT MINDS DISCUSS IDEAS (2)AVERAGE MINDS DISCUSS EVENTS (3)SMALL MINDS DISCUSS PEOPLE Watu wa aina zote zilizopo hapo juu wapo kwenye jamii na humu jamvini. Mimi ningependa wote tuwe...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi: Stori hii kutoka MwanaHalisi ya leo inatisha. Lakini nadhani ndiyo maana CCM huwa haipendi wabunge wapinzani watoke maeneo ya migodi. Halafu chama kama Chadema kikielezea kitu hiki...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
It’s no secret that Libyan dictator Moammar Gadhafi is one wealthy despot, but when it comes to his African neighbors, he’s also a generous one. CNN examines how the ruler’s generosity and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina ushauri ufuatao kwa Rais Jakaya Kikwete: 1. Rais Jakaya Kikwete unaonekana kukerwa sana na baadhi ya watendaji, ambao hawajawajibika kiasi cha kutosha na kusababisha 'poor service...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huku tukifahamu matatizo mengi yanayomwandama mtanzania leo na hali mbaya zaidi ambayo kama mambo yasipobadilika, atakuwa nayo kesho. Na huku tukifahamu kuwa ujinga - ambaye wakati mmoja tulimwita...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Na Jacqueline Massano 23rd March 2011 Msomi mmoja amekosoa hoja za Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na kudai kuwa hoja walizozitoa kwenye kikao chao mwishoni mwa wiki zina...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa wale wapenzi wasoka kama waliangalia mechi ya Manchester United na ---- last week watakubaliana na mimi kwamba Rooney alionyesha kiwango cha juu sana cha uchezaji wa kiteam. Japo hii ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ufisadi nchini, umepandwa, ukamwagiliwa maji, ukang'olewa magugu na ukapaliliwa na CCM. Ni vigumu sana kutofautisha ufisadi na CCM hivi sasa kwa sababu key players wengi wa ufisadi ni watu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tangu serikali ya awamu ya nne iingie madarakani, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi kuhusu utendaji wa JK kama kiongozi mkuu na serikali yak. Lakini kila ninapomtizama kiongozi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Vyuo vikuu Chadema waja na `washa taa mchana` Na Gideon Mwakanosya 22nd March 2011 B-pepe Chapa Maoni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Atamka serikali 3 ndio suluhiso. Katiba ya tanganyika ndio itakidhi maslahi ya watanganyika. Na zanzibar watapata maslahi yao. Serikali ya muungano itaikisoa hizi mbili katika uwajibikaji wake...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Speeding is said to have caused the accident in which 13 members of the Five Stars Modern Taarab Group were killed and nine others injured in Mikumi area, Morogoro Region on Monday night...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Novemba 7, 1988, Jakaya Mrisho Kikwete alipewa Ubunge wa kuteuliwa na Rais Ali Hassan Mwinyi na kufanywa Naibu Waziri wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini, nafasi aliyoishika hadi mwaka 1990...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Leo katika Kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star TV nimemuona Bw. Eric Shingongo akitangaza Tamasha la Wasanii Lenye Kuitwa "TAMASHA LA UZALENGO TANZANIA KWANZA" Katika maelezo yake lengo la...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom