Originally Posted by JokaKuu
..Raisi wa Znz, Dr.Shein, amesusa kuhudhuria vikao vya baraza la mawaziri wa serikali ya muungano.
..je, huyu anatunisha misuli kwamba Zanzibar hawataki muungano...
Wengi wetu tutakuwa na majibu tofautitofauti juu ya chanzo cha umasikini hapa tz.UTAJIRI we2 wote kwa mfano,madini ye2 haya2faidishi kama inavyotakiwa.2kiangalia,misi2 2naichoma na kusababisha...
Habari kutoka Bukoba zinasema jana kulikuwa na semina elekezi kwa madiwani wote wa Chadema watokao mkoa wa Kagera.
Hii ni moja ya kazi wanayofanya sasa Chadema nchi nzima katika kuwaweka madiwani...
PRESIDENT Jakaya Kikwete has directed the Ministry of Communication, Science and Technology to expedite formulation of a policy on uranium mining in the country.
Speaking to officials at the...
..Raisi wa Znz, Dr.Shein, amesusa kuhudhuria vikao vya baraza la mawaziri wa serikali ya muungano.
..je, huyu anatunisha misuli kwamba Zanzibar hawataki muungano?
..je, wabunge wa Zanzibar...
Ratiba iliyotolewa ya makamu wa rais mkoa wa mwanza.
Ametua mwanza anakwenda kwimba anarudi kulala mwanza mjini
Kesho yake anakwenda Geita na Sengerema
Siku ya mwisho Magu na kuutubia mkutano wa...
Kwa takribani mwezi mmoja sasa, tumekuwa tukisikia kuwa kambi ya mmoja kati ya wanaowania kugombea Urais mwaka 2015 imesambaratika. Habari hizo zinadai kuwa mgombea huyo ambaye anaonekana kuwa na...
CUF walikuwa wanakataa kuwa wao siyo sehemu ya serikali lakini sasa wanatembea kila kona kuishindikiza serikali ya Jakaya Kikwete kuwasweka jela viongozi wa CHADEMA.
Rashid Hamad aelezea masaibu...
Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Kimetoa rambrambi ya dola kimarekan 2,000 kwa ubalozi wa Japan kutokana na tetemeko la baharini lililoikumba nchi hiyo. Rambirambi hyo imewasilishwa na...
Tangu uchaguzi uishe mwaka jana tumeshuhudia Chadema ikifanya harakati nyingi zilizoleta misukosuko na hata roho za baadhi ya ndugu zetu kupotea huko arusha, migomo Bungeni, kushinikiza maandamano...
Wanajamvi vijana wa CCM wameamua kuwa wakweli na kuwambia TISS kuwa wanavuruga nchi. Mzee mwanakijiji anaweza kuwa na taarifa za kutuambia hapa maana anawajua TISS vizuri
Hebu soma kipisi hiki cha habari wakati rais akitembelea wizara ya uchukuzi: (IPPMEDIA 23 machi 2011)
"Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), Israel...
Wapendwa wanajamii,
mwaka jana nilionda BAshe akivuliwa ushindi wa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM kisa si mtanzania, Je leo imekuwaje CCM inampa kazi mtu asiye raia kuratibu uhai wa chama...
Nimekuwa nikifuatilia ziara za Rais wangu Mhe. Jakaya Kikwete katika wizara mbalimbali. Kwa dhati nampongeza kwa kufanya ziara hizo kwa kuwa si kuwa zinawakumbusha wajibu wao watendaji wa wizara...
Kuna hii msge huwa naipata sometimes ninapofungua some of the threads. Sasa sijui kuna thread nyingine ni kwa baadhi ya members tu au!! Sijui kama hili ni tatizo langu peke yake. Najua hii issue...
SHERIA ya urai haitambui urai wa nchi mbili na raia wa Tanzania anayestahili kuwa na kitambuklisho cha urai anatakiwa awe na sifa zifuatazo:
a) Aliyezaliwa katika nchi ya Tanzania wazazi wake...
Rais Jakaya Kikwete, jana alimweka katika wakati mgumu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Hawa Ghasia, baada ya kukatisha mara kwa mara hotuba yake akitaka maelezo ya...
ha ha ha ha ha, teh teh teh teh , twi twi twih twih, ama kweli inachekesha.
uvccm wameunda kamati maalumu ya kusaidia kuleta mabadiliko ccm, na kamati hiyo inaongozwa na hussein bashe, ambaye...
This blog is operated by THE DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA. It seeks to promote presidential activities, in an interactive manner from all...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.