Siku za hivi karibuni kuna mambo yamenitisha sana;
1. Eti kuna mgodi wa madini katika poli moja huko Kahama na raslimali kutoka huko zinabebwa directly kupitia uwanja wa ndege uliopo hapo mgodini...
Nilikuwa nasoma habari iliyochapishwa katika gazeti moja kuhusu wananchi wa Kata ya Mwakibete jijini Mbeya ambao, chini ya Kamati ya Maendeleo ya Kata (KAMAKA) hiyo ya Mwakibete inayoongozwa na...
Sisi wa Tanganyika tumelala bado usingizi wa pono hasa viongozi wetu, mambo haya yanamaudhi kweli ndiyo maana wazanzibar wamechoka na mambo yetu sasa wameamua kuwa kitu kimoja wote CUF na CCM na...
Kama ulikuwa unafutilia ziara za JK kupitia TBC, kila siku. Katika mfululizo wa ziara zake wizarani, JK amekuwa akioneshwa akiwakoromea mawaziri na kuwakatisha katisha wanapotoa taarifa kwake...
Serikali imetamka kuwa katiba mpya hadi mwaka 2014. Chadema kuweni macho! Hizi ni hila chafu sana za kupooza vuguvugu la maandamano ya madai ya Katiba yanayoendelea kwa sasa kwa kuwapa watanzania...
Sidhani kama CCM watakaa kimya, wakati Sumaye 'mpinzani' wao kaongea, tena kawalima.
Naamini hoja za UVCCM zilikuwa kama kimbwa kidogo kimetumwa kuchokoza mbwa mgeni, mbwa mgeni aking'ate, then...
Jaman kutoka na uzalilishaji wa Boss wao anapowatembelea maeneo ya kazi inatia huruma. Magufuli na wengine walio tolewa kafala sijui wataanzia wapi? Jk uliwachagua ili uwazalilishe? Hakuna ki2...
Wana Jf
Kinachonishangaza ni kuwa bado CCM wanafikiri watakamata dola 2015 ndio maana wanapoteza muda kubishana na kutoleana maneno ya kejeli. Hata yule mtu aliyemchafu kama nguruwe bado yumo...
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya UMMA(POAC) Mbunge Zitto Kabwe leo katupasha habari 2 za kusikitisha sana sis Watanzania;
Mosi;Tanzania lost USD 308m(Approx billion 450 in TZ...
kuna tetesi mbeya kwamba mwenge wa uhuru utawashwa mwaka huu mbeya katika taasisi ya sayansi na tekinolojia na ataye washa ni mzee wa chalinze JK. baada ya kupumulia mashine kwenye uchaguzi kaamua...
Nakumbuka wiki iliyopita uongozi mzima wa Chadema ulikuwa uje kufungua ofisi ya kata ya Olorien- Chadema lakini kutokana na kikao cha dharula ilibidi uongozi mzima uwepo Dar es Salaam hivyo...
Kwa wale watazamaji wa ITV au Channel-e ya South Africa watakuwa wanafahamu kipindi maarufu cha mwanasheria anaendesha kesi nje ya majengo ya mahakama (Street Court)....inarahisisha badala ya watu...
Za hasubuhi wanajamii, waasalamu Alyekumu!
Sijaelewa hawa jamaa wa SISIEMU Vijana (UVCCM) wanaelekea wapi na wanapeleka wapi umoja wao?
Sasa inaonyesha wazi SISIEM hawana nia ya kukemea ufisadi...
naomba viongozi wa chadema makao makuu muifuatilie chadema mkoa wa singida na wilaya zake kwani ni kama wametelekezwa na hawajui waende wapi?wanachadema wanahangaika wenyewe kufungua matawi ila...
Kama umesoma historia, hakuna kazi ngumu duniani kama kuleta mabadiliko. Tatizo ni kwamba wale walioshika madaraka wananufaika hivyo hawataki hali ibadilike. Ili kujilinda wanawatumia watumwa...
Nimetafakari kwa kina nikagundua ccm kitakuwa chama kizuri sana cha upinzani baada ya kushindwa kwenye uchaguzi ujao. Imagine Magufuli anachangia hotuba ya waziri wa ujenzi, Mwandosya anachangia...
Kwanza,naomba niwapongeza wanachama wote JF kwa mijadala na changamoto mbalimbali mnazozitoa.kwani ni mwanacha mpya wa JF.Hivyo naomba mnisaidie mbinu mbalimbali za propaganda.
Kutoka Twitter page ya Zitto: Zitto Zuberi Kabwe (zittokabwe) on Twitter
@zittokabwe: Tanzania lost USD 308m as tax revenue from sale of Zain Africa assets in Tanzania to bhartel. Source: TRA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.