Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Magazeti ya Raia Mwema na Mwanahalisi yalitoka na makala siku ya Jumatano ambazozilikuwa zinahusiana na kikao cha Umoja wa Vijana wa CCM Mwishoni mwa Juma lililopita. Makala hizo inaonekana...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wameitaka serikali kufunga viwanja vya ndege vilivyojengwa katika maeneo ya migodi kwa kuwa vinatumiwa na wawekezaji kutorosha...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ninahitaji sana huduma ya umeme. Na ninafurahia sana kukiwa na umeme nyumbani, pahala pa kazi n.k. Ninafarajika kwa kuwa ninahisi mimi kama mtu binafsi mambo yangu yatakwenda sawa, lakini pia kama...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni nani anapaswa kulaumiwa kuhusu uchafu ulivyozagaa katika Jiji? Hivi karibuni nilisafiri na kuingia katika Jiji hili ambalo wengi wanasema ndilo sura halisi ya Tanzania. Kwanza nikiri kuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nakambuka mwaka 2000 na 2005 ambapo CUF walikuwa wanaongoza upinzani Tanzania,walikuwa wakiandaa maandamano na watu walipigwa mabomu na wengine kupoteza maisha ,lakini leo hii wanakataa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jumuia ya ma imamu iliyokuwa imeandaa maandamo makubwa ya kupinga uvamizi wa nchi za magharibi nchini Libya, ambayo yalikuwa yafanyike kesho ljumaa yamepigwa STOP na Kova Chanzo: TBC habari
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Leo kamati ya hesabu za mashirika ya umma (POAC) imemwita Katibu mkuu Hazina kufafanua kwanini Serikali haikupata kodi kutokana na uuzwaji wa Zain kwenda Airtel. Aidha, wanataka atoe ufafanuzi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
He plays dumb, he plays ignorant, he pretends to be a common man, he appears clumsy, clueless, ignorat, lazy and well laid back! A Clown! But he is not! He is the master, the architect, the...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi binafsi na muunga mkono Mheshimiwa waziri kwa kubomoa majumba yaliyojengwa kwenye hifadhi za barabara na yote yanayoendelea kujengwa.Unajua kuna watu hadi sasa wanaendelea kujenga majumba ktk...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Polisi Dar waijibu Sumatra Geofrey Nyang’oro SIKU moja baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kulishtaki Jeshi la Polisi kwa Rais Jakaya Kikwete, kuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tangu uchaguzi kuisha mwaka jana, kuna sentenssi zimeibuka na zinatumiwa na wana siasa na viongozi wa serikali kusema kuna "Siasa za Chuki". Ambapo ukisikia malalamiko hayo, ujue kuwa wahusika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Government is not creative in addressing national problems By Evarist Kagaruki President Jakaya Kikwete’s administration has been criticized for not being innovative in tackling critical...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Mawasiliano yote kuhusu kiti cha Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar cha Umoja wa Mataifa yalifanywa na “Ministry of External Affairs, P.O.Box 9000, Dar es Salaam, United Republic of...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Diwani Mbeya afichua ufisadi michango ya shule Felix Mwakyembe, Mbeya Machi 23, 2011 Wafanikiwa kujenga madarasa kwa michango ya 3,000/= DC atumia vitisho, kisa diwani ni CHADEMA Wananchi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
THE country risks forfeiting more than 225bn/- in foreign investments with potential of creating 20,000 direct jobs due to government's failure to spend 26bn/- in compensation for land earmarked...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeona kwa kifupi, TBC walikuwa wanaonesha kwa ufupi ziara ya JK kwa wizara mbalimbali, aisee huyu Mr angekuwa mkali namna hii siku zote nchi yetu ingekua mbali, waziri wa uchukuzi alikua...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Nimefadhaika sana, nimedhalilishwa sana, nimeonewa sana katika hili..Tunahutubia nchi nzima na kusema waziri mkuu amefanya hiki, amefanya hiki, amefanya hiki..bila kumsikiliza..mi nadhani the wish...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa nini jf members mnatumia majina ya ajabu namna hii. Mengine hayafai hata kutamka. Au tunaogopa kujulikana?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi karibuni nimebahatika kuzisikia kauli za muungwana JK katika runinga akiwa kwenye sindimba zake za kutembelea wizara. kauli kama hizi:- 1. kwani kuna wafanya kazi/watumishi hewa(UTUMISHI)...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
WanaJF Nauliza swali hili- naona ni lamsingi. Hivi ifikapo mwaka 2015 CUF itakuwepo tena huku Bara? Nasema hivi kwa takwimu. Mporomoko wa kura walizopata 2005 na kulinganisha za 2010 unaonyesha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom