Utendaji na kauli za mawaziri wa Jk unatia mashaka.
Kitendo cha waziri mmoja kuwashambulia wahadhiri wa vyuo vikuu kinazua mashaka kwa kuwa nielewavyo mm lazima mhadhiri awe objective...
chama cha demokrasia na maendeleo pamoja na baadhi ya vyombo vya habari vinalaumiwa kupotosha taharifa ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa mh Benard Membe
Taharifa kamili...
Ziara anazofanya JK katika wizara za serikali ni dalili ya kutojiamini kwa PM wake, kama angekuwa na msisimamo thabiti Waziri Mkuu Pinda angeweza kuwaita mawaziri ofisini kwake na kuwapa maelekezo...
Ndugu zangu wa jf,
Mimi huwa ninafuatilia sana uelewa watu kuhusu mambo ya msingi ya nchi hii. Kila mara kunapokuwa na mambo muhimu kwenye media asubuhi kwenye vituo vya magazeti, ktk daladala...
How Kikwete saved the day for Chadema Send to a friend Sunday, 20 March 2011 19:36 digg
President Kikwete shakes hands with Mr Kabwe at past fuction
By Tom Mosoba and Florence Mugarula
Dar es...
Wana JF
Mimi najiuliza kama kuna mtu mwenye akili timamu na mzalendo wa kweli anayeweza kuendelea kuitetea ccm hii ya leo. Inahitaji roho ya kiwendawazimu kuendelea kuitetea ccm au kuwa...
Taarifa ya habari ya jana tbc, JK akiongea alipotembelea wizara ya uchukuzi na kuzungumzia utendaji mbovu wa wa TAZARA, amesikika akilaumu jinsi menejiment zinavyochaguliwa alisema "badala ya...
DHANA ya maendeleo kwa wananchi ni moja, kwa maana kuwa maendeleo yanayopiganiwa na serikali kwa wananchi wake kupitia chama tawala, CCM ni sawasawa na maendeleo yanayopiganiwa na vyama vya...
BAADA YA KUAMBIWA KUWA UGUMU WANAOKABILIANA NAO SUMATRA NI PAMOJA NA KUWA WAMILIKI WENGI WA DALADALA NI MAASKARI AMBAO WANAWAACHIA MADEREVA WAKOROFI MARA ZOTE
RAISI KIKWETE ALITOA KICHEKO CHA...
Mufti condemns prophets of doom, defends Gaddafi
(My Take is Kikwete is Implicated Here Everywhere and he has to Respond Otherwise we will Interpret Shehe's words)
By JAFFAR MJASIRI, 22nd...
Makamu wa rais leo alikuwa na mkutano wa hadhara mjini Geita katika viwanja vya magereza leo jioni,cha kusikitisha amejikuta akiwahutubia wanafunzi wa sekondari waliosombwa kwa magari na watoto...
A leading US environmental expert has warned that Tanzania's resolve to build the northern road through the Serengeti National Park (Senapa) could deny the country substantial foreign aid.
The...
Tangu itangazwe kuwa Makamu wa Rais anakuja mkoani kwetu UMEME haujakatika wala hakuna mgao, kabla ya hapo mgao ulikuwa ni masaa 4 tu kwa saa 24! Hizi ni mbinu chafu za kizamani zilizopitwa na...
Serekali ya Smz itowe Muuongozo kuhusu Katiba
MAELEZO YA MHE. ISMAIL JUSSA, MJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WA JIMBO LA MJI MKONGWE, KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSIANA NA HOJA BINAFSI...
Nimefanikiwa kufanya utafiti (usio rasmi) kwa watu wa rika mbalimbali wenye elimu chini ya form 4 na wa chache wenye f4 failuire ktk mikoa ya kigoma,pwani, morogoro na dar, Kikubwa nilichokuwa...
Kwa wale waliopata kuangalia kipindi cha JE TUTAFIKA Channel ten kinachoongozwa na Mwanahabari, Kada mfu wa ccm ndugu Makwaiya wa Kuhenga nadhani hii habari sio ngeni kwao.. Kwa walemliopitwa basi...
Ndugu wana JF
Harakati za ukombozi wa kweli wa mwananchi wa Tanzania unaendelea kwa kasi katika sector ya vyuo vikuu, Sasa ni zamu ya mzumbe ambapo hatua za kufungua tawi zipo mwishoni...
Jamani toka vuguvugu la uchaguzi lianze mpaka linaisha tumeshuhudia viongozi wetu wa dini wakijiingiza kwenye ushabiki wa siasa mambo ambayo me ninahisi hayawahusu, rejea uchaguzi wa meya arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.