Pamoja na kufanya shughuli za kila siku na za kimkakati katika kukijenga chama chenu, nashauri muanzishe kampuni kubwa ya uwekezaji na kuanzisha mashamba makubwa ya mfano katika sehemu mbalimbali...
Sakata la kumuengua mlezi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Samuel Sitta, limeingia katika hatua mpya, baada ya Katibu wa CCM Mkoa wa Tabora, Iddy Ally, kumkana Mwenyekiti wa...
Wapendwa wa jamiiforums,
Ninatoka Ulaya, nilikuwepo Tanzania kutoka mwezi wa 7 mpaka mwezi wa 12, na sasa ninaandika kwa chuo kuhusu "Political Communication during the 2010 Tanzanian Elections"...
Lowassa amtwisha zigo Waziri Nundu
Patricia Kimelemeta
KAMATI ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, imemtaka Waziri wa Uchukuzi, Omary Nundu, kuwasilisha barua ya kupinga ujenzi wa...
Source TBC1 news
"Ticha" Makamba amesema aliosema kuhusu Sumaye ni maoni yake.
Kuhusu mitandao na matumizi ya hela kwa ajili ya urais- CCM haina habari
Kinachotokea now ccm watu wanadhani chama kinaanguka,siyo kweli!!hayo ni mawazo ya watu ambao wamezoea kukandamizwa,and hawapo used na freely watu kama jamii kujieleza kile wanachoamini ndani ya...
Ule mkutano kuhusu "Information and Accountability for Women and children" uliolengwa kufanyika Canada mwezi Mei na hapo kuunganisha ziara ya kiserikali ya Vigogo wa nji hii umeyeyuka hadi...
BARAZA Kuu la Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), limewaonya baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao wameanza kujipanga na kuweka mikakati binafsi ya kuwania nafasi ya urais 2015...
Wanasheria washauri Zanzibar kuunda tume ya mabadiliko ya katiba | MZALENDO.NET
Written by administrator // 19/03/2011 // Habari-Picha, Kitaifa // 20 Comments
Na Salma Said,
KONGAMANO...
Makamba anafaa sana kuwepo kwenye hicho cheo alicho nacho ili asaidie kuiondoa haraka ccm madarakani. Kwa sababu hiyo NAAMURU RASMI KWAMBA wana JF muache kumuandama isipokuwa mchocheeni zaidi ili...
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umesema mgogoro wa udanganyifu wa umri na elimu unaomkabili Mbunge wa Viti Maalum Wanawake kupitia UVCCM Zanzibar, Asha Muhamed Omar, umekabidhiwa...
Hi wajumbe, nimetafakari kufananisha wachezaji wa mpira namba tano ambaye kazi yake kulinda, ni pale ambapo bila kujua hugeuka na kuanza kushambulia goli lake inakuwaje, nimepata watu wachache ktk...
Wanajanvi. Ile press conference ya sumaye imekuja na mapya gani. Wenye data mtujuze please. Inasemekana Jk ndiye kinara wa kuwatumia hawa wakora kuwashambulia wastaafu wanaojaribu kuonyesha njia...
The Muslim Council of Tanzania (Bakwata) has asked the government to form a special commission comprising religious leaders to explore the increasing religious animosity in the society. Speaking...
Naomba nimjue Mbunge mwenye uchungu wa kweli wa nchi yetu:
Ambaye amekataa ule mkopo wa mamilioni (up to 200 mil) payable in 5 years?
Ambaye amekaa kuchukua mkopo wa gari wa milioni 90? Lema...
Leo hii viongozi wa Chadema wamefikishwa tena mahakamani Arusha katika kesi yao ile iliyotokana na maandamano. Kuna baadhi wamebadilishiwa charges.
Lakini swali langu hapa ni kwa nini huu...
Ndugu zangu wanaJF,
Watu wengi nilioongea nao kuhusu sakata la Shigela na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Sumaye wamesikitishwa sana na matamshi ya shigela. Wanasema kuwa bwana mdogo ameonesha utovu...
ccm walisema mengi kuhusu chadema. mengi yaliyosemwa ni uongo mtupu. leo imedhihirika hata umbeya wa wenyewe kwa wenyewe, wanasemana vibaya. kwani sumaye kukopa tatizo ni nini? utafanyeje biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.