Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwanza; Tumeonya watu kuwa waangalifu sana na kujadili CCM, kwani upepo ukibadilika watu hawa nao huwa wanabadilika. Upinzani; this is a challenge, wengi wa hawa followers ni wafuata upepo kwa...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Written by mkulima // 26/03/2011 // Habari // No comments Ama kweli kwa M/Mungu hakuna kubwa? takribani kipindi kirefu Wzanzibar tuligaiwa mapande na kupandikizwa chuki za Uarabu,Upemba na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nilikwenda Sanya Juu, Wilaya ya Siha, Jimbo la Siha, kule kwa Mh. Agrey Mwandri, Naibu Waziri TAMISEMI na Mbunge wa Siha. Kwa kweli sikuamini nilichokiona hadi wenzangu kwenye gari...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Saturday, 26 March 2011 10:05 WABUNGE 52 watafikishwa katika Baraza la Maadili, kujadiliwa na kuhukumiwa kutokana na kushindwa kujaza fomu za maadili ya uongozi wa umma tangu mwaka 2005, Kamati...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hoja ya Sumaye yazua mvutno mkali ndani ya chama Sunday, 27 March 2011 Waandishi Wetu KAULI ya Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, aliyoitoa dhidi ya tuhuma alizotupiwa imezidi kuwasha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia taarifa za viongozi wetu wa Tanzania tangu tiba ya babu kule Loliondo itokee na nimekuja kugundua yafuatayo: 1. Viongozi wetu wengi wa serikali na chama tawala ni wagonjwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi...
0 Reactions
101 Replies
9K Views
Tamko-la-MUWAZA-(Katiba-Mpya) | MZALENDO.NET
0 Reactions
0 Replies
1K Views
editing error au kutojua?
0 Reactions
0 Replies
961 Views
TWAWEZA KUWA TUNARUDISHIWA WATUNZI MAHIRI Read more Hotuba ya mfungwa Mswahili - Newhabari also attached as a word doc.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
........Siku za karibu kumekuwa na mipasho inayoendelea kati ya viongozi wa ngazi za juu wa chama cha CCM(napata hata kichefuchefu napokitamka) na baadhi ya jumuiya zake kama ile ya UVCCM...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kumekuwa na promo nyingi toka kampuni za simu na nyingine ni kuwauzia wateja ringtones za miito. Hii ni tofauti na mauzo yaliyo wazi kama mauzo ya airtime, na hata simu za makampuni husika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Lini? Tarehe 25/03/2011 Wapi? Viwanja vya Biafra, Kinondoni. Alisema nini? ameamua kuvunja ukimya na kuwaambia waislamu kote nchini umefika wakati wa kufanya mashambulizi dhidi ya watu ambao...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana JF nimeshistushwa sana na taarifa kuwa serikali yetu inadaiwa 3.1 trillion na mfuko wa pension kwa watumishi wa umma. Swali langu kuu, hili deni ilikuwaje hadi likafikia kiwango kikubwa cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
7:34 PM on 26th March 2011 Hooded anarchists throw paint and set off flares on Oxford Street Police targeted with missiles and light bulbs filled with ammonia Windows at The Ritz smashed as...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tabia zao kijamii, kisiasa, kiuchumi, kielimu, kimaslahi na kimienendo ................................. Labda nichokoze kimienendo inasemekana wote ni usalama wa taifa, kweli?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sat 26 Mar 2:37PM Mwanzo Habari Biashara Michezo Burudani Ajira Uchambuzi Jumapili Makala Picha Tangaza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
When Barack Obama visited Ghana last year among other things, he said that Africa does not need strong people rather need strong institutions. I contemplated that statement for quite some time to...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimepata habari za uhakika kabisa leo kwamba watu wenye makazi ya muda mrefu,chini ya uongozi unaotambulika kitaifa toka ngazi ya chini,wenye mashamba ya mazao ya kudumu na ya msimu, wameondolewa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni jambo lisilopingika kuwa hakuna binadamu yeyote anayependa vita itokee Nchini mwaka, na nina imani kuwa Wananchi wa Libya nao vilevile wasingependa vita iendelee Nchini mwao. Najua rais wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom