Sourc: Mwananchi.
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema) amesema wiki hii itakuwa ya kihistoria wakati Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, litakapopitisha azimio...
Wandugu,
Hawa viongozi Mhe. Sitta na Sumaye kila mmoja ametoa kauli nzito nzito zinazodhihirisha udhaifu wa chama chao. Mbaya zaidi chama kama chama hakijatoa tamko lolote rasmi la kujibu hoja...
Sasa hivi Mh Rais anatembelea wizara zote kuangalia jinsi mambo yanavyokwenda katika shughuli zao. Hebu tufanye tathmini kama hii ina mantiki na itabadilisha ufanisi au Mh Raisi anatembelea...
Jana kulikuwa na fainali za shindano la kuisaka bar inayochoma vizuri chini ya udhamini wa TBL.
Muda wote tulipokuwa pale palikuwa shwari na kazi ilikuwa ni kula nyama na bia. Mara MC akatangaza...
Angalia siasa za tanzania zinavyoendeshwa,angalia vyombo vya habari,angalia wanasiasa na wananchi,kwa mtu makini atashangaa nini muelekeo wao,nini madai yao,nini wanataka. Ni mcharuko kila mtu...
Wakuu. Shigongo amekutana na nguvu ya umma. Katika tamasha lake la uzalendo, ambapo alitaka kuanza kumwaga sumu juu ya harakati / maandamano za CHADEMA. Ile anaanza tu kuongea umma ukaanza...
WanaJF salam
Ninavyofahamu kati ya wanyama wafugwao, mbwa hufugwa kwaajili ya ulinzi. Mbwa mlinzi mzuri huwafahamu mabosi wake, kwa kawaida mbwa huwafahamu wakazi wote wa nyumba kupitia kwa bosi...
chama cha mapinduzi kinafanya mkutano wake hapa tegeta kwa ndevu na ajenda kubwa ni kujibu hoja za chadema kuhusu dowans, mfumko wa bei, kupanda kwa ghalama za umeme, hizo ni taarifa nilizopata...
MALUMBANO yanayoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baina ya vigogo wa chama hicho na Jumuiya ya Umoja wa Vijana yamebeba siri nzito, Tanzania Daima Jumapili limedokezwa.
UVCCM inadaiwa...
Taarifa ya habari chanel Ten,sasa hivi viongozi wa vyama 12 vikiongozwa na paul kyara na lifa chipaka (Tadea).
wanalilia mgao wa ruzuku,na wanonekana kukumbwa na kiwewe cha vuguvugu la CDM la...
Heshima Mbele Wanajamvi
Hii ni hoja yangu namba moja, katika mfululizo wa hoja nitakazokuwa nazitoa hapa jamvini. pamoja na U-junior wangu kama member lakini nakuhakikishieni kuwa kwa muda wa...
tulizoea kuwaona wakati ule nccr na tlp wakiwa na migogoro.walikuwa manabishana kutumia vyombo vya habari. leo migogoro imehamia ccm. nimecheka hapa naangalia tbc uvccm huko tabora wanabishana...
Tumekwishaa!
Lazima tujue "kuchanganya na za kwetu..." waandishi habari na waandika makala wengi Tanzania... wengi wanaandika vitu kwa utashi wao na si kuzingatia hali halisi. Wapo baadhi...
Nimegundua kuna Watanzania hawajapata nafasi ya kuiona ile movie ya Darwin Nightmare, ipo kwenye mtandao, ni full movie, inaujumbe mkali sana kwetu sote.
Link hii hapa ; YouTube - Darwins...
Naona kuanzia Loliondo, Uvvcm, Shigongo,Magufuli na Pinda imepoteza kabisa mstakabadhi mzima wa dowans au ndio movie zinachezwa hapa ili mwisho tusikie serikali na wanaharakati wameshindwa kesi...
CCM hapa Kimara mwisho wana kamkutano nasema kamkutano kwa sababu nilipita na kuangalia idadi ya watu waliopo hapo hawafiki hata 50,aliyekuwa anahutubia alikuwa m/kiti wa wilaya ya Kinondoni na...
nimekuwa nafuatilia sana upepo wa kisiasa nchi za kiarabu. karibia nchi zote zimekubwa na vuguvugu. sidhani kama kuna nchi itabaki salama. najiuliza, waarabu si watu wa demokrasia sana. wana...
Which way for CCM?
Sunday, 27 March 2011 06:06 digg
POLITICS The ruling party faces trying moment in looming succession fallout
As the date nears for crucial meetings of Chama Cha Mapinduzi's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.