Jumamosi nilikuwa mmoja wa watanzania wachache waliokwenda kuishangilia timu yetu ya taifa. Kama kawaida ya mechi za kimataifa, nyimbo za taifa hupigwa. Kilichonihuzunisha ni jinsi watanzania...
Wre polite and progressive by day, more tibalist than even the Kenyans by night ..
Ukweli kama huu anaoweza kuusema Jenerali Ulimwengu ndio umewafanya watawala wengi kumwogopa...
Hivi karibuni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilifanya maandamano katika mikoa ya kanda ya Ziwa yaliyohudhuriwa na watu wengi.
Hata hivyo maandamano yalipokelewa kwa hisia tofauti na...
Habari zilizolifikia gazeti hili jana zimeeleza kuwa muundo wa tume hiyo hautawashirikisha wabunge, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Madiwani wala kiongozi yeyote wa kisiasa.
Tume hiyo...
Mtoto wa mkulima asiyekuwa wa mkulima Bro Pinda amevunja ukimnya wa viongozi wa juu wa CCM baada ya kuwaomba wanaolumbana wafuate taratibu za chama...
Amesema asiyependa kufuata utaratibu huo...
MAAZIMIO YA BARAZA LA UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)
MKOA WA ARUSHA – LONGIDO
UTANGULIZI
Kikao cha baraza la vijana la mkoa wa Arusha kilichokaa leo tarehe 28 Machi 2011, wilayani...
Ms. Beatrice Kiraso, EAC's Deputy Secretary- General in charge of Political Federation
With more than 150 political parties registered in the five partner states, the East African Community...
SERIKALI wilayani Kwimba imesema kwamba, itawakamata na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria wanasiasa watakaotumia majukwa kuitukana, kufanya uchochezi na kuhatarisha amani.
Akihutubia maelfu ya...
Nashangaa ninapoona wagonjwa wakinywa dawa ya babu kwa vikombe vya kijani! Hivi CDM tumeshindwa kutengeneza vikombe vyenye nembo yetu na rangi ya chama chetu na kuvipeleka kwa Babu kama msaada...
Wana JF fuatilieni taarifa ya habari.
---------
Amesema ataendelea kupambana na ufisadi pamoja na nchi kuwa na rasilimali za kutosha wananchi bado ni masikini- inakuaje watu 43mil...
WATAKIWA KUJIUNGA NA KUSIKILIZA SERA ZA CHADEMA
na Stephano Mango, Songea
VIJANA nchini wametakiwa kuhudhuria kwa wingi mikutano na maandamano yatakayoitishwa na Chama cha Maendeleo na...
Wana JF
Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini CCM wako tayari kufanya chochote kubaki madarakani kwa gharama yeyote hata kwa kuiba kura pamoja na kutokubalika na wananchi wanaopiga kura. Hivi ni...
Wanajamvi: Hii ni stori kuu ya gazeti la Mwananchi la leo kuhusu malumbano ndani ya chama tawala. Hofu yangu ni kwamba CCM ni chama tawala ambacho kinapoteza umaarufu wake mbele ya umma kutokana...
Bado tumetawaliwa na UTUMWA wa KIFIKRA, kwamba HATUWEZI na VYETU HATUVITHAMINI!
WAHENGA WALISEMA "UTU BUSARA, UJINGA HASARA' haikutosha wkaongeza "MDHARAU KWAO MTUMWA"
Leo hii Mtanganyika...
Wanajamvi tujiulize swali hili maana kwa sasa linaonekana kuwa muhimu hasa baada ya kuonekana kwamba Chadema inakubalika kwa kasi sana hapa nchini -- hasa kwa vijana waliokata tamaa.
Hivi kati ya...
Serikali inakusudia kupelaka muswada ktk kikao kijacho cha Bunge ili kuongeza adhabu kwa watu wanaokutwa na makosa ya uchawi, ikiwamo kutozwa faini ya Sh1 milioni na kifungo jela.
Akichangia...
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, Vodacom Group , Pieter Uys, wakati wa ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam juzi kwa ajili...
VIONGOZI wakuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamezidi kubanwa na mahakama baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) kuwafungulia mashitaka mapya yanayohusu maandamano ya Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.