je kwa mtindo wa wanaccm kurumbana,staili hii CHAMA TAWALA hawawezi kujimaliza kisiasa wao kwa wao? habari kwa unyeti huwa nazidabika Unique Entertainment
wadau hebu tune itv televisheni zenu mcheki Sera za Mh. Rais wetu, Waziri wake wa Sera, Mipango na Uwekezaji Mary Nagu anawakilisha! Sijui atasema nini?
28th March 2011
Zanzibar House of Representatives council secretary Ibrahim Mzee has said the decision by Chadema not to include CUF Members of Parliament in the Union Shadow Government...
Haipiti siku moja bila kuona posts za shutuma baina ya vyama - CCM hivi, CDM vile, CUF hivi na vile na posts nyingi katika hizi ni kushutumiana vurugu na udini. Sioni kama posts hizi zinaweza...
MAWAZIRI Vivuli wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wameishambulia vikali serikali ya Rais Jakaya Kikwete juu ya utawala wake, huku wakimpa siku 90 Waziri wa Ulinzi, Dk. Hussein...
Wana JF CCM kumiliki baadhi ya majengo na viwanja kama vya mpira ambavyo vilijengwa na wananchi kushirikiana na serikali iliyokuwa madarakani je ni halali?
MY TAKE;
Je ccm kusema ni vyake na...
Katika swala la ununuzi wa mashangingi ya bei mbaya kwa ajili ya viongozi sirikali waziri mkuu Pinda alishia kulalama tu. Hakuwa na ujasiri(GUTS/BALLS? kupiga stop. Katika swala la bomoa bomoa ya...
Uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa na vitongoji katika jimbo la babati
mjini umemalizika huku chama cha demokrasia na maendeleo (chadema)
kikiibuka mshindi kwa kuongoza mtaa mmoja na vitongozi...
naomba msome na kulinganisha na Tanzania yetu
"When I was a boy I was told that anybody could become President; I'm beginning to believe it. ~Clarence Darrow
ningependa iwe kwenye kiswahili...
Mwenyekiti wa UDP John Cheyo ameisulubu CHADEMA kwa kusema kwamba falsafa yake ya Nguvu ya Umma haina maana yoyote kwa watanzania. Cheyo amesema CHADEMA watambue kuwa Kikwete ndiye Rais halali...
Sasa imekuwa kawaida saana kila asubuhi watu kukejeli dini za watu humu jamvini na hasa waislam wakizidi kukejeliwa kila kukicha.
Hivi sasa cha muhimu si hoja bali ni nani kazungumza na imani...
26th March 2011
Diamonds merchants in Shinyanga Region are cheating the government out of millions in unpaid customs and excise duties, by colluding with corrupt officials to spirit...
Kulingana na kesi inayowakabili viongozi wengi na wabunge wa CHADEMA, kule Arusha ni busara kuanza kujiandaa. Wajiandae kwa matokeo ya aina zote; moja ni endapo watashinda kesi na pili ni endapo...
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema) amesema wiki hii itakuwa ya kihistoria wakati Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, litakapopitisha azimio la kurejesha mali...
Wakuu Salaam,
Katika ratiba yake ya kutembelea wizara mbalimbali, jana Rais Kikwete alikutana na Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Mh. Hawa Ghasia na watendaji wa wizara...
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, amefika amechelewa, Zitto aliokoa jahazi kwa muda TMF forum na sasa anatoa hotuna kabla ya kukagua maonyesho ya picha
Waingereza wafuatilia utendaji wa JK Send to a friend Sunday, 27 March 2011 05:46
Claud Mshana
RAIS Jakaya Kikwete atalazimika kupunguza safari zake...
Source: Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Orodha ya Mafisadi (List of Shame)
B. USHIRIKI KATIKA KUTOA MAAMUZI YA KIFISADI
11. RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Rais Jakaya...
Habari za kuaminika ni kwamba Jaji Sivangilwa Mwangesi amejotoa leo hii kuendeshwa ile "kesi" baada ya kuombwa kufanya hivyo na utetezi. Mengine baadaye.
Mahalu amkataa Jaji - Tanzania...
Mh Rais kwa heshima na taadhima naomba nichukue fursa hii kukupongeza wewe na waziri wako mkuu kwa kitendo cha kumdhihaki na kumvunjia heshima Mh. Magufuli,
Kwakuwa mmeonyesha wazi kuwa hampo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.