Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ni jambo la kusikitisha, toka kuanza kwa vyama vingi, hapajakuwako na chama chochote cha siasa kilichopendekeza mgombeya Uraisi wa Jamhuri ya Muungano, kutoka visiwani! Hii inatowa taswira gani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete na Mwl Julius Nyerere WASWAHILI wana usemi wao mashuhuri usemao fahari ya macho huwa haifilisi duka na kuona aghalab si kuchukua bali ni kutia macho nuru. Semi hii ni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mama anasema kama si Afrika hata marekani na uingereza zisingekuwa na mafanikio waliyonayo,nadhani ilikuwa presentation hapo AICC Arusha...Food for thought,mnakaribishwa... Ngozi Okonjo-Iweala on...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Great Thinkers, Kuna hawa ndugu wanakwenda kwa majina ya Sir Ken Robinson, na Salman Khan ambao binafsi nawachukulia kama Great Thinkers.Hizi videos zao wanazungumzia issues za education...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi ndugu zangu nina ombi. Kwa maoni yangu, hatuandiki Katiba mpya, ila mchakato wa kuiandika hiyo katiba ndiyo mpya, yaani utaratibu ndiyo mpya, hatujawahi kuutumia huko nyuma. HAIWEZEKANI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejiunga na TANU Youth League mwaka 1969, na baadae TANU mwaka 1972, mimi ni mwana CCM tangu kuanzishwa kwake 1977 na ni mjumbe wa NEC Zaidi: Fuatilia posts chini (in summary) Sina uhusiano...
12 Reactions
303 Replies
29K Views
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imeibebesha Serikali mzigo wa deni la kampuni ya kufua umeme ya Dowans ikisema ndiyo iliyohusika na mkataba wake. Serikali imekuwa ikidai...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
CUF, NCCR wajipakaza uoza wa CCM Na Mwandishi wetu KAMA viongozi wa NCCR-Mageuzi, Chama cha Wananchi (CUF), Tanzania Labour Party (TLP) na United Democratic Party (UDP) wangekaa chini...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CCM), umemgeuka Rais Jakaya Kikwete. Unamtuhumu kushindwa kazi. Unamtaka kuachia nafasi ya uongozi katika chama chake ili kuwepo mchakato wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kuweka wazi kama imeshindwa kudhibiti ujangili wa wanyamapori, ili aliagize Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kufanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na Maggid Mjengwa, ( "HAYO malumbano ni ya kwao, sisi hatuyajui, wala hatutaki kuyajua. Tunashughulika na kutekeleza Ilani tu… maneno maneno kama hayo hayatuhusu”, anasema John...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msekwa: Sioni mgogoro UVCCM Wednesday, 30 March 2011 21:19 0diggsdigg Exuper Kachenje na Ramadhan Semtawa WAKATI mpasuko ukionekana kuongezeka ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaboard wenzangu naomba kuuliza nini maana ya sheria? Je sheria inakuwa sheria pale mtu/kiongozi anapodai kusimamia sheria au sheria hutungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
0 Reactions
0 Replies
11K Views
Last week President Jakaya Kikwete re-started his regional tours of government ministries and institutions – to find out how they have fared since he last visited them in 2006 – weeks after he was...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
30 March 2011 DESPITE Tanzania being rated as the third largest gold producer in Africa after Ghana and South Africa, the country's earnings from the industry remain peanuts due to...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Ok sasa nisije kuwa natibua mambo; tuliambiwa tatizo la umeme linahitaji Dowans kuwashwa haraka na bila ya hivyo nchi itazidi kuwa gizani. Katika kauchunguzi kangu kadogo kanaonesha umeme...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Madini yetu yanaibwa kwa ustadi mkubwa, mchana kweupe, hata viwanja vya ndege vinavyotumika kutekelaza huo wizi vimetajwa. Mwizi ni mwizi tu. Mwizi wa meno ya tembo au mwizi wa madini...wote wezi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
……W’re polite and progressive by day, more tibalist than even the Kenyans by night….. Ukweli kama huu anaoweza kuusema Jenerali Ulimwengu ndio umewafanya watawala wengi kumwogopa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Utangulizi Hapa nataka kutoa summary ya mambo ya kuzingatiwa katika energy policy ya nchi, kama haya yamo kwenye policy yetu ya energy (If we have anyway) je kamati ya Bunge katika kuisimamia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MPANGO wa wamiliki wa kampuni ya Dowans kuizunguka serikali na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ili kujinufaisha kiuchumi umegundulika. Vyanzo vya habari vya gazeti hili vimesema Dowans...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom