Mwanachama mwanazuoni wa CUF aliyewahi kupambana na Profesa Ibrahim Lipumba kwenye kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya mwenyekiti wa CUF na kuambulia kuzomewa, Profesa Abdallah Safari, amejivua...
Kutokana na chadema kukubalika kwa sehemu kubwa ya nchi hii hasa upande wa bara kwa mikoa ya kaskazini ,kanda ya ziwa ,Magharibi(Kigoma) na kwa kiasi flani nyanda za juu ni vizuri zaidi kwa sasa...
JAMANI LEO NIMEONA KITU CHAKUSHANGAZA SANA KTK MKUTANO WA WAZIRI WA ARDHI KUHAMASISHA UENDELEZAJI WA MJI MPYA KIGAMBONI.KUNA KIKUNDI KILICHOJUNDA NAKUJITAMBULISHA NI WAWAKILISHI WA WAKAZI WA...
Niliwahi kueleza kwenye post nyingine jinsi CCM na intelijensia yao wanavyofanya mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA. Mkatati huu unahusu kutoa rushwa kwa watu wenye ushawishi katika jamii...
tukiachana na uraisi wa kikwete na biashara binafsi za mbowe. Ni nani kati ya hawa wawili ni mwenyekiti bora katika chama chake?
vigezo vya kuzingatia;
utawala bora
uadilifu
uwajibikaji...
Suala la Zanzibar kujiunga na Jumuiya ya Kiislamu ya Kimataifa (OIC) limefufuka upya, baada ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kutakiwa kutoa msimamo wake kwa kuwa Serikali ya Muungano...
USIRI umeghubika migodi nchini. Katika usiri huu, ukweli hauwezi kupatikana.
Ni kwenye mgodi wa dhahabu wa Tancan, ndani ya msitu wa hifadhi ya taifa ya Kigosi, kata ya Igulwa, kilomita 80 kusini...
Wanajamii kama mlimsikia jana Waziri Mkuu Pinda kwenye taarifa ya habari jana saa mbili usiku kwenye ITV, alieleza kuwa, kuna viongozi wastaafu, ambao wengine walikuwa marais, mawaziri wakuu, n.k...
KILA kona nchini Tanzania yanasikika malalamiko ambayo msingi wake ni ugumu wa maisha ambao unasababishwa na mambo kadhaa wa kadhaa. Wanasiasa nao wanahaha kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa...
Sauti:Kongomano la katiba – 05 March 2011 | MZALENDO.NET
Wananchi, wazalendo, wapenda amani, maendeleo na utaifa wa nchi yetu ya Zanzibar.
Kufuatia mjadala wa Katiba Mpya unavyoendelea...
Wadau,
Naona kama tunapelekeshwa na sisi tunaenda kama upepo.
Sasa kuna discussion ya NANI ALIPE deni la DOWANS.
Hii discussion haitakiwi kuwepo kabisa.
Issue sio NANI ALIPE....issue ni...
Wanajamvi: Hii imekaaje? rais atoa agizo la kuwauwa majangili? Huu kweli ni utawala wa sheria? Au amenukuliwa vibaya na gazeti hilo la RA?
Rais jakaya kikwete ameagiza wizara ya maliasili na...
"SHEREHE za kusimikwa kwa Kamanda mpya wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CC), Bw. Deo Filikunjombe zilitikisa mji wa Ludewa mkoani Iringa baada ya wana CCM kutoka kata zote 22 za...
mbunge wa chama cha chadema jimbo la ilemela mwanza ameanza kutimiza ahadi alizotoa kwa wapiga kura wake kwa kutoa gari la kukbebea wagonjwa hongera sana mbuge mungu ibariki tanzania mungu ibariki...
Sikio la Kufa!
Mara mbili nimeonya kwa capacity yangu ya kuwa great thinker kuwa siasa ni mchezo mchafu , mara tatu nimesema siasa is a game and only brilliant players can do something.
CUF...
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana ziara za kutembelea wizara mbalimbali zinazofanywa na mhe rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Nitakuwa mnafiki,mzandiki na mpinga maendeleo endapo nitachelea...
Niliwahi kutahadharisha kwewnye jukwaa hili kuwa kama kuna kundi la watanzania lhaliipendi CCM kwa ukweli basi ni Waislamu. Waislamu hawakuwa na uhusiano mzuri na serikali zoote za CCM zilizowahi...
Serikali ya JK imepoteza mwelekeo-Lipumba
Na Benedict Kaguo, Tandahimba
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Serikali ya Rais Jakaya imepoteza...
"The media is famously the watchdog of democracy.But who watches the watchdog at its job?It is very seldom that media reports on its own squabbles.At the Express,we believe in everybody being held...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.