Sunday, April 3, 2011
Tanzania is looking to construct emergency power plants to supply 260 MW and has issued a tender for contractors.
"A tender has already been announced to seek a contractor...
Jamani wana jamvi naomba tujadili kuhusu mpambano baina ya katibu mkuu wa CCM Yusuph Makamba na ShyRose Bhanji juu ya kauli ya kada huyo (ShyRose) kuwa viongozi wa juu CCM kujisababishia nguko...
Mbunge atoa milioni 6.5/- kwa waathirika
MBUNGE wa Igunga, Rostam Aziz ametoa pole ya Sh milioni 6.5 kwa wananchi walioathiriwa na mvua kubwa wilayani hapa WAATHIRIKA wa...
Posted Monday, April 4 2011
The East African Community countries will soon have a common draft Constitution in readiness for the Political Federation expected some time in 2015.
But first...
Hii nimeikopi kutoka jukwaa la "Hoja na Habari Mchanganyiko".
Nimeona Pale si Mahala Pake.
Inakosa Wachangiaji.
Lakini hii thread ina hadhi ya Nyota 5.
WanaJF Tuchangie:
Imeandikwa na...
Naamini lile sakata la kuvunjwa kwa majengo ya Empire Properties Ltd (Masaki) litakuwa na impact mbaya kwa Serikali siku za usoni.
Niwakumbushe habari hizi:
Samani zavunjwa vunjwa ghorofa za...
River Nile in Egypt. The $85.1 million Tanzanian project will not be received kindly by Egypt and Sudan.
Posted Monday, April 4 2011 at 00:00
Tanzania is headed for another diplomatic row...
MAMBO yazidi kuwa magumu ndani ya jumuiya ya vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) na chama cha mapinduzi baada ya vijana sasa kutaka kuonyesha wazi kutumika kusafisha njia ya urais mwaka 2015...
Muswanda wa kuweka utaratibu wa kuongoza mchakato wa uandaaji wa katiba mpya, unao tarajiwa kuwasilishwa bungeni katika kikao kinachoanza wiki ijayo, kama utapitishwa na bunge kama ulivyo, itakuwa...
Nauliza wanajamvi:
Kwa nini CUF siku hizi wanafanya mikutano yao kimya kimya tu tena katika maeneo ya vichochoroni? Ni tofauti na CDM ambayo mikutano yake hufanyika katika maeneo makubwa na ya...
POAC yaipongeza PPF kwa clean audit opinion
Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma (POAC), chini ya uenyekiti wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, imetoa pongezi kwa Mfuko wa Pensheni...
WAkati maisha yanazidi kuwa mabovu au kama wasemavyo wenye hekima, kila kukicha heri jana kuliko leo, Watanzania wanazidi kunitatiza.
Ukiangalia vyama, badala ya kuangalia uwezekano wa kuweka...
Ama hakika nguvu za CHADEMA zinanatisha, sasa imedhihirika kuwa CHADEMA ndicho chama kinachoongoza kanseli ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni badala ya Chama Cha Mapinduzi ambacho ndicho...
Mzee mkinga ambaye amejizolea umaarufu kutokana na uwezo waka wa kuchangia hoja katika mijadala mbalimbali jana alisusia kongamano la katiba lililofanyika UDSM nkuruma hall mara baada ya kukosa...
katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010 kulikuwa na kioja kimoja ambako mgombea mwenza wa Dr Slaa ambaye alikuwa na elimu ya darasa la saba hii ni ajabu sana kwa chama chenye kujivunia wasomi...
Wakuu amani kwenu
Nimefanikiwa kulibamba TAMKO la katibu wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Basil Lema alilolisoma mbele ya wandishi wa habari mjini Moshi.
Naliweka hapa kwa manufaa ya wasomaji...
BAADA YA KUWALINGANISHA WENYEVITI WA VYAMA VIWILI VIKUBWA HAPA NCHINI KWA KUDADISI UTENDAJI WAO WA KAZI YAANI KIKWETWE(CCM) Vs MBOWE (CHADEMA), LEO NINAOMBA MAONI YENU NI NANI KIONGOZI BORA KWA...
Wandugu,
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini wanaweza wakanikosoa lakini kwa jinsi hali ilivyo sasa, naona kama Chama Cha Matajiri (CCM) kipo ICU kinapumua kwa kutumia mashine. Wakati wowote...
Na Mwinyi Sadallah
3rd April 2011
Wanasheria na wanaharakati wametaka katiba ya Zanzibar ibadilishwe ili kumuondolea madaraka makubwa aliyopewa Rais katika uteuzi wa viongozi na uwezo wa kulivunja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.