Nilifuatilia kwa makini mjadala wa katiba ulioendeshwa mlimani siku ya jumamosi, mjadala ulikuwa mzuri lakini kati ya mambo ya kukumbukwa na kutosahaulika ni mzee mapesa kushushwa jukwaani na...
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida nchi ya Tanzania sasa yapata miaka 47 tangu 1964 ikiwa inatawaliwa na marais wawili wote wakiwa ndani ya nchi moja na wakielewana na kupanga pamoja tofauti na...
Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi!
1: Muhimu katika habari kubwa na tamu za leo Jumatatu Aprili 4, 2011 - Kumbe kikombe cha Babu wa Loliondo ni USHIRIKINA!!!!!!
2: Rais na waziri wake wa sheria...
Kuna taarifa kuwa leo JK ameanza ziara kutembelea wizara zote. Kubwa nililoshuhudia ni msongamano wa magari kipindi cha mchana kwenye maeneo ya katikati ya jiji wakati alipokuwa anatoka Wizara ya...
Mbunge wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, John Mnyika
Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema (Bavicha) ngazi ya taifa, linatarajia kufanya uchaguzi mwezi ujao.
Kwa mujibu...
Geofrey Nyangóro
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UV-CCM), Martine Shigela amepokea mapendekezo ya vijana wa Tawi la Matangini, Kimara jijini Dar es Salaam kwamba wtuhumiwa...
Ndugu Zangu,
PARADOX ni ile hali ya maelezo kupingana yenyewe. Kutokuwepo na lojiki ya jambo zima. Haujapita mwezi tangu pale Waziri Mkuu Mizengo Pinda alijitokeza hadharani na kuunga...
By The guardian reporter
8th April 2010
The ivory jigsaw between Kenya and Tanzania is not over, although there are now reports of silent maneuvers to end the row through diplomacy...
Kwa hali ilivyo Zanzibar, wakati umefika maamuzi juu ya kuvunjika muungano yafanyike haraka iwezekanavyo. Asilimia 90% ya wazanzibari hawataki muungano. Kwenye kongamno inayoendelea zanzibar...
Yule Kada wa CCM kupitia UVCCM aliyeanzisha sakata la akina EL na RA ataongea na wandishi wa habari leo saa nne asubuhi, hapa Dar es Salaam.
CHINI NI TAMKO LAKE FULL TEXT...
Wanajf hii imenichanganya. Katika ziara ya Anan mkoani Mbeya sijamwona Sugu (Mbunge wa Mbeya mjini) bali makada wa CCM tu. Hii inaashiria nini......!!??
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kufanya maandamano makubwa ya amani mkoani Kigoma mwezi ujao kupinga hali ngumu ya maisha kutokana na mfumuko wa bei na malipo ya fidia ya...
Wakuu habari za weekend?
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza dondoo za gazeti la Mwananchi na nikasikitishwa na habari moja.Ni kwamba huyu jamaa wa CUF aliyegombea urais wa jamhuri ya muungano ya...
Maige anatafuta nini Barrick?
Na Mwandishi Maalum
EZEKIEL Maige aweza kuwa mwigizaji au mtendaji wa dhati. Bali kwa sasa hakuna awezaye kujua nia, shabaha na uwezo wake.
Waziri...
Kwa siku za karibuni Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM), umekuwa ukitoa kauli zenye utata kati ya viongozi wake. Baada ya kikao cha Bagamoyo, wakaibuka wengine Tabora na kauli tofauti. Mara akaibuka...
baada ya kuusoma na kuuelewa mswada wa marekebisho ya katiba nimegundua kwa nini ccm wanapigana sana vikumbo kwa ajili ya urais 2015,.sababu ni rahisi tu kuijua;kwa mswada huu ambao ni kama katiba...
Aprili Mosi 2011 Rais Jakaya Kikwete alilihutubia taifa na kuzungumzia masuala matatu: shughuli ya kutembelea Wizara na Idara za serikali, taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
Wakati viongozi wenzake wa kamati za watch dogs, Zitto na Mrema wakiungana na maelfu ya Watanzania kupendekeza sheria za kudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma, ikiwemo kuzipa kamati hizo uwezo wa...
Nimekuwa natafuta sources za funds za ccm sipati jibu. Hivi karibuni tumewaona Membe na makada wa ccm wakirusha maneno kwa cdm kuhusu funding, Je wao wanalipwa na nani? Wanapata wapi funds za...
DK SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCMT AIFA, ZANZIBAR LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Dk Ali Mohamed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.