Aprili 6, 2011
Makamba kung'atuka rasmi
Makundi yakamiana
Wataka nuksi kwa chama watoswe
KIKAO cha Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinachotarajiwa kufanyika mjini Dodoma...
Hizi ni baadhi tu ya nukuu za Saif al-Islam-mwana wa Gaddafi. Bado atatoa kauli nyingi nyingine. Tuzijadili hizi wakati tukisubiri hizo mpya. Yaweza kuwa kweli, pia yaweza kuwa propaganda
Sayf...
Wawakilishi wa vijana katika vyama vya ccm,chadema,cuf wanaunguruma radio wapoFM 98:0 live wakijadili mambo mbali mbali yanayohusu vyama vyao.
Tutawajuza zaidi kwa kadri tutakavyofuatilia.
.
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amesema yupo sahihi katika utendaji wa kazi yake, kwa kuwa anafuata sheria na kwamba endapo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kitapuuza...
Makamu wa rais wa kenya Kalonzo Musyoka amezijia juu taasisi zinazofanya opinion polls na kusema ni wachochezi na kuitaja Synovate kama mojawapo ya taasisi hizo.
Alisema haiwezekani mtu...
Kwa mtindo huu,ni wabunge tu na matajiri ndo wanao furahia maisha,...wengi tuna washabikia katika siasa kumbe ni mlango wa ninyi kujipalia ulaji na kutusahau watanganyika wengine,..
Kwanini...
ni swali lililoulizwa na Mchungaji Peter Msigwa. Kwamba muswada huu wa Katiba umeandikwa kwa ung'eng'e, halafu tunasema tutaupelekwa kwa wananchi, ambao kimsingi wengi wao hawajui Kiingereza, Je...
Sasa hivi naona LIVE bungeni dodoma kupitia TBC,wenyeviti wa kamati za bunge wakiwakilisha taarifa zao,inavyoonekana ni kama wamewafunika mawaziri wa serikali ya ccm,je kuna haja ya kubadili...
Tuesday, 05 April 2011 19:34
Waziri wa Ardhi, Maji, Makazi na Nishati wa Zanzibar , Ali Juma Shamuhuma
Salma Said, Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imekataa kulipa deni la umeme...
MBUNGE mwingine wa Chadema, Tundu Lissu ameingia matatani baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda, kumtaka kuwasilisha uthibitisho wa madai kuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, alisema...
Mh. Tundu Lissu amemwuliza Ngeleja kuhusu kampuni ya madini ambayo imechukua maeneo ya wakazi wa Singida Mashariki bila fidia na kujenga kiwanja cha ndege kwenye mashamba ya wananchi.
Na...
Remember those trips to the tent in Sirte, when you left with bulging briefcases?
By JENERALI ULIMWENGU
Requiem mass or more appropriately, the khitma may have to wait. Muammar...
Inasemekana katika kile kinachoonekana kama nikujijenga na kuangamiza maadui waliojitokeza katika kinyanganyiro cha uchaguzi wa spika Mh anna makinda amepangua safu ya watendaji ndani ya bunge kwa...
Baada ya Tanzania kumpata spika mwanamke wa kwanza na kuandika historia mpya ya bunge la nchi hii unaweza kusema nini juu ya utendaji wake so far. Kuna matumaini yeyote ya kupata ufanisi wabunge...
Wadau,
Sasa ni muda mrefu kidogo toka melody za nyimbo za uhamasishaji za CDM kutoweka kwenye mitandao ya simu hasa Airtel bila kutolewa sababu yoyote. Jambo hili limewasikitisha wadau wengi...
Kagoda scandal queries resurface in Bunge
Ubungo MP (Chadema), Mr John Mnyika
By Mkinga Mkinga
The Citizen Reporter
Dodoma. Queries over the outcome of the investigation on the involvement of...
Wanajamvi baada ya Prince Bagenda kuonekana mamluki ambaye hakubeba ujumbe wa CCM jana kwa nini rz1 asingetumwa kwa kuwa ana uelewa wa chama na serikali na bba yake amekuwa akimtumia katika...
Jana kwenye taarifa ya habari kulikuwa na kioja ambapo waziri Gaudencia Kabaka alikuwa anatoa taarifa kwa bosi wake juu ya utendaji wa Machinga Complex. Kwa mtu mwenye madaraka ya waziri kutokuwa...
Tofauti kubwa imeendelea kudhihirika kati ya CUF Zanzibar na CUF Tanzania, baada ya maoni ya Hamad Rashid juu ya muswada wa katiba kupingwa hadharani na Naibu Katibu Mkuu (Bara), Julius Mtatiro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.